Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 844
- 1,606
Sheikh Issa Ponda akijibu maswali ya Wanahabari hii leo Machi 12, 2026 katika uzinduzi wa Kitabu chenye tafsiri ya hukumu ya shauri namba 27603/2024 kati ya Waislamu 12 dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na BAKWATA amesema hakuna taasisi yoyote ya Kikristo au mtu yeyote anaewasaidia kifedha kupambana na BAKWATA.