Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Nimependa majibu yako lakini,nakueleza hawo watu unaowabeza ndio wataishi pamoja na watoto wetu tunawapeleka expensive English Medium.
Kumwambia mtu ukweli sio kumbeza, nani kawakataza kusoma?
 

sasa kama intanet hakuna siri,mbona tunaipata kupitia sim,inatosha,,,,,REDIO IMAAN ELIM BILA MIPAKA,PIA JF IMECHANGIA WASIKILIZAJ WA REDIO HII KUONGEZEKA
 
wataandamana mpaka ofisi ya wizara ya mamabo yandani na washinikiza atolewe kama walivyofanya kwa wale waliogomea sensa

Kwa kuwa wao wanasimamia wanachoamini, basi watakalo litatekelezwa... wanafiki watakaa kulalamika kwenye forums wakiwa wamevaa pamper na nepi....
 
Bado na huyu kirusi RADIO IMAAN anazidi kueneza chuki baina ya watz na kutugawa kwa misingi ya udini wake.
Inakuwaje nchi isiyokuwa na imani inakuwa na redio ya hivi na inarusha matangazo ya ubaguzi wa dini waziwazi na hakuna hatua yoyote ile inachukuliwa dhidi yake!ndo ule udhaifu nini?
 
Ijumaa naomba polisi waandae vitu vizito,mabomu ya machozi,magari ya kuwasha,na polisi wa mikoa ya pwani,morogoro waje dar kwa kazi maalum.Hakuna msalimie mtume wala msaafu ni kupiga tuu atakayejitokeza kuandamana.
Safi sana SAID MWEMA,SULEIMAN KOVA,AHMED MSANGI
 

Hakika ni kumuonea.Sheikh Ponda anatekeleza tu mradi ulioanzishwa na watu ambao hakuna shaka yoyote umewanufaisha.Hii mbegu ya udini imepandwa, ikapaliliwa sasa imekomaa.Inashangaza tunafika kwenye mavuno tunaanza kukamata wavunaji bila kuwatia pingu wapandaji. Ni sawa na kumkamata mvunaji wa bangi na kumuacha mpandaji ambaye bado anaendelea kupanda.
 
Tuamini ni kweli yote- maana yake Serikali itakuwa inatekeleza kwa vitendo kauli inayosikika - kulinda MASLAHI YA TAIFA. Utulivu na AMANI ni ishara ya Serikali inayolinda MASLAHI YA WATU WAKE. Mungu ibariki Tanzania na Viongozi wote na wabariki na kuwalinda watu wote.
 
Ama kweli unyimwe mali siyo akili! Tuna safari ndefu ya kuwaelimisha hawa watu

Familia moja watoto 20 kama ni baba ukapanga kuwapeleka international school labda ST Mary kila mtoto 2,000,000 utaweza? ndo maana hawana msaada kazi kucheza bao, shule wanakomaa wenye vipaji tu, akili za kawaida kazi yao kuimba madrasa
 
kukamatwa kwa ponda ni kazi rahisi.
Swali ni je kwa hali ya mfumo wetu wa utoaji haki ilivyo sasa ponda atawajibika kwa matendo yake ya kuhatarisha amani ya nchi hii iliyodumu kwa takribani miaka 50 tangu taifa hili lipate uhuru wake.
ujue ndugu yangu suala si kumkamata ponda.tatizo ni kwamba nyuma yake kuna wanaomuunga mkono ambao watakuwa wakifanya fujo.sasa katika mazingira hayo ndo maana japo inafahamika uanavunja sheria,kuepuka kusababisha matatizo makubwa zaidi,inabidi kuanza kwa kumshawishi kuwa mstaarabu kwanza.ndo maana unakuta hata serikali zinakutana na viongozi wa waasi kwa mfano,lakini badala ya kuwakamata wanaishia kufanya mazungumzo na kuondoka na wakati inafahamika waasi ni wavunjaji sheria wa hali ya juu.
 
Serikali imelea yenyewe maradhi haya sasa wanaanza kuhangaika. Yalianza muda mrefu tu lakin masikio waliweka gundi. Tatizo limeshakuwa kubwa na nguvu na utashi wa kutosha unahitajika kuondoa tatizo hili.Pita mitaani usikie kanda za uchochezi wa kidini zinavyosikilizwa kwa sauti kubwa ili mtaa mzima usikie. Tembelea Temeke au Ikwiriri Rufiji uone. Ni hatari kwa kweli
 
maneno walioyasema MAASKOFU kuwa KIKWETE ni chaguo la MUNGU yametimia!
 
Hiyo radio imani na ponda ni msaada wa serikali ya Iran. Ponda pale mwembachi pamoja na shehe kasim walikuwa wanalipwa $200.00 kila week ili kumkashifu yesu hadharani.

Iran walifungua radio propaganda pale mtaa wa mchikichini karribu na kumekucha mart. Humo kulikuwa kunatengenezwa kanda nyingi sana na mrekodiaji walikuwa marehemu mwaipopo abubakri. Serikali iliyajua haya yote ya Iran na kutugawa sisi wakristo na waislamu lakini haikufanya lolote kumkataza Iran na mizimu yake.

Ponda mambo yake haya yote hafanyi bila kulipwa. Na hulipwa na serikali ya Iran. Sasa hawa polisi lazima wambane ponda mpaka amtaje mfadhili wake . ndipo serikali iichukulie hatua serikali ya Iran, Lakini kumkamata ponda bila kmbana mfadhili wake ni kama mimina bia katika glasi lenye tundu.

Bila serikali ya Iran mambo haya yasingetokea Tanzania. naomba serikali imbane sana ponda kuhusu mfadhili wake naye lazima atataja tuu na hapo ndipo utagundua kuwa Iran siyo nchi ya kuwa nayo ubalozi kimahusiano.
 
Kuwakamata viongozi kama Sheikh Ponda na kuuacha ukweli wa kushughulikia tatizo ni njia muafaka ya kukabilianana tatizo?nawasilisha jukwaani
 

nimekuita mnyakyusa maana hujui kutenganisha V na F,,,,rudia post yako nilokujibu,isome
 
Ndio maana nimeomba mnifahamishe.. yeye kafanya nini na kama unazo hotuba zake niwekee hapa tumjue sote huyu mtu ni wa aina gani?..nasikia tu watu wakisema amekamatwa sielewi kosa lake hivyo nashindwa kuchangia jambo.

Amevamia kiwanja cha mtu kwa madai kwamba hiyo ni mali ya waislamu na kuwaweka walinzi binafsi ili wakilinde.
 

Nakuelewa sana,na najua c waislam wote,coz mi nina ndugu na marafiki waislam tunaishi vzr sana!....back 2 radio,mfano mdogo,baada ya tukio la mbagala,km ulimckiliza ponda vzr!aliwapongeza mislim kwa kwa walichofanya(kuchoma hayo makanisa) na kuwasihi wasirudi nyuma!hebu niambie kwa kiongozi km yy alitakiwa kufanya hivyo?
 
waarabu katika nchi zao huwa na radio maalumu ya kuwachochea watu kuichukia Israel, marekani na Ulaya magharibi. Vile vile wana magazeti maalum ya kuandika propaganda za kuichukia Israek na Marekani na Ulaya. serikali lazima ilifunge gazeti la al noor na kitua cha radio cha imani. halafu lazima ipunguze maofisa wa ubalozi hapa nchini na kubakiza wawili tuu.

w atanzania sio tukubali kugawika kwa dini. Hii ni mbaya sana na mwisho wake tutakuja kuwa kama Ivory Cost, somali na lebanon. halafi ligi kuu haitapendeza.
 

ponda hakupaswa kufanya hivyo,,,,,ila kwa case ya kile kitabu(QUR'AN) HATA WASINGEAMBIWA WANGEFANYA,NA SABABU KUBWA HAPA NI KWAMBA,ASAS KUU INAYOSIMAMIA MASUALA YA WAISLAM (BAKWATA)IMEJITENGA NAOOOOO,,,,SASA WAO WANAJIAMULIA TU,MAANA PONDA IS RECOGNISED AS ACTIVIST,PIA MADAI MEEENGI YA WAISLAM HUPATIKANA KWA MIKIKIMIKIKI,hivi hivi hawapati,,,,iwe haki yao au liwe ombi,sasa ile case ya sensa kulikua na haja gani hadi waislam waandamane ndo watu wapewe DHAMANA,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…