Kachanchabuseta JF-Expert Member Mar 8, 2010 7,269 675 Nov 2, 2010 #2 karibu kwanza .... kasema nini??
E elibariki Member Nov 2, 2010 11 0 Nov 2, 2010 #3 Hana maana huwa anawatabiria ccm tu maana ndo anawapa walinzi wasioonekana
Jile79 JF-Expert Member May 28, 2009 17,668 13,237 Nov 2, 2010 #4 inawezekana amefariki na kilichobaki ni msukule tu wa huyo sheikh wqwa waislamu anayewatabilia vifo waislamu...............
inawezekana amefariki na kilichobaki ni msukule tu wa huyo sheikh wqwa waislamu anayewatabilia vifo waislamu...............
Mtende JF-Expert Member Sep 27, 2010 6,385 7,295 Nov 2, 2010 #5 huyu si mshirika wa familia ya jeykey kwa hiyo nadhani kwa sasa yupo bize na ulinzi wa familia ile hadi baada ya kuapishwa
huyu si mshirika wa familia ya jeykey kwa hiyo nadhani kwa sasa yupo bize na ulinzi wa familia ile hadi baada ya kuapishwa
The Finest JF-Expert Member Jul 14, 2010 21,605 6,080 Nov 2, 2010 #7 Ameishiwa huyo bado mnahangahika nae nini
C Challenger M Member Oct 31, 2010 81 2 Nov 2, 2010 #8 Itabidi channel 10 waende wakamhoji maana ndio wanamrusha sana.
M mimione Member Apr 25, 2009 17 2 Nov 2, 2010 #10 Nitafurahi sana kama amekufa maana mh vitu anavyoongea kvinatoka kwa wafu wenzake. Simpendi jamani
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 43,707 60,760 Nov 2, 2010 #11 Ni kweli AMEKUFA ila hawataki kutangaza wanataka kuchakachua.