Then keep on investing on ignorance and don't become a Wailer!!!, By the way dude, stop being paranoid and myopic. Yaani kwa kuwa kuna wakinga "matajiri" wasojua kusoma, kwahiyo wote tuwe hivyo? Kwamba elimu ya darasani haina maana?Kuna Wakinga matajiri hapo Kariakoo, hata majina hawajui kuandika !
Kama unadhani ile ya juu zuu itakusaidia kutatua matatizo basi hata wanao wapeleke wakasome ila mkifeli msiilaumu NECTA! Babu yangu kwa wakati wake alikuwa na BSc. ya Kiafrica ambayo kwasasa haiwezi kutatua matatizo tunayokuwa nayo! Hafu huku ndo kuchanganya habari!!!! Asante kwa kusoma post yangu!!!!
MOD, kwa maneno haya huyu naye anastahili BAN, la sivyo kuna upendeleo humu ndani.
Ikisemwa dini yako unakuja juu. Ikisemwa ya mwenzio unakaa kimya au unashangilia. Ally Kombo aliposema Bible ni gazeti la udaku mbona sikukuona mkuu? Au kwa vile anahudhuria msikitini?
na napendekeza hilo swali liulize wewe ni muislam au mgalatia? itatosha kujua idadi yetu ili 2015 tuwachagulie tunaemtaka sisi.huyo uliyemtaja
mwanzoni na kuuliza kuwa ana akili nyingi kuliko Mungu ndiye
anayewaongoza hao jamaa katika kila kitu kwenye maisha yao ndo maana
hata muda mwingine mtu unaweza kushangaa hivi vitu wanavyokomalia vina
msingi gani?
Shehe issa ndio nani? Mnywa kahawa au mpumbavu mmoja
MOD, kwa maneno haya huyu naye anastahili BAN, la sivyo kuna upendeleo humu ndani.
Ban ya nini wakati kaongea ukweli
Kosa linabaki kuwa pale pale, mkikutwa mnapigana ni kosa la jinai wote mnapigana hadharani bila kujali nani alianza kumpiga mwenzie, halikadhalika kutukanana vivo hivyo. Huyu katukana naye anatukana ni sawa na chizi kachukuwa nguo zako anakimbia nawe unatoka majini unamkimbiza uko uchi, nani ataonekana chizi zaidi hapo? Kumbuka sikumtetea huyo aliyetukana awali, elewa point inyozungumzwa na mtu kwanza , lichukuwe hili litakusaidia ktk mambo mengine na namna ya kuishi na watu pia, ushauri wa bure tu huu nakupa mdogo wangu ktk kutengeneza PR.
Nilikuwa nikiangalia sababu za moja ya magonjwa ya kiakili unaoitwa Schizophrenia, ugonjwa ambao mgonjwa husikia sauti na kumuamrisha kufanya vitu, sijawahi kuona huu ugonjwa ukiandikwa ni kitu gani kinachousababisha, je unaweza kutupa sababu za ugonjwa huu?You dead wrong, unachojisifia kasome Biblia vizuri uone:Suleimani alimuudhi Mungu kwa wake zake waliotoka mashariki, ambao walileta matambiko na ibada zao mbaya ktk nyumba za Israel.Ndipo utaona kuwa mila za waarabu kipindi kile zilikuwa zimejaa mahusiano na majinn.So kumtumia suleiman hakumaanishi uhalali kwa Mungu.
Kweli? soma hii muone jinsi majinn nayo yatawakataa "O you assembly of jinns and mankind! "Did not there come to you
Messengers from amongst you, reciting unto you My Verses and warning you of
the meeting of this Day of yours?" They will say: "We bear witness against ourselves."
It was the life of this world that deceived them. And they will bear witness against
themselves that they were disbelievers. S. 6:130 Al-Hilali & Khan""
Na majinn ni mashetani.Ibn Taymiyah said that Iblis is the father of all jinn, citing Surat-Al Kahf as proof of this.... Will you, then, take him and his progeny as your guardians rather than MeIbn Taymiyah believed that the term "progeny" implied that the jinn are Shaytan's children.
although they are your open enemies? What an evil substitute are these wrong-doers taking!-
(Surat Al-Kahf) 18:50
(Iblis, source, accessed 31 March 2009)
Sijui wapi binadamu akaweza fanya waliolaaniwa na Mungu watakatifu?Sijui kwa nini waislam mnapoteza muda na vitu impossible na visivyowasaidia.We unaonyesha uhalalishaji wa majinn ila logic na maandiko ya kiislam ya clue zote kuhusu ubaya wa majinn.Hata life experience tuu kwa walikumbwa na majinn si impressive kihivyo.Wainjilist wengi wamepata wafuasi kutoka ktk uislam kwa sababu ya majinn.
Nilikuwa nikiangalia sababu za moja ya magonjwa ya kiakili unaoitwa Schizophrenia, ugonjwa ambao mgonjwa husikia sauti na kumuamrisha kufanya vitu, sijawahi kuona huu ugonjwa ukiandikwa ni kitu gani kinachousababisha, je unaweza kutupa sababu za ugonjwa huu?
Vatican ni nchi . Je oic ni nchi?
nchi nyingi tu hata kwenye passport zao unaweza kuona sehemu inayokutaka kubainisha dini yako.
Mfano wako wa Israel na Palestina sio sahihi, Israeli wangeachwa peke yao wangeshatandikwa siku nyingi na Wapiganaji wa Kipalestina, ila kwa vile Israel inasimamishwa na mataifa ya Magharibi, USA, UK nk