Mtanzania1
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 1,170
- 175
....... may be..... lakini huo ulikuwa ni mfano tuu... Ukifikiri watu wote tuko sawa...lakini kuna vitu vinavyomtofautisha mtu mmoja hadi mwingine kama vile majina, kabila ,imani(dini) na hizi tofauti husaidia katika mambo mengine kuweza kufanyika. Tutakuona una akili ajabu kama kama ukienda kufungua duka la nyama ya ngombe katika sehemu ambayo idadi kubwa ya watu kutokana na imani yao hawatumii nyama ya ng'ombe......au ukiwa kama daktari umshauri mgonjwa muislam wako atumie mafuta ya nguruwe ili aweze kupona ugonjwa wake wa ngozi. Kwa kuhitimisha takwimu zinazomtofautisha mtu mmoja na mwingine si za kupuuza..... cha msingi ni kutukiwa katika kuboresha hali fulani....It doesn't make any sense
hivi Barubaru na kusoma kwako unaona madai ya Ponda ni halali? yaani ni sawa na mtu asiye kwenda shule akueleza suala la takwimu, uchumi sayansi nk.Kuna kitu kimejificha hapo.
Mbona mkiwa mnatoa maelezo Polisi mnaandika sio tu kabila mpaka dini mnabainisha. Kwenye vitabu vya wageni hotelini na nyumba za kulala wageni mbona kunakipengele cha dini na kabila. Kwanini msikiweke hata kwenye sensa zenu.
Nafikiri kiuchumi wanazuia kuona ni misada au misamaha ya kodi kiasi gani wanayopata dini moja dhidi ya zingine na kunufaika kwa namna gani kiuchumi dhidi ya wengine.
Kuna mengi sana . Lakin msingi mkuu ni mipango ya nchi yenu kuweka usawa wa kitabaka na kijamii kwa kupata taarifa sahihi ndani ya sensa.
Mkuu Barubaru, kwa akili yako na elimu yako ya PhD bado unaamini misaada ni njia ya kujiletea maendeleo!Kuna kitu kimejificha hapo.
Mbona mkiwa mnatoa maelezo Polisi mnaandika sio tu kabila mpaka dini mnabainisha. Kwenye vitabu vya wageni hotelini na nyumba za kulala wageni mbona kunakipengele cha dini na kabila. Kwanini msikiweke hata kwenye sensa zenu.
Nafikiri kiuchumi wanazuia kuona ni misada au misamaha ya kodi kiasi gani wanayopata dini moja dhidi ya zingine na kunufaika kwa namna gani kiuchumi dhidi ya wengine.
Kuna mengi sana . Lakin msingi mkuu ni mipango ya nchi yenu kuweka usawa wa kitabaka na kijamii kwa kupata taarifa sahihi ndani ya sensa.
hawa wenzetu huwa nakuwa na wasiwasi nao juu ya uwezo wao wa kufikiri
....... may be..... lakini huo ulikuwa ni mfano tuu... Ukifikiri watu wote tuko sawa...lakini kuna vitu vinavyomtofautisha mtu mmoja hadi mwingine kama vile majina, kabila ,imani(dini) na hizi tofauti husaidia katika mambo mengine kuweza kufanyika. Tutakuona una akili ajabu kama kama ukienda kufungua duka la nyama ya ngombe katika sehemu ambayo idadi kubwa ya watu kutokana na imani yao hawatumii nyama ya ng'ombe......au ukiwa kama daktari umshauri mgonjwa muislam wako atumie mafuta ya nguruwe ili aweze kupona ugonjwa wake wa ngozi. Kwa kuhitimisha takwimu zinazomtofautisha mtu mmoja na mwingine si za kupuuza..... cha msingi ni kutukiwa katika kuboresha hali fulani....
Mkuu Barubaru, kwa akili yako na elimu yako ya PhD bado unaamini misaada ni njia ya kujiletea maendeleo!
Sensa ya mwaka 1967 ilionyesha kuna wakristo wangapi, waislamu wangapi, na wapagani wangapi. Tunaweza kuanzia hapo. Mambo ya kuhesabu watu kwa dini zao hayana tija katika serikali ambayo haina dini.
juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO. alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo. akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania. "SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.HOJA YANGUNdugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!!!!!!naomba kuwasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hivi kuwa shekhe inabidi uwe na elimu gani...?
maana reasoning lazima iwepo eb nisaidieni jamani....!
wala hatuogopi sema tumeshafikilia mbele zaidi na tunaona madhara yatakayojitokeza tukianza kuweka udini tatizo uwa hamfikilii mbele zaidi ndo mana hata mtawala wenu akuwaza kuwajengea shule mana akujua kama baadaye itakuja kuwa na umuhimu ila mtawala wetu aliona hivyo.mbona nyie wagala mnaogopa sana hiki kipengele? Kuna nini kimejificha?
juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO. alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo. akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania. "SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.HOJA YANGUNdugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!!!!!!naomba kuwasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ninacho kiona kwa huyu Sheikh na wengine wenye mtazamo kama wake ni kutaka kila kitu cha dini yake kifanywe na serikali, mfano, wanasema Mahakama ya Kaadhi ni sehemu ya ibada yao lakini igharamikiwe na serikali, hivi inaingia akilini serikali igharamie ibada ya dini? mara uongozi uwe wa kuachiana, wa dini hi kipindi hiki na kipindi kingine dini nyingine, sasa hapa kuna mtego wanataka kuutega, issue hapa wanataka kujua Waislam wako wangapi? mi sidhani kama ni hii ni kazi ya serikali, hi ni kazi ya masheikh kama yeye, conduct your own Censor ili mjue mko wangapi? Ninahakika kama Kadinari Pengo anataka kujua kuna wakatoriki wangapi hapa nchini, ni yeye kuwasiliana na maaskofu wake ambao nao watashuka kwa mapadre then atajua tu wako wangapi, hali kadhalika Anglican, Lutheran Walokole kwa madheebu yao the same, hivi nyie waislam mnashindwa nini kufjua idadi yenu hadi serikali iwafanyie?
Kigezo kwamba dini zingine zinafanyaje nadhani si issue, kuna serikali humu duniani zina sheria ya kuruhusu mashoga, je na siye tu copy toka kwao? kuna nchi waislam hawaruhusiwi kuvaa Hijabu, tukopi na hiyo pia? Hebu tuwe realistic na masuala common na muhimu kwa nchi yetu, umasikini ni mkubwa sana Tanzania ambao kimsingi haungalii dini ya mtu, tuwekeze nguvu zetu huko, mlitaka rais mwislam, naye mmempata then mnakuja na story nyingine, ninahakika mkikubaliwa hili na la Kaadhi, kesho mtasema kuhiji Makka ni ibada, serikali iwagharamikie.
sasa ndio nimeamini baba wa taifa hili hayati jullius kambarage nyerere aliondoka na tanzania yake.mwalimu alishalikemea hili mara nyingi awezavyo na matunda yake tumeyaona,ila sasa huku tunakoelekea hakika tutalia.hivi tukianza kuangalia vigezo vya dini ktk mgawanyiko wa kazi vipi kwa wale raia wasiokuwa na dini haki zao zitakuwa wapi?wahenga walinena"ndondondo sio chururu"tunaanza kidogo kidogo kuingiza udini ktk masuala ambayao sio ipo siku tutalia sbb haitoishia hapo mpaka vizazi vyetu vijavyo vitaathirika.hatuwezi kuendesha nchi kidini(ukristo na uislam)
Kusema kweli kuna umuhimu kwa kipengele cha dini kuongezwa kwenye zoezi zima la sensa ya wa TZ