John Heche: Hukumu Haitetewi inajitetea yenyewe

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
391
Reaction score
999
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche, amepinga msimamo wa Serikali kuhusu hukumu iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akisema hukumu hiyo inapaswa kujitetea yenyewe kwa kutenda haki badala ya kutetewa.

Heche ametoa kauli hiyo kupitia mitandao yake ya kijamii, akimjibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Kombo, kufuatia taarifa ya Serikali iliyotaka Uingereza na washirika wa kimataifa kuheshimu uhuru wa mahakama na michakato ya kisheria nchini.

Katika ujumbe wake, Heche, amedai hukumu dhidi ya Lissu inaonesha uonevu na hila, akibainisha suala hilo linafuatiliwa na jumuiya ya kimataifa. Mahmoud Kombo hukumu haihitaji kutetewa, hukumu inajitetea yenyewe kwa kutenda haki. Hukumu yenu ya mchongo ipo, kila mtu duniani anaisoma na anaona uonevu, hila na uovu mlitenda dhidi ya Lissu,” ameandika Heche.

Aidha, amelinganisha hali hiyo na historia ya makaburu nchini Afrika Kusini waliomfunga Nelson Mandela, akisema wakati huo walitetea hatua zao kwa hoja ya kuwa nchi ilikuwa na mamlaka yake yenyewe.

Heche pia ameituhumu Serikali ya Tanzania kwa kuwanyanyasa wapinzani, akisisitiza kuwa wananchi hawatanyamaza kuhusu kile alichokiita udikteta.

Kauli ya Heche imekuja baada ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kueleza kuwa hukumu dhidi ya Lissu ilitolewa na mahakama yenye mamlaka kisheria baada ya mchakato unaostahili, huku ikisema Lissu alipewa haki za msingi ikiwemo uwakilishi wa mawakili na fursa ya kukata rufaa.

Lissu amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi badala ya tuhuma za uhaini alizofikishwa nazo mahakamani tarehe 10 Aprili 2025 Tarehe 6 Novemba 2026, Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, ilimhukumu kifungo hicho Lissu baada ya kutomtia hatiani kwa uhaini na kubaini alitenda kosa la uchochezi.

Mwisho.
 
My friends, ladies and gentlemen in politics,
hakua haja wala sababu hata moja ya kubabaika au kupanic kama fisadi heche na mwabukusi dhidi ya hukumu ya wazi kabisa iliytolewa kwaajili kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaesota korokoroni hivi sasa

hukumu ishatoka na mfungwa yupo jela anatumikia adhabu aliyopewa na mahakama huru ya Tanzania.

hakuna haja ya kupiga mayowe nonsense ndani na nje ya JF, ambayo kwakweli hayawezi kusaidia wala kubadili ukweli mtupu kwamba kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kafungwa jela na yupo anasota korokoroni kutumika adhabu aliyopewa na mahakama huru ya Tanzania. Full stop.🐒
 
The freedom is coming. Hata Nelson Mandela alipitia changamoto nyingi katika safari ya ukombozi wa Afrika Kusini. Ukombozi wa taifa haufanyiki kwa siku moja; ni safari inayohitaji uvumilivu, msimamo na kujitolea. Afrika Kusini nako walikuwepo vibaraka kama nyinyi, waliodhani mfumo hauwezi kubadilika na waliopinga harakati za ukombozi. Lakini historia ilionyesha kuwa hakuna mfumo unaodumu milele.
 
Ni vizuri serikali iunde kitengo cha kutetea hukumu za mahakama.
 
My friends, ladies and gentlemen in politics,
hakua haja wala sababu hata moja ya kubabaika au kupanic kama fisadi heche na mwabukusi dhidi ya hukumu ya wazi kabisa iliytolewa kwaajili kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaesota korokoroni hivi sasa

hukumu ishatoka na mfungwa yupo jela anatumikia adhabu aliyopewa na mahakama huru ya Tanzania.

hakuna haja ya kupiga mayowe nonsense ndani na nje ya JF, ambayo kwakweli hayawezi kusaidia wala kubadili ukweli mtupu kwamba kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kafungwa jela na yupo anasota korokoroni kutumika adhabu aliyopewa na mahakama huru ya Tanzania. Full stop.🐒
🚮
Wewe chawa na kibaraka wa mafisadi, watekaji na wauaji em tulia
 
The freedom is coming. Hata Nelson Mandela alipitia changamoto nyingi katika safari ya ukombozi wa Afrika Kusini. Ukombozi wa taifa haufanyiki kwa siku moja; ni safari inayohitaji uvumilivu, msimamo na kujitolea. Afrika Kusini nako walikuwepo vibaraka kama nyinyi, waliodhani mfumo hauwezi kubadilika na waliopinga harakati za ukombozi. Lakini historia ilionyesha kuwa hakuna mfumo unaodumu milele.
Gentleman,
we are free nation.

And as a country,
we are currently more united, more powerful and more stronger than before and nobody can stop that or do anything against our beautiful nation transmission processes under the capable leadership of president and national chairman of Chama cha Mapinduzi Dr Samia Suluhu Hassan.

tell all your friends and relatives about this without any fear of contradictions and it will be much better gentleman 🐒
 
Being a free nation does not mean that everything is right in the country. True national unity is not measured by how loudly people praise the leadership, but by whether citizens enjoy equal rights, freedom of expression, justice and respect for human dignity.

You claim that Tanzania is more united and stronger than before, but what evidence supports that statement? Can a nation claim to be united when some citizens still raise concerns about accountability, political freedoms and justice?
A strong nation does not fear criticism, and a confident leadership does not demand unquestioning praise. Tanzania belongs to all Tanzanians, not to one political party or individual.
Freedom means having the right to speak, question authority and hold leaders accountable without fear of intimidation. That's what genuine national unity should
 
everything is right in Tanzania and we are currently very okay politically, economically and socially than before, and no nation in this world or a group of people somewhere can dictate anything within our more united, more powerful and more stronger country under the capable leadership of president and national chairman of Chama cha Mapinduzi Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
 
Killing more than 500 Tanzanians is considered acceptable? Abducting people is considered acceptable? Engaging in corruption is considered acceptable? Where is Polepole? And where is Dr. Emanuel Nchimbi?
 
I think those are useless allegations and ofcourse nonsense drama's that can not stop our beautiful nation to shine more economically, socially and politically on the face of the some confused world nations towards the achievements that our country currently enjoying.

go and tell your friends, relatives and your party leaders about this without any fear of contradictions 🐒
 
Does this mean that no people were killed on October 29? Why, then, did you establish a commission of inquiry? And today you are claiming that these are baseless allegations?
Perhaps you are simply here to oppose everything, while continuing to be intellectually ignorant and mentally enslaved.
 
just write a specific motion on the platform, I think it will be much better.

It's not fair to deconstruct the ongoing motion with useless porojoz 🐒
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche, amepinga msimamo wa Serikali kuhusu hukumu iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akisema hukumu hiyo inapaswa kujitetea yenyewe kwa kutenda haki badala ya kutetewa.

Heche ametoa kauli hiyo kupitia mitandao yake ya kijamii, akimjibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Kombo, kufuatia taarifa ya Serikali iliyotaka Uingereza na washirika wa kimataifa kuheshimu uhuru wa mahakama na michakato ya kisheria nchini.

Katika ujumbe wake, Heche, amedai hukumu dhidi ya Lissu inaonesha uonevu na hila, akibainisha suala hilo linafuatiliwa na jumuiya ya kimataifa. Mahmoud Kombo hukumu haihitaji kutetewa, hukumu inajitetea yenyewe kwa kutenda haki. Hukumu yenu ya mchongo ipo, kila mtu duniani anaisoma na anaona uonevu, hila na uovu mlitenda dhidi ya Lissu,” ameandika Heche.

Aidha, amelinganisha hali hiyo na historia ya makaburu nchini Afrika Kusini waliomfunga Nelson Mandela, akisema wakati huo walitetea hatua zao kwa hoja ya kuwa nchi ilikuwa na mamlaka yake yenyewe.

Heche pia ameituhumu Serikali ya Tanzania kwa kuwanyanyasa wapinzani, akisisitiza kuwa wananchi hawatanyamaza kuhusu kile alichokiita udikteta.

Kauli ya Heche imekuja baada ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kueleza kuwa hukumu dhidi ya Lissu ilitolewa na mahakama yenye mamlaka kisheria baada ya mchakato unaostahili, huku ikisema Lissu alipewa haki za msingi ikiwemo uwakilishi wa mawakili na fursa ya kukata rufaa.

Lissu amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi badala ya tuhuma za uhaini alizofikishwa nazo mahakamani tarehe 10 Aprili 2025 Tarehe 6 Novemba 2026, Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, ilimhukumu kifungo hicho Lissu baada ya kutomtia hatiani kwa uhaini na kubaini alitenda kosa la uchochezi.

Mwisho.
Wizara ya Mambo ya Nje ilikuwa inajibu taarifa iliyotolewa na Waziri wa UK. Nashangaa viongozi wa upinzani kuingilia na kupotosha context. Nafikiri inabidi Wapinzani wawe wanatumia muda mwingi kutafakari siyo kuojgea kila kitu
 
Back
Top Bottom