Maelezo yako yamejaa chuki mpaka unashindwa kufikiri vizuri na ukaishia kujikanganya. Unasema Waislam hawakusoma na wanaishia kunywa kahawa vijiweni lakini ukakiri kuwa Rais wa Nchi na Makamu wake ni waislamu, je una maana hao hawakuenda shule? Ni product ya vijiwe vya kahawa? Au hujui kuwa Dr Gharib Bilal ni Engineer wa Nuclear Energy pekee hapa nchini ( one of the most cumbersome Mathematical subject in existence) ila serkali inashindwa kumtumia kutokana na mfumo mbovu uliopo. Au una maana Judge Chande hana elimu? Kina Proffesor Lipumba na Maprofessa na Ma Drs wote wa Kiislamu waliotapakaa nchi nzima hawakusoma bali ni watu wa Madrassa na Vijiwe vya kahawa? Unasema Waislamu wanajilipua ovyo duniani, hivi ina maana wewe hukusoma na wala hujui historia ya watu wanaojilipua duniani au ni chuki zako dhidi ya Uislamu ndio zimekutia upofu? Tulia nikupe darasa, Wenye Historia kubwa ya kujilipua duniani ni Wajapani, wanajilipua kwa staili ya KAMIKAZE (Kamikaze Bombers) wanajilipua ili kuua watu wengi zaidi na kuteketeza mali au zana kubwa zaidi, hao wako kwenye orodha ya mashujaa wa nchi hiyo mpaka leo, na Japan ikivamiwa tena kivita mtawasikia tena, Kisha kuna HARAKIRI, hawa hujipasua matumbo hadi kufa kwa kutumia Upanga wa Samurai, ikiwa ni kuonesha kutubu kwa kushindwa majukumu au anaposhindwa kujiokoa kwa maadui. Je hao ni Waislamu? Hapa Tz kuna Waislamu wangapi waliojilipua kwa njia hiyo? Hivi wewe na akili zako, na wenzako wenye fikra Kama zako mnaona vijiwe vya kahawa ndio tatizo, ila Mabaa ya Pombe na wanaokunywa pombe mpaka wakajinyea hao ndio barabara? Mbona Mwl Nyerere alipenda sana kucheza bao na wazee wenzake kwenye hivyo vijiwe vya Kahawa? Alikuwa mpumbavu?

juzi sheikh ponda issa ambaye ni katibu wa jumuiya ya kutetea haki za waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.alisema kuwa nchi hii siyo ya kikristo lakini inatawaliwa na mfumo kristo.
Alisema kutokana na mazoea, waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. Ofisi na idara za serikali zinaongozwa na wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. Alitoa mfano wa tra, necta, wizara ya eimu, wizara ya ujenzi, afya, mahakama nk........... Kwa mujibu wa sheikh ponda, wastani wa ajira ni karibu wakristo 77% na waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo.
Akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! Kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa sheihk ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa tanzania.
"siyo sahihi watu wenye idadi hii kupuuzwa katika uwiano wa ajira serikalini", alisema sheikh ponda.alitoa mifano wa nchi karibia zote za ulaya, marekani, asia pamoja na afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza ponda. "mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama ponda.
Hoja yangu ndugu znaguni watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. Kama waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? Au utakua udini? Au uchochezi? Au uvunjifu wa amani? Kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? Je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? Tubadilike!!!
Naomba kuwasilisha!
ahsante mwongozo kwa taarifa hii.
Nakufagilia sheikh ponda, hayo uliyosema ni kweli tupu. Nafurahi pia kusikia mkutano wa jana wa sensa dodoma waislamu wote pamoja na bakwata wamekubaliana kususia sensa ya mwaka august 2012 kama kipendele cha dini hakitakuwepo kwenye fomu ya sensa. Cha kushangaza zaidi maaskofu wao wanataka kipengele hicho kisiwepo ati kitahatarisha amani. Amani itaharibika vipi ikiwa tutajua idadi ya waislamu wangapi na wakristo wangapi? Maaskofu walishindwa kujibu swali hili!!!!!! What is behind the scene maaskofu??? Kuna jambo gani limejificha hapa mpaka hamtaki tujue idadi yetu kutokana na dini zetu?!!
Nahisi hujamuelewa mtoa hoja, sheikh ponda anasema keki ya serikali imekuwa ikipelekwa kwa dini moja sana kwa kusingizia kuwa wako wengi na ndo wamesoma, je ni kweli dini nyingine hawana wasomi na niwachache? basi tuweke kipengele cha dini tuujue ukweli, kwani ukiniuliza mm dini gani hapo aman itavunjikaje?Barubaru,
Kwani namba ya waamini wa dini yako, hata kama ni kubwa ina faida gani kwa uwepo na ustawi wa Taifa hili? Kama namba ni tija, waafrika tulivyo, tunaweza kuanzisha mashindano ya kuzaana bila utaratibu, bila kujua kwamba anayeongoza dunia ya leo sio kwamba ana namba kubwa, la hasha!!! Ana elimu, uwezo na ujuzi mkubwa.
Ndio maana waisrael kwa idadi ni wadogo lakini pale walipo waliwahi kupigana na mataifa karibu yote yaliowazunguka kwa wakati mmoja na kuwashinda. It was not by chance....it was by design and intelligence to come with victory. So hoja hapa kwetu sisi wengine ni kuhakikisha generations zetu zina aim higher kwa kutafuta mambo ya msingi yatakayotusukuma huko. Sio haya mambo ya kujua nani ni dini gani! So what?
Tunataka sensa ndo ituambie sio wewe kilaza na takwimu zako za uchochoroni?tatizo la waislamu nadiriki kuwaita wengi ni vilaza
kutwa kulalamika. niwaulize mkuu wa nchi ni nani, makamu wake, jaji mkuu???wakristo hao?
wanataka wapewe mgawanyo sawa wa madaraka nani aliwaambia nchi hii ina dini? wanataka kutupeleka wapi?
wao wanakaa vijiweni na kunywa kahawa na walikataa kusoma shule za wakristo eti ni makafiri sasa wanataka wapewe vyeo bila kusoma? wamuulize JK alisoma shule ya watu gani? angesoma madrasa na kuishia kunywa gahawa leo angekuwa rais?
suala la ukabila na udini Nyerere alilikataa siku nyingi sana
pili wakubali kwa Tanzania asilimaia 62 ni wakristo, 35 ni waislamu na 3% ni watu wa dini zingine. kwa hivo tukiamua leo wakristo hata kupiga kura bado tunaweza kuwapita kwa mengi na pia idadi kubwa ya wasomi ni wakristo, nakumbuka nikiwa chuo kati ya wanafunzi 240 darasani 40 tu ndi walikuwa waislamu. acheni kelele pelekeni wanenus shule.
sijaona mantini ya wao kulalamika,
katika kazi hatuajiriwi kwa kigezo cha udini wala ukabila bali ni elimu na ujuzi wako.