Sheikh Yahaya anaweza kushitakiwa kifo cha Dk. Gama?

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
WanaJF mimi naomba kuuliza kama kuna wataalamu wa sheria je, kwa kauli za sheikh yahya kwamba kifo cha Dk. Gama ni ishara ya ushindi wa JK je hii si inaonyesha alijua kifo hicho?

Na kama hakujua kwa nini asiulizwe nini kimemsukuma ahusishe kifo cha mtu na ushindi wa kikwete?

Je, kikwete ili ashinde ni lazima mtu afe??

Je, huu siyo uchawi?

Je, Kikwete ni mchawi kweli?
 
hebu yanukuu MANENO HALISI YA huyu mnajimu hapa hapa yanayoelezea kifo cha dk gama!TUTAMBURUZA MAHAKAMANI MAPEMA TU....
 
WanaJF mimi naomba kuuliza kama kuna wataalamu wa sheria je, kwa kauli za sheikh yahya kwamba kifo cha Dk. Gama ni ishara ya ushindi wa JK je hii si inaonyesha alijua kifo hicho?

Na kama hakujua kwa nini asiulizwe nini kimemsukuma ahusishe kifo cha mtu na ushindi wa kikwete?

Je, kikwete ili ashinde ni lazima mtu afe??

Je, huu siyo uchawi?

Je, Kikwete ni mchawi kweli?
mpaka hapa tulipo hii nchi inaendeshwa kichawi-chawi tu
 
WanaJF mimi naomba kuuliza kama kuna wataalamu wa sheria je, kwa kauli za sheikh yahya kwamba kifo cha Dk. Gama ni ishara ya ushindi wa JK je hii si inaonyesha alijua kifo hicho?

Na kama hakujua kwa nini asiulizwe nini kimemsukuma ahusishe kifo cha mtu na ushindi wa kikwete?

Je, kikwete ili ashinde ni lazima mtu afe??

Je, huu siyo uchawi?

Je, Kikwete ni mchawi kweli?
usishangae kusikia kuwa waliokufa wote walisababisha/watasababisha ushindi wa SUNAMI kwa chama chetu..............kuna
KOLIMBA, CHIFUPA, MALIMA, BALALI, GAMA, NYERERE, NG'ITU, JUMBE, ..............etc.......etc.......
 
Ndiye muhusika mkuu
 
Sheikh Yahaha anaweza kushtakiwa yes
Kitaaluma (sheria) maneno aliyoongea dhidi ya Dr. Gama ni ushahidi kwamba anaweza akawa anahusika kimazingira na kifo hicho. Hivyo basi, kivuli cha unajimu kinawezekana kinatumika kuficha dhamira ya uhalifu dhidi ya binadamu.

Pia anaposema unajimu si UCHAWI je elimu ya majini (mashetani) si ulozi kamili? kwani hakuna aliyerafiki wa shaitwani bila ya kuzijua njia zake japo kuzishiriki. na pia katika unajimu anaousema ni unajimu feki yaani wizi wa kisaikolojia. Ole wao wapigao ramli.
Hakuna mahala ambapo biblia imeruhusu uchawi. sehemu anazonukuu shekhe zinajieleza wazi wazi kwamba waliofanya hivyo walikwenda kinyume na Mungu hivyo wakageukia wachawi wakidhani watapata hauneni. Tazama mwisho wa hao woote waliotumia uchawi...

Ndugu yangu JK achana na wapiga ramli kwani akili za binadamu zimewekewa UTASHI ambao hakuna maruhani ya kubadili utashi huo ndo maana mtu anashawishika kufuata uchawi na halazimishwi bali anashawishika olny. Utashi wa kura zetu ni matokeo ya kipimo cha ahadi zako kwetu. kama hakuna utekelezwaji wa ilani japo kwa kiwango cha kuridhisha basi umekosa HIARI za wengi.
 
Tena ofisi nyeti za serikali ,uchawi ndo umezidi.Bunge limejaa wachawi.Yani vibosile wanapigana vikumbo tu Bagamoyo kwa kina sharif.
Na zile pete kuubwa za shehe Yahaya viongozi wengi wanazo.Kwa hiyo si jambo la kushangaza wakitetea uchawi
 
Nakumbuka mmoja alifumwa pale kwa spika bungeni..........!!!!!
 
usishangae kusikia kuwa waliokufa wote walisababisha/watasababisha ushindi wa SUNAMI kwa chama chetu..............kuna
KOLIMBA, CHIFUPA, MALIMA, BALALI, GAMA, NYERERE, NG'ITU, JUMBE, ..............etc.......etc.......

Jamani, Hivi Mzee Jumbe alikufa lini?? Samahani kama nilipitwa na hili!!!
 
Shehe Yahaya ni njaa kali. Mbona yeye kaoa kabinti kadogo au ndo kanampeleka puta aongee uongo ili akaridhishe? Ni aibu hiki kizee kuendelea kutishia watanzania.
Eti atakayegombea urais na Kikwete atakufa ghafla, whon the hell is Kikwete? He is just another opportunist who will never benefit ferom being a president, ataishia kusafiri akidhani hiyo ndiyo starehe.
JK fanya kazi tuione, achana na upambe usiomtakatiofu wa kina Shehe Yahaya, Augustino Mrema na wote waliofilisika kisiasa!
 
Serikali inatambua uchawi?

ndiyo....mbona Bunge likapitisha wichcraft Act sikumbuli ni Act y amwaka gani na mkuu wa nchi akaipiga ssaini yake???!!!

anyway huyu the so called mtabiri naskia kuna kipindi aliugua na 'sirikali' ndo ilimpeleka India kutibiwa...kwa interest zipi mi sijui tena msiniulize kabsaa staki!!!!
 
hapo kwenye bold ni kwamba hiyo sheria iliyopitishwa na bunge ilikuwa kwa minajili ya kudhibiti vitendo vya kichawi.
Je unataka kutuambia kwamba kupitishwa kwa sheria ya rushwa ni sawa na kusema serikali inaamini katika RUSHWA? gimme break bana
 
usishangae kusikia kuwa waliokufa wote walisababisha/watasababisha ushindi wa SUNAMI kwa chama chetu..............kuna
KOLIMBA, CHIFUPA, MALIMA, BALALI, GAMA, NYERERE, NG'ITU, JUMBE, ..............etc.......etc.......

Hapa unamaanisha Aboud Jumbe Mwinyi?, kama ni yeye huyu mzee kafariki lini?mbona memory chip yangu inashindwa ku-upload?, Nisaidie
 
hapo kwenye bold ni kwamba hiyo sheria iliyopitishwa na bunge ilikuwa kwa minajili ya kudhibiti vitendo vya kichawi.
Je unataka kutuambia kwamba kupitishwa kwa sheria ya rushwa ni sawa na kusema serikali inaamini katika RUSHWA? gimme break bana

Msanii dont quote me wrong mpwa!!! lengo la sheria ya rushwa ni kudhibiti rushwa as well, sasa kwa hili la uchawi kama hawaamini kuwa upo ya nini serikali ipitishe sheria hiyo? mimi sisapoti huu upupu wote wa kutabiri ushenzi ushenzi huu but nadahani serikali inajua uchwawi upo bt i guess hawana nia ya encourage but the opposite!!! ( ila hao waserikali si ndo hao wanapanga foleni huko kwa magagula)
 
Back
Top Bottom