suala si kukamatwa kwa sababu ni sheikh,bali mchochezi.sheria si tu ifanye kazi si kwake bali kwa wote wanaotumika kugawa watz kwa misingi ya udini,ukabila,ukanda,umri,ujinsia n.k,lazima tujenge nidhamu.sheikh ponda achukuliwe hatua zinazostahili kwa mujibu wa sheria pasi kumuonea,na vyombo vya habari vinavyotumika kusambaza chuki vichukuliwe hatua zinazofaa.
Ikifungwa radio Iman ujue nchi haitatawalika milele.Ponda haitoshi funga Radio Iman ndio wanaopandikiza mbegu mbaya haina tofauti na ile radio iliyowachochea wanyarwanda kupigana, watawala amkeni!
Sheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..
Bado na huyu kirusi RADIO IMAAN anazidi kueneza chuki baina ya watz na kutugawa kwa misingi ya udini wake.
utawewaza wanafiki wa humu.hata hawanaga aibu asee.
kikwete hana mamlaka ya kuifungia redio yetu,hivi ni kwanini KIKWETE ameiachia muda wote huu??? i hate it!
Sheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..
Asante Yesu,kwa kuwa umeanza kusikia maombi ya watoto wako,tunaomba amani ya kweli haliyo iacha Baba wa Taifa,GLORY TO GOD
Kirusi kibaya zaidi ni padre Slaa na jopo lake la wahuni.Ila kuachia kirusi ka Sheik ponda na Radio imaam ni kujimaliza wenyewe! Mwalimu katika hotuba zake aliwai kusema Kiongozi hatakiwi tu kusema anapinga ukabila au udini "ni lazima aonyeshe kwa ukweli kabisa kua anapinga" kwa maana kuna watu hata ukiwakata leo wana chuki za ukabila au udini kwa hiyo watu kama hao hutakiwi kuwapa muda wa kupumua ni kira mara lazima ukeeemee sasa Viongozi wetu ndio hivyo wameishia kukemea majukwaani na humu mbegu yaudini ikizidi kukua
kikwete hana mamlaka ya kuifungia redio yetu,
inaonesha huna uvumilivu,sio kila usichokipenda wewe na wenzio hawakipendi,,,,na unachokipenda wewe na wenzio wakipende,,,,,u show how fool ur,,,,,hata kuongoza nyumba yako utshindwa,,,,
wewe hupendi mavi yako,laki nzi wanayapenda,,,,,comeon
kirusi kibaya zaidi ni padre slaa na jopo lake la wahuni.
Kesho tunaanza maandamano nchi nzima ili kuhakikisha kamanda ponda anaachiwa bila masharti.
Ponda haitoshi funga Radio Iman ndio wanaopandikiza mbegu mbaya haina tofauti na ile radio iliyowachochea wanyarwanda kupigana, watawala amkeni!
Your days are numbered nakwambia sa hivi ni vitendo zaidi bila kuongeaKirusi kibaya zaidi ni padre Slaa na jopo lake la wahuni.
Kesho tunaanza maandamano nchi nzima ili kuhakikisha kamanda PONDA anaachiwa bila masharti.
Ahimidiwe Mungu alie juu sana na duniani iwepo amani kwa wale aliowaridhia.Yule mwanaharakati maarufu wa dini ya kiislamu sheikh ponda issa ponda amekamatwa na polisi usiku huu akiwa katika msikiti wa Temeke Tungi
Ss ww tuipende kwa kueneza uchochezi?au hujui km kinachofanyika kwny hyo redio si kitu kizuri?acha ujinga ww