Sheikh Ponda na wenzake wasisitiza waislam kugomea sensa!

Status
Not open for further replies.
Mumeingia mikataba ya kidhulma na serikali ya MOU ndio maana munajenga hivyo vyuo waisilamu hatujaingia mikataba ya kidhulma ndio maana hatuna hio sisi ni watu wa halali na nyie kwenu haramu ndio halali

Kile cha Morogoro mlijenga na Bakwata?
 
Huku kwetu mafia cardinal pengo atafanya harambee mwezi ujao wa hospitali ya kisasa
Tumaini University wameongeza Chuo Kikuu Bukoba kinaitwa Joshua Kibira. Vyuo vingine vimeanza kujengwa Singida na Mbeya. Tuacheni sisi tunaolilia Kadhi na kugomea sensa nyie imarisheni watu wenu kielimu
 
Fanyeni hima watu wote wa mrengo wenu wajua na msiwasaliti maana mnapenda kutoa taarifa baadae mnakengeuka na kuacha wananchi wasipate pa kusemea
Kama ni hivyo kwanini Mufti alisema waislamu washiriki sensa?
Kama nyie viongozi mnasalitiana je kweli mpo kwa ajili ya Allah?
Je Mufti anasemaje juu ya utata huu? au ni kukaa pembeni mpaka mwisho?
Kama mnasema Mufti kasema tofauti na mliyokubaliana? Je hakuna namna ya kukubaliana ili muache kuaibishana?
Je kama Mufti atamwogopa binadamu na si Allah kwa maelezo je anafaa kuwa kiongozi wa dini ya Kiislam?
Malizeni tofauti zenu msitumie umma vibaya kesho mtaenda kuulizwa na Allah na kama kweli Mufti kakengeuka msihini ili yeye ndo atoe tamko kwani wengi wanamsikiliza kuliko mnavyodhani?
Na nyie mnaoendesha mjadala huu keshokutwa tu mtatfautiana juu ya mwezi na kila ummoja akijiona yeye ni sahihi je ndo Elimu yenu imeishia hapo tu?
Muombeni mungu kwani aliyembora mbele ya Allah si kuwahi kufunga wala kufungua ila Uchamungu tu
Na mkae mkijua mkizidi kufarakanisha waislamu adhabu yenu kwa mola wenu itakuwa kali zaidi! na Mshaurini Mufti wenu na Muheshimuni ndo mtasikilzana kama uanamdharau na unaenda na majibu yako ili akayafuate basi wewe Elimu yako ndo rudi Madra tena!/Ushauri si lazima aufuate ndo maana kuwa Kiongozi si Bomba la kutolea maamuzi ya watu binafsi!
 
Huku kwetu mafia cardinal pengo atafanya harambee mwezi ujao wa hospitali ya kisasa

Mkakati wa walutheri na wakatoliki ni kuhakikisha kila jimbo/ dayosis ina chuo kikuu chao na Hospitali yaje ya Rufaa. Wenzetu kazi kuzurura na makubazi kudai Kadhi na ksusia sensa
 
Dini ya mwarabu ni janga kwa taifa.
Hiyo sio kauli njema kwa kudharau dini ya watu wengine, we cha muhimu ungezungumzia kuhusu tamko la S.Ponda. Pia serikali isidharau kauli kama hizi kwani Lengo la Sensa linajulikana sasa kama itatokea baadhi ya watu kugoma inamaanisha takwimu zitakuwa na kasoro kwa hiyo hata lengo la Sensa halitaweza kufikiwa kwa kiwango stahili
 
unadhan itaishaje? yan serikali iingie gharams halafu wehu wachache kama huyu walete hasara halafu waachwe!
Huyo mwehu ana hamu ya ugali wa dezo[/QUOTE

Saaafi sana kumbe unatambua suala la serikali kudeal na wehu, lakini serikali hiyo hiyo ikiwashughulikia wapuuzi wengine wewe na wanaojiita wanaharakati mnapiga kelele na kutoa tamko.

images
 
Kwa nguvu kubwa mnayoitumia hapa kumpinga Sheikh Ponda kwa nini msipeleke salaam ili kipengele cha kabila, na jinsia pia iondolewe ikiwa hamtaki kipengele cha dini.. Maana hofu yenu ktk dini inaweza patikana kwenye kabila ama Jinsia au nambieni nyie kabila la mtu kuwepo ktk sensa inaleta umuhimu gani?.

Jamani tunahesabu watu, watu ambao wao wana makabila yao, jinsia zao na hta dini zao hivyo kuwajua mchanganyiko wa wananchi walipo chini ya Utaifa wetu. Nitaendelea kumpongeza Sheikh Ponda ktk hili maana sioni sababu kabisa ya kuodoa Dini lakini kabila na jinsia yawepo ikiwa hakuna sababu za kuwepo vitu hivyo.
 
Mbona kipengele chenyewe tayari kipo! hivi kwa majina tu si unaweza kutofautisha hawa ni wa Dini flani na wale ni wa Dini flani?

Au kwanini kushindana nao Sensa waweke hicho kibox cha kutambua Dini ila kiwe ni optional kujaza, kwa maana hiyo wakati wa reporting kitakuwa hakizingatiwi, kwisha.

Kuna kijana mmoja tena ana asili ya Kiarabu anaitwa Abdallah, huyu Ma jehovah witness wa Dar wote wanamjuwa, si Muislaam. Majina pekee si kigezo kamili.
 
Nina Rafiki yangu ni Muislam anamdharau sana huyu Sheikh. Kwani ye kama anataka kugoma si agome peke yake na familiya yake? Au anadhani kugoma ni sifa? Kweli elimu ni msaada mkubwa kwa binadamu.



Nina rafiki yangu Mkristo anamdharau sana Kilaini. Kama anataka siasa si angevua joho kama Padri Slaa? Au nadhani Chadema kuandamana ni sifa? Kweli busara na hekima ni ngao nzuri kwa binadamu.:eek2:
 
Huyu Jamaa anatumiwa na IRAN kugombanisha waislamu na wakristo hapa tanzania. maneno ya kususia sensa ya kitaifa hayajatoka kinywani mwake bali kwa serikali ya IRAN ambayo inataka kujua idadi kamili ya waislamu wa tanzania halafu waifanye nchi yetu kama walivyoifanya Nigeria kule Kano na kaskazini yote. Lazima ujue wazi kuwa, marekani na China zinaijenga africa lakini IRANI kwa kupitia urafiki wa kidini, inaibomoa Africa.





Kadinali Pengo anatumiwa na Vatican na Marekani na Waingereza ili waweze kuifanya nchi yetu kama Sudan.:wacko:
 
HIVI KUNA WATU NA AKILI ZAO KABISA HUWA WANAMSIKILIZA HUYU MTU? Nionavyo mimi huyu jamaa hana analo lijua zaidi ya kuona Nchi yetu inaingia kwenye matatizo kwa kisingizio kuwa waislamu hawatendewi haki. nijuavyo ameshapuuzwa kitambo amebaki anahangaika peke yake.ukimfuatilia nyendo zake utagundua hata watoto wake hajawasomesha elimu dunia lakini anategemea wapate upendeleo wapewe kazi hivyohivyo. kazi kwelikweli.
 
Ni matatizo ya kuchanganya mambo kwa kusingizia na kudai ni haki kwa wlango wambele lakin kwa mlango wa nyuma likibeba agenda za siri, na aliepanda mbegu hii ametulia magogon kimya bila shaka akifurahia kumea kwa mbegu yake alopanda yaan udin.

Chukua mfano mdogo wa wakatoliki

Kuanzia ngazi ya taifa, mkoa mpaka kila kijiji vitongoji na mitaa wanafaham idadi ya waumin wao

RC Wanatambuwa idadi sahihi ya wazee, vijana, watoto na wasiojiweza kwa waumin wake wote.

Wanafaham vema idadi yao kupitia makanisa na jumuiya zao ambako sensa zao hufanyika natakwim kujengwa kuanzia vigango, parokia, jimbo na hatimae taifa.

Yote hayo kanisa katoliki linafanya bila kuishilikisha serikali wala kutumia mgongo wa serikali kwa maana yoyote ile.

Ponda na kundi lake wanaweza kuhesabu waumini wao misikitin na kupata takwim kwa uhakika na ufanisi mkubwa.

Ikumbukwe kwamba takwim kwa maana ya iman yoyote ni jukum la wenyeiman yao kuifanya kulingana na mahitajio kwa maana ya matumizi katika iman au din husika

well said,
na hao mabeberu wa nje wanaofikiri kwa vile sisi ni maskini basi hata ubongo hatuna, watashangaa na mioyo yao. Kwenye dunia hii ya utandawazi kila kitu kinajulikana, na bongo zetu zinafanya kazi vizuri tu, in ten years kutakuwa na mabadiliko kabambe pande hizi. Hakuna tena mngereza, mmarikani wala mwarabu atakayethubutu kuja kutake advantage za kijinga kama hizi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom