Sheikh Ponda: Furaha imetoweka, tutafakari upya

Sheikh Ponda: Furaha imetoweka, tutafakari upya

Namkubali sana huyu Mzee,ni mkweli na mwenye msimamo mkali asiye na chembe ya woga.
Na haki kwa viongozi wa kiislamu wangekuwa naizungumza kama sheikh huyu..bila shaka tungekuwa mbali mno.
 
Sasa nimepata jibu la misukosuko iliyomkumba Sheikh Ponda, na Mungu kwa kuonesha utukufu wake yote mabaya yaliyolengwa kwa mja wake huyu yaligonga mwamba.
Ama kweli nimeamini msema mkweli ni mpenzi wa Mungu.
Ishi maisha marefu Sheikh Ponda...

Nami niwatakie Eid El Hajj waislam wenzangu kote ulimwenguni.
Sina la kuongeza binamu yangu, umemaliza yote
 
Ponda anazeeka vibaya, waislam wamemshitukia hawachangi michango ya ajabu ajabu inayoishia ktk matumbo ya mashehena
Una laana wewe, Panda angekuwa ananunulika angeshanunuliwa kuanzia awamu iliyopita, masheikh njaa Ndio hao wa bakwata sio huyo
 
Hivi tunalamika kwa kukosa pesa kwa majukumu halali tuliyokuwa tukitekeleza ama majukumu ya ujanjaujanja. Tunahitaji kubadilika na si kulalamika hakuna hela huku umelala ama kukaa vijiweni bila ishu ya msingi. Mimi ninachokiona sio tu hakuna pesa ila wengi wetu tulizoea kupata pesa

Unahabari

1. Makampuni ya cementi hayauzi
- unjenzi hakuna...ajira na vibaruwa hakuna
-kupunguzwa wafanyakazi

2. Bandari kavu zoote hoi
- Hakuna ajira
-mzunguuko wa pesa kaburini

3. migodi kufyeka ajira

4. Fast jeti mbioni vilevile kufilisika

5. Kabandari ka salama hoi

6. Reli za uhuru na kati mahututi

7. kilimo kwanza hakieleweki

8. BRN iko mutuary

Kwa taarifa yako udokozi, wizi na ujambazi umeongezeka exponentially siku hizi

wewe unabisha tuuuuuuuuu....endelea
 
Nakuunga mkono mkuu,hizi pesa zinazozungumziwa ni zipi?za halali au za kupiga dili?kwa hyo madili yakibanwa hakuna sherehe?nimegundua kumbe watu wengi walikuwa wapiga dili,mbona mimi maisha yangu yako vile vile?Napata laki yangu na 80 vile vile na sioni kitu kimebadilika?nadaiwa ada kama zamni na mwenye nyumba namkwepa kwepa sasa tufanyeje?Bana baba bana tu hadi watuombe samahani!
 
Kwa nini watu hawajengi?hawalipwi mishahara yao?au kumezidi nini?
 
Ngoja watakapo kuingilia ndani namkeo kwahicho kilaki ukisemacho ndo utafaham

utafaham njaa haina ndugu wala rafiki....sio kukuibia tu....ukipona nondo na mapanga nk shukuru Muumba.
 
Kwa nini watu hawajengi?hawalipwi mishahara yao?au kumezidi nini?

1. Unafaham sasa hivi tunalipa kodi kiasigani kwa ujumla?

30% pay as you earn

Zikiingia benki....wamekinukisha makato yakufa mtu...kisingizio service charge etc

ukienda kunua bidhaa baada ya kufyekwa benki .....unalipa Vat kwa kila bidhaa

nk

2. Unafaham makampuni yameondoa malupulupu, bonus nk kwa kiasigani?

Sasa hivi kila kampuni inaongelea cost cut ikiwemo kupunguza wafanyakazi ...kama hujuwi tafuta sababu
 
Hivi tunalamika kwa kukosa pesa kwa majukumu halali tuliyokuwa tukitekeleza ama majukumu ya ujanjaujanja. Tunahitaji kubadilika na si kulalamika hakuna hela huku umelala ama kukaa vijiweni bila ishu ya msingi. Mimi ninachokiona sio tu hakuna pesa ila wengi wetu tulizoea kupata pesa
. Kweli kbsa,tukubali mabadiliko,Pesa zenyewe wengi wtu tujiulize je zilikuwa za halafu jamani!! Tuwe wa kweli na tumwogope Mungu
 
Na haki kwa viongozi wa kiislamu wangekuwa naizungumza kama sheikh huyu..bila shaka tungekuwa mbali mno.
Sanaaaaa viongozi wetu wengi ni wanafiki na wanaojali madaraka zaidi ya dini yetu.
 
Furaha itoke wapi wakati Mungu wa Ikulu anadhani kuongoza nchi ni kutoa kauli zilizojaa mihemuko na vitisho kila kukicha, mihemuko na vitisho ambavyo vinaharibu umoja na mshikamano nchini.

Kawaruhusu polisiccm wafanye mazoezi yao uraiani pamoja na kuwa wana makambi yao ili tu kuongeza hofu kubwa miongoni mwa Watanzania na kuuvuruga uchumi wa nchi kwa kipindi kifupi sana, ni lazima furaha nchini ipotee.
Umesema vema ila hilo neno "Mungu" lilipaswa kuwa "mungu".
 
  • Thanks
Reactions: BAK
AMA kwa hakika JK atakumbukwa daima! baraka na neema vimetoweka vyote
Wallah watanzania hatuna jema huyu si ndio mliokuwa mkimsinga na vijimaneno mbofu mbofu jama kuiongoza hii nchi sio jambo la lelemama kama tunavyodhani kutokana na watu kuwa wabadhirifu kila kona mpaka mjeumuelewe Rais Magufuli itachukua muda hii nchi ilikuwa kwenye tanuri la walaghai, wezi, walafi , manafiki na mengine yafananayo nayo tumpe muda Rais wetu na kwa pamoja tutaweza ngoja akate mizizi ya walanguzi wote wa nchi hela tutakayo ipata iwe ni ya halali na yenye kheri wee mtu ilifika mahali ukimgusa mtu tu kwa bahati mbaya unaambulia unanijua mimi ni nani? Sasa hiyo hakunaga tunaheshimiana mkubwa kwa mdogo asiye fanya kazi na asile sio kama miaka ya nyumba mtu mpambe tu nae milionea Go Magufuli watakuelewa tu.
 
Back
Top Bottom