Asalam aleykum Sheikh.🙏🙏
Sheikh mie ni pagani.Ni atheist mie.Siitikii kengele wala adhana na kabla ya madhila hii kukupata sikuwa nikikufahamu na nashindwa kukupa pole sheikh sbb sijui kwanini umeenguliwa ila naamini kuna kosa umetenda na nina tamani kujua ulipokosea sababu;
1)Video zako...
Katika Moja ya kazi zangu za muda mrefu ni kutengeneza maudhui ya YouTube. Miaka ya hivi karibuni nilianza kuvutiwa na mihadhara ya kiislamu, Kwa hivyo nikaanza kufanya YouTube content za kiislamu.
Kiukweli nilia navutiwa sana na style ya sheikh Walid Omar. Na baadhi ya masheikh kama...
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa huo Walid Alhad Omary Kawambwa amewataka viongozi wa dini kutambua majukumu ya nafasi zao ikiwamo lile la kuiombea nchi ya Tanzania kuwa yenye amani na utulivu na kutofanya kazi ya wanasiasa.
Sheikh Walid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.