Sheikh Ponda akamatwa Dar!

hana kazi ya kufanya zaidi ya kukusanya janjawid waandamane. muislam mwenye akili na busara hawez kufata mkumbo wa ***** mmoja, hata dini hairuhusu kufanya hivyo
 
Nakumbuka kuanzia miaka 90 pale mwembechai jina ni ponda tu na mwenzie nadhani anaitwa magezi walimwachia tu mpaka tumepata sample hii ya mbagala!
 
kosa ni nini?

Amehamasisha mambo mengi mabaya dhidi ya wakristo. Na inasemekana uchomaji wa makanisa ulipata go ahead kutoka kwake. Huyu ni sawa na alqaida hana tofauti kabisa wangemfanya alichofanyiwa Rogu kule Mombasa
 
Jmushi1, nimeandika haya baada ya kuwasoma wachangiaji walokuwa wakitukana matusi mazito na kutangaza vita. Sikuanzisha mimi hoja au mada hii. Kosa langu ni kuuliza Sheikh Ponda amefanya kosa gani? watu wanataka niamini kwamba anahusika na mauaji ya Mbagala jambo ambalo halikuwepo hapa kijiweni isipokuwa maswala ya Redio Iman.

Nachojua mimi hii ni redio ya mtu ambaye kaisajili kwa kutumia jumuiya wa Waislaam huko Mrogoro. Hawa huenda na kurecord watu mbali mbali nchini ikiwa ni pamoja na huy Sheikh Ponda ktk propaganda zao za Kidini ambazo wananchi wameikemea serikali kwa muda mrefu lakini hadi leo ina operate..

Ponda sii mwanahisa wala mmiliki wa hiyo redio isipokuwa hawa jamaa hurekodi speach zake ambazo kusema kweli binafsi yangu sijazisikia isipokuwa moja inayohusu kuipinga serikali ktk swala la sensa, maswala ya MoU na hata NECTA ambayo kwa madai yake inatakiwa seirkali iyafanyie uchunguzi..I would..Kama mnayo hotuba yoyote ya Ponda inayoukashifu Ukristu ningeomba sana mniwekee ili nami nimjue huyu Sheikh ni mtu wa aina gani lakini anapotetea maslahi ya waislaam sioni tatizo ndio kazi yake aloapa kuifanya kama navyowasikia Mbowe, Dr.Slaa kuwatetea wananchi na Chadema, Wenyeviti wa Union iwe madaktari, walimu, watumishi wa serikali au Jumuiya ya Wanawake na watoto nchini wakilalamikia serikali. Hawa wote kama hukubaliani nao utawaona wanasababisha vurugu nchini..

Nitasema tena Wadanganyika mnapenda sana kuuchonga na kutangaza vita lakini hamuwezi vita na wala sii jambo la kuombea. Diplomacy inawezekana na tusiwe na jazba tuzungumze vitu kwa kituo tupate kujua kitu gani kinafanyika. Narudia tena kuuliza Ponda amefanya kosa gani? nambie halafu tutaendelea na mjadala..
 



Mkuu vurugu za mbagala hazijafikia hatua ya mauaji! Naomba nikurekebishe kidogo hapo, otherwise naunga mkono hoja zako nzito mkuu Mkandara.
 
mkuu punguza jazba, kosa la Ponda ni kueneza chuki na uchochezi.....kumbuka juzi kwenye kipindi cha mwangaza wa jamii radio Iman aliunga mkono na kuhamasisha waislam kote nchini kuiga waliyoyafanya wenzao kuvamia na kuchoma makanisa......
 
Mkuu vurugu za mbagala hazijafikia hatua ya mauaji! Naomba nikurekebishe kidogo hapo, otherwise naunga mkono hoja zako nzito mkuu Mkandara.
Nashukuru kwa kunisahihisha.. Ila ningependa sana hawa watu wanieleze kwa ufasaha what is happening.. Sheikh Ponda amekamatwa kwa kosa gani? maana nayaona yalomtokea Sheikh Kassim bin Jumaa alokuwa akiipinga Bakwata sasa Ponda anachukuliwa na watu mnashabikia kitu ambacho hamkijui.. Yalotokea Mbagala hayana nafasi, wahusika wote wanatafutwa na watakamatwa hilo halina Ubishi lakini ukweli siku zote utatuacha Huru, kinyume cha hapo tunaitafuta shari maana haya matusi nayoyasioma humu I swear, kuna watu watashindwa kuyabeba na kesho wataamka tena na kufanya ushenzi.. Hii sio njia ya kutafuta suluhu ya matatizo yetu ya Udini..
 

You are a great thinker, nimekugongea LIKE,well said!!
 
wewe ndio maana watu wanakuita mnafiki umu ndani,leo ndio nimeprove unafiki wako...yani uhoni kosa la Ponda!!?...ooh Mungu tunusuru!!

Majukwaa yote humu ni burudani tu, siendi kwenye jokes wala nini, nabaki humuhumu,hicho ni kiswahili pia!!!!!!!!!!
 
mkuu punguza jazba, kosa la Ponda ni kueneza chuki na uchochezi.....kumbuka juzi kwenye kipindi cha mwangaza wa jamii radio Iman aliunga mkono na kuhamasisha waislam kote nchini kuiga waliyoyafanya wenzao kuvamia na kuchoma makanisa......
Na Sheikh Ponda alizungumza kuhamasisha Waislaam wachome makanisa?..
 
aiseee...jamaa bado yuko kwa sultan? (oman)
 


Kuna mwanajamvi amesema ameshtakiwa na BAKWATA kwa kuingia kimabavu kwenye kiwanja (Plot) yao huko chang'ombe sijui!
 

i second that.
 
Mkandara umejitoa ufahamu ningekwambia A to Z kilichomfanya ponda akamatwe bt you seems not ready to understand... Na hivyo basi sitapoyeza muda wangu na naomba member yoyote asipoteze muda ku'argue na ww
 
Last edited by a moderator:
Vita si nzuri na watakoumia zaidi ni wanawake, watoto na vikongwe! Kwa nchi nilizotembelea ambazo zimekuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe (Angola, Sudan, Rwanda, Kongo na Liberia), inatisha. Hata wale wanaodhani watafuta mfumo fulani kwa vita, si rahisi hivyo. Mtapigana na at the end of the day you go back to the negotiation table. Kuna mambo ya msingi serikali inapaswa kuyafanya ili kuleta umoja wa kitaifa ingawaje yanaweza chukua muda mrefu (10-15 years). Shida ya serikali ya sasa kutokana na udhaifu wake imekosa national development agenda. Tunashika kile wazungu wanachosema au kutuambia. Hatujui tunataka nini? Mipango iko kwenye karatasi tu. Hivi kwa mfano, mtoto wa mwislamu au mtu mwingine maskini anawezaje kuendelea kwa shule za kata zisizokuwa na walimu na vitabu. Matajiri na wale wenye uwezo hawapeleki watoto wao huko hata kama watoto hao wamefaulu. We need to be serious! Kikwete be serious! Acha kulidhalilisha taifa. Siku hizi Tanzania inaonekana useless uko nje kwa sababu ya udhaifu wa nafasi ya urais!
 
na hii redio ya uchochevu (Iman) ni vema nayo ifungwe. mbona redio za wakristo hazina uchochezi? huwa wanaongelea mambo yao tu ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…