Barubaru maendeleo ya nchi yanapangwa kwa kuangalia dini?
kama mnataka kujua mko wangapi jihesabuni wenyewe kama wakristo wanavofanya ktk jumuia,parokia,usharika nk... waziri wa fedha anavosoma bajeti huwa anasema bejti hii ni ya waislamu na hii ni ya wakristo au inamlenga kila Mtanzania?
Kuna ya maana sana ya kujadili, si udini. Udini ni sera ya watu wasio na elimu na wasio na hoja na wasiojua sababu za umasikini Tanzania, ukitaka kuwajua jaribu kuangalia hoja katika thread hii.
kama Sheikh wangu ponda kasema hivyo basi na mimi sihesabiwi mpaka kipengele cha dini kiwekwe mbona wao waisilamu hawaogopi kipengele cha dini iweje nyie wakiristo munaogopa ? na sisi waisilamu hatutoshiriki hio sensa yenu jihesabuni wenyewe
Hapo matokeo lazima yatolewe kila kituo, halafu kuwe na mawakala wa dini zote ili kuhakikikisha hakuna uchakachuaji. Vinginevyo itakuwa ni chazo cha vurugu nchini.
The study of the United StatesBureau of Democracy, Human Rights, and Labor for 2009 suggests that 62% of the population of Tanzania isChristian, 35% is Muslim, and 3% are members of other religious group
The Christian population of Tanzania is mostly composed of Roman Catholics,Lutherans and Anglicans, Pentecostals, Seventh-day Adventists, members of The Church of Jesus Christ of Latter-day Saints (Mormons), and Jehovah's Witnesse
Islam is, as of 2007, the religion in Tanzania with 40% of the population of the mainland (Tanganyika) and more than 99% of the population on the island ofZanzibar being Muslim
soma zaidi Wikipedia
fanya random sampling ya idadi ya wanaomaliza form 4, 6 na wanaoingia
vyuo utaona asilimia 70 ni wakristo na 30 ni waislamu na wasio na dini.
bado tu huamini? mnalala mnangangania usawa wa kielimu na kikazi wapi na wapi.
barubaru hicho kipengele hata kama kitakuwepo haitawasaidia sana kwani mgawanyo wa keki ya taifa haungalii dini
cha msingi himizaneni na wapelekeni watoto wenu ktk shule zenye walimu imara bila kujali udini ili wapate elimu
ktk ajira hatuangalii kama ww ni muislamu au mkristo na hata ktk selection ya kazi hatuangalii dini
vile vile ktk kuchagua wananfunzi wa vyuo hatuangalii dini bila ufaulu.
kwangu mimi bado hamjatoa sababu za msingi na za kuridhisha kwanini kipengele hicho kiwepo
Nadhani hii ni busara kwani muanisho huu wa kipengele cha dini ni muhimu hasa kukiwa na mipango inayohusu dini.. kama kujua tunahitaji kutenga ardhi kiasi gani kwa ajili ya misikiti/makanisa... au makaburi
Unatakiwa kujiuliza ni kwanini asilimia 70 ni wakristo, angalia ni kwanini nyanda za juu kusini nyanda za juu kaskazini wana shule nyingi kuliko pwani yote, ujiulize kama ni serikali inawasaidia kujenga. Pia jiulize ni kwanini Zanzibar ambako asilimia 99.99 ni waislamu lakini kielimu wako hoi kuliko hata waislamu wa bara, ukiwa na majibu ya maswali haya ndio unaweza kujua line of argument ya Ponda.
Mpe tano basi marehemu baba wa taif JK Nyerere kwa hilo. Zanzibari kulikuwa na chuo enzi hizo??Nilipo Blue si kweli hata kidogo.
Zanzibar ina wasomi wengi sana kuliko Bara. Mimi nina takwimu sahihi kabisa nilizozipata toka wizara elimu Znz kwa tuliosoma UDSM kuanzia 1974- 1985. Utaona waznz ni wengi sana waliograduate ukilinganisha na wa Bara. kwa kuzingatia population ya nchi hizi.
Lakin kwa kukusaidia zaidi zanzibar haikuwahi kuwa na kisoma cha watu wazima. watu wote walikuwa wanajua kusoma na kuandika
tokea enzi za JK Nyerere.
naomba fuatilia hilo na kutazama na idadi za watu wenu. Tanganyika mpo zaidi ya 40 milion na Znz wapo chini ya 1.5 milion. fanya hisabu kwa wanograduate kwa mwaka utaligundua hilo.
Kwangu hata wasio na dini nao ni Waislamu, maana maisha wanayoishi yanakaribia Uislamu zaidi ingawa wengi wao ukiwauliza wao ni dini gani au kama hawana dini; watakujibu wao ni Wakristo!
Kuhusu watu wengi Kanda ya Ziwa na Wakinga hawana dini msubiri Sikonge, Lunyungu, Balantanda na Ukolokwitanga watakupa jibu.
Kwa kuliangalia hili unahitaji AKILI ZA ZIADA KUANGALIA KWA MAPANA YAKE.
kWANI KIPENGELE CHA JINSIA KINA SAIDIA NINI KATIKA SENSA ZENU?
Nafikiri ukijua hilo basi hata dini utaona umuhimu wake. Keki ya Taifa lenu ni lazima iliwe na wote lakin sio baadhi tu. Na kwa mujibu wa Historia ya nchi yenu Tanganyika suala la UDINI haliwezi kukwepeka kwani hilo ni kovu mliloachiwa na Ukoloni wa Mwingereza kama ilivyo kwa ukabila kwa Uganda na Kenya.
Unakumbuka katika maoni yake aliyewahi kuwa bosi wangu pale wizara ya fedha na muasisi wa Chadema kuhusu uundwaji wa makamishna wa Katiba mpya.Alinena Waislam wamezidi katika tume hiyo ya katiba. Je unajuwa kwanini? Je angekuwa kenya unajuwa angeuliza nini?
Lakin kwa kukusaidia zaidi si kila kitu katika sensa kinatakiwa kwa wakti ule ila kuna wakti kitahitajika. Suala kama jinsia , ulemavu na umri vinatakiwa kwa wakati maalum na shughuli maalum kama ilivyo dini.
Funguka zaidi usijinyonge na kuangalia suala hili kwa utenge.
Nilipo Blue si kweli hata kidogo.