nasikitika kwamba mpaka sasa bado kuna watu wanaomwamini huyu sheikh feki ambaye waislamu wamempinga vikaliAaah wacheni wamuaminio huyu babu wazifuate njia zake!!
Jile79 nakubaliana na wewe,but suluhisho si kuokoka tuu,hawa watoto nawashauri wasitetereshwe kiimani,wasimame kwenye imani yao kwani Mungu anasikiliza maombi ya kila amwaminie sio tuu walokole,kuhusu huyu babu nahisi yuko mbioni kufungua dhehebu lake,sababu kila kukicha atataka kuwalisha imani wale wenye imani haba!!sheikh yahya hawezi kuonyesha njia kwa mtu yeyote.................sote tunajua kuwa YESU ndio njia ya kweli na uzima na mtu hawezi kumwona mungu bila kupitia kwa yesu....................bora hao watoto waokoke wamjue yesu watafanikiwa
Wamepewa laki watatoa milioni. Subiri uone.