Mwabieni Sheik Ponda akasome kwanza Repoti za CAG za kuanzia mwaka 2009/10 mpaka 2013/14.
Rais Magufuli na jopo lake wanachofanya ni kuzisoma hizo repoti na kutumbua majibu.
Kama vipi anaweza kuingia kwenye tovuti ya National Audit Office;
Katiba ya jamhuri ya muungano inaruhusu uhuru wa maoni kwa mtu yeyote:Amekuwa mwanasiasa sasa
Mnakamua au mnafanya maigizo?lingeundwa jopp la wataalamu al-maarufu tume ya uchunguzi mngelalamika,hebu tulieni kwanza tuyashughulikie haya majipu ili heshima iturudi.
waswahili wanasema,ukimuona mtu analia sana wakati akikamuliwa jipu,ujue anakaribia kupona.
ENGLISH..teh teh tehMagufuri ana PHd ponda anaelimu gani hadi aseme Magufuri anatumbua majipu bila ushahidi? Ponda jipime kama unafaa kuropoka au uwe mtazamaji.
Walio mpa ajira niwakina nani?Na silazima kilahatua atakayochukua kufukuza wezi eti aje kutuambia,nyingine afanye na jopo lake tumeshaamua kumpa kazi. Kilakitu aje kuripoti kwetu ili iweje,atakapojiskia kusema na aseme japo vingine Ni aibu hata kusema...mf mtummoja mishahara 17 inamaana serikali iliyopita ilikuwa na uzembe wa kuchezea kodi zetu alafu walimu wakiomba nyongeza za mishahara wanaambiwa wakatafute kazi nyingine za kuwalipa vizuri eti kasungura kadogo...
Kwanza huyo ponda anayeponda yeye kawahi kufanyia hii nchi jambo gani la maana zaidi ya udini??
Na wafanyakazi nao wafuate maadili na miiko ya kazi zao sio wanakuwa na kiburi,dharau, wezi wa mali za umma na kujiona miungu watu.Yupo sahihi shekhe Ponda huwezi kumfukuza mtumishi wa umma kwa kusema tu jukwaan watumishi wa umma wana taratibu zao na mamlaka zao za kinidhamu. Haya yanafanyika sasa si sawa.
Soma katiba ya nchi ndio urudi hapaNataka kujua CV ya Sheikh Ponda ni sawa tu na wale wachungaji wenye elimu ya dini tu bila elimu ya utawala alitakiwa kujua Urais na Uwaziri ni vitu tofauti kabisa. Rais vyombo vyote viko chini yake anajua kila mtanzania amelalaje na ameamkaje ndio Maana Majambazi wanachapwa risasi tu. Sasa anataka kufanya siasa elimu yenyewe ya kujua mambo ndogo Duh Waislamu wamuombee tu! Na uzuri waislamu wasomi hawawezi kumpinga wala hawawezi kumfuata atabakia na kakundi kadogo tu kanakomzunguka. Maana Hii elimu bure nawasiwasi Viongozi baadhi hasa wabunge wataachwa wenyewe kwenye Majukwaa
Walilelewa na Vasco DagamaNa wafanyakazi nao wafuate maadili na miiko ya kazi zao sio wanakuwa na kiburi,dharau, wezi wa mali za umma na kujiona miungu watu.
Yupo sahihi shekhe Ponda huwezi kumfukuza mtumishi wa umma kwa kusema tu jukwaan watumishi wa umma wana taratibu zao na mamlaka zao za kinidhamu. Haya yanafanyika sasa si sawa.
Kaka they are clever ila shida ni kwamba kuna mentality kuwa hawajui kitu na ni watu washari basi but not true at all, maana kwa mawakili wetu hawa sijui tungoje tuoneHuo ndio ukweli tutaingia kwenye gharama za kuwalipa wahanga soon,
Kumbe na masheikh huwa wana akili.