Ukweli ni ukweli tu. Ukweli ni jina la Mungu na ni sifa yake pia. Haiitaji mpaka uwe Gwajima au Ponda haiitaji uwe na dini ili uuseme ukweli.Sheikh Ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,Ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa Ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu
Ponda asiogope mbona dkt Slaa alikuwa ni askofu akaamua moja,mchungaji Msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini.
Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni Safari makamu mwenyekiti CHADEMA hivyo umekamatwa kama mwanachadema.
Pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama
Ponda umevalishwa mkenge!
Siasa mpaka 2020!
Kama walivyoingia wengine uluowaingiza kwa ushabiki wako Wa kilumumba.Ameingiaje hapa!
Nyie vijana wa Le mutuz bangi ziawauaSheikh Ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,Ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa Ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu
Ponda asiogope mbona dkt Slaa alikuwa ni askofu akaamua moja,mchungaji Msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini.
Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni Safari makamu mwenyekiti CHADEMA hivyo umekamatwa kama mwanachadema.
Pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama
Ponda umevalishwa mkenge!
Siasa mpaka 2020!
Alikuwa katibu wa baraza la maaskofu Tanzania(TEC)Dr Slaa mwaka gani alikuwa askofu? Jimbo gani hilo alikuwa askofu?
Huwezi kuwa Lumumba Fc ukabaki na akili zako zote. Mtu anaongea kuhusu Shehe Ponda, hawa anawaacha utafikiri hawaoni. Kama Huyo mama hajaacha uchungaji na mnae mpaka vitu maalum mnampa na kijani anavaa na ndiyoooo anatoa bungeni, Leo unatuletea uharo hapa eti mshauri Wa Shehe Ponda.!!Vipi kuhusu LWAKATARE NA PENGO UMEWAPELEKEA NAO HUU UZI?
Wakili mtu anamchukuwa anayemuamini si mradi wakili ili kufurahisha watawala na watesi !!Mbona hakutoka masumbuko lamwai,safari amefika pale sababu ya jina la lissu jumlisha chadema!
Mali za waislaamu alizokuwa anapigania mbona serikali imekuja kuzirudisha kwa bakwata kama sheikh Ponda hakuwa sahihi?! Mbona mlimtesa mpaka kumpiga risasi kama mhalifu?! Acheni ukaburu hautaisaidia TZAmejichagulia Njia Mbaya muache muda utaongea
Unaweweseka!Le mutuz kawapiga bangi vijana wake kawatuma jukwaani kuja kuichonganisha chadema na Ponda lakini hawajui kuwa ponda na chadema ni marafiki wa siku nyingi sana propaganda za CCM hazitafanikiwa kamwe sana sana waislam watazaa na Le mutuz kwa kula pesa za CCM kisha kuwahujumu kwa njia haramu.
Lipumba amekasirika sana baada ya kuona Ponda hajawekwa ndani. Sasa anawaandaa vijana wake toka Rwanda wamchakaze ponda kama alivyomfanyia Lisu, ni vyema Shehe Ponda aanze kusoma Albadri mapema kumuwahi Lipumba kwani amekuwa gaidi Hatari.Kuongea ukweli ni kuwa mwanasiasa or O.M.G umoja wa kitaifa una teketea ,pia kutetewa na wakili mwenye mrengo wa chama Fulani ni dhambi.
kama huu niliousema!Ukweli ni ukweli tu. Ukweli ni jina la Mungu na ni sifa yake pia. Haiitaji mpaka uwe Gwajima au Ponda haiitaji uwe na dini ili uuseme ukweli.
Sio lazima uwe Mwanasiasa.
Hapo hapo ulipo hata Kama ni mkaanga chipsi.
Sema usikike.
Ukweli ni ukweli na ukweli haujawahi muacha MTU salama.
Usipoguswa na yaliompata Tundu lisu basi wewe utakua umemkana Mwenyezi Mungu na kweli yake yote.
sio Shekh ponda pekee, bali Dunia inatakiwa ipige kelele juu ya yaliompata Tundu Antipasi Lisu, ikemee ukatili huu kwa innocent civilians.
Mathayo 5:6
Heri wenye njaa na kiu ya haki;
Maana hao watashibishwa.
Lipumba kala tenda yake yupo na Nissan nyeupe wanamjadili sana kila siku, ponda awe makini sanaMali za waislaamu alizokuwa anapigania mbona serikali imekuja kuzirudisha kwa bakwata kama sheikh Ponda hakuwa sahihi?! Mbona mlimtesa mpaka kumpiga risasi kama mhalifu?! Acheni ukaburu hautaisaidia TZ
achana na hilo ZEZETA lisilojitambuaDr Slaa mwaka gani alikuwa askofu? Jimbo gani hilo alikuwa askofu?