Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Ukicheka na kima utaja ambulia Mabua!
It has taken too long kumkamata huyu jamaa WHY?
Naungana na Mnyika serikali legelege hii itatupeleka pabaya
 


hata sadam hussein na Osama walikuwa na mikwara kama hii, sembuse hichi kiponda!!
 
watu wanaosadikiwa kuwa ni wafuasi wa shekhe ponda waandamana kushinikiza aachiliwe
 
(MODS MSIICHANGANYE HII, hii ni zaidi ya tukio la kukamatwa kwa ponda, Jeshi la polisi wanatumbia kuanzia leo ndio sheria lazima zifuatwe, vipi kuhusu jana na siku zilizopita, inawezekana ndio maana kina mwangosi waliuawa? inawezekana ndio sababu ponda aliachiwa bila dhamana hapo awali? inawezekana ndio maana hakuna anayeogopa kufanya chochote wakati wowote? inawezekana polisi walikuwa wanaacha mambo makusudi?)

Akiongelea sakata la kukamatwa kwa bwana ponda na maandano ya waislamu waliokua wanajaribu kushinikiza bwana ponda aachiwe huru bila masharti, Kamanda kova amesema kuanzia leo watu wote lazima wafuate sheria, akisisitiza kuhusu jambo hilo amesema 'mambo ya kutofuata sheria, mambo ya kudhani kuna wengine wako juu ya sheria yamepitwa na wakati kuanzia leo'

amesema bwana ponda atapewa dhamana na ndugu zake baada ya kufuata utaratibu wa sheria, amesisitiza kwamba kamwe jeshi la polisi halitamuachia eti kwa sababu ya mashinikizo kutoka kwa baadhi ya watu (nafikiri alikua anakumbuka mara ya mwisho walivomuachia bila masharti baada ya kupata shinikizo kutoka kwa waislamu)

Mytake:
Kwamba kuanzia leo sheria za nchi ndio zinaanza kufatwa inamaanisha Kova alikua hajui kazi yake siku zote hizi? Polisi si ni kazi yao ku-enforce sheria?

Source: Radio One breaking news!
 

tatizo lenu hamuujui uislam bali mnabwabwaja tu na haya yote allah keshatuambia katika quran (hawatokuwa radhi mayahudi na wakristo mpaka muwe kama wao) so tatizo letu hatuko kama nyie ndicho kinachowauma na haitotokea kamwe,mfano nyie dini yenu mnaruhusiwa usenge (ushoga) sisi hatuko ivo. aya nyingine allah anasema (hamtoabudu ninachokiabudu, nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu) kwa mfano mnaabudia sanamu sisi tunamuabudu allah pekee

dini yetu hairuhusu udini kwani hata mtume s a w alikuwa anaihi na makafiri bila kuwabagua, tusiingiliane tu kwenye ibada zetu,
hairuhusu mauaji wala maasi ya aina yoyote kama ushoga n.k, lakini pia hairuhusiwi kudhulumu wala kudhulimiwa
my take: ujueni uislam ndipo mta argue kitu mnachokijua
 

wazo zuri,nyinyi mtakua na nchi yenu na rais wenu.Wao nao watakua na nchi yao na rais wao.then everything will be fine.INDIAN,PAKISTAN SOLUTION.
 
Sheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..


Mkuu nadhani swali sio kwamba kwanini ameshikwa sasa bali ni kwanini hakushikwa tangia kitambo.....

Ni mengi aliyofanya yanaweza yakatafsiriwa kama ni inciting hatred na fujo (mtu unapokuwa kiongozi wa kikundi fulani na unao wafuasi inabidi kauli zako ziwe za kujenga na sio kuharibu)..

Inabidi tukumbuke kwamba hii nchi sio ya waislamu na wakristu peke yake bali wapagani na watu wa imani nyingine pia wapo na haya mambo ya imani yafanyike kwenye majumba ya imani na sio nje.., sababu kwa wengine ambao sio Imani yenu inakuwa ni pollution.

Na hizi issue za kwamba serikali inatuonea (ni imani za kijima) last time I checked ni kwamba serikali haina dini
 


ndio maana nimeomba mods wasichanganye thread yangu, kuna issue mbili

Moja; Ponda kukamatwa na maandamano ya waislam
Mbili; Kauli ya Kova kwamba kuanzia leo lazima sheria zifuatwe, vipi kuhusu jana na siku zingine?

MODS kama inawapendeza, iacheni ile thread yangu ijitegemee, ili kule tuongee kuhusu hii kauli ya kova na kama kweli polisi wanajua wajibu wao, kwangu ni mshangao kumsikia kova anasema KUANZIA LEO sheria lazima ifuatwe, ni ulimi tu uliteleza au alikua anamaanisha? i whish ile thread ibaki kule ili tudiscuss ya kova na polisi wake
 
hii nchi bwana, ya ajabu sana, eti watu wanagombana sababu ya dini, ukiingia mtaani inatia huruma, dada zetu wanatembea nusu uchi, wanapiga picha za utupu..
vijana wetu wanawaza ngono tu na kujaza wapenzi....
umasikini umeshamiri na wala hatufikirii kusaidiana kama dini zetu zinavyotuagiza...
WANAFIKI SANA sisi, linapokuja swala dogo kama kukamatwa kwa mtu mdogo tu ambaye badala ya kuhamasisha waislam waache ngono, wasaidie masikini, wasipige picha wala kutembea uchi., anahamasisha fujo, kuuana na kugawana nchi...watu wanaandamana...aachiwe aachiwe..
wakristo nao wanafiki tu, ni walewale..wafanya ngono, wezi, wapenda na waangalia picha, video na matendo ya ajabu huku tukiyashabikia kwa nguvu...HIZO NDIO STORI ZETU VIJIWENI...
HAHAHAHaaaaaaaaaa, hapa watu wanajifanya wana imani kali...WAAPI... kuna siku yote yatadhihirika....andaa mikono kuficha uso wako...ewe mnafiki
 

duh...naona hata M4C,imesahaulika.kama ni kweli hii kitu iko stagemanaged as a diversion nawavulia kofia.
Mtakalia ponda ponda mwisho wa siku 2015,mtu anapigwa bao la kisigino.
 
 
duh...naona hata M4C,imesahaulika.kama ni kweli hii kitu iko stagemanaged as a diversion nawavulia kofia.
Mtakalia ponda ponda mwisho wa siku 2015,mtu anapigwa bao la kisigino.


Watakalia Ponda hivi Ponda vileee,MAGAMBA wanawaponda kweli 2015 then watakuja na kampeni ya 2020 sasa! Chezea Intelligencia ya MAGAMBA weyeeee!!!
 
Padri anafaa yaani wewe kweli unavurugwa.
 

huyu kova inatakia awe anaandaa kabisa cha kuongea kabla hajaenda hewani.na uongozi wa jeshi la polisi haujaliona hili.wanaruhusu watu wao kwenda hewani kwa style ya freestyle.
 

Basi siyo kosa lenu. Na hapo kwenye RED mbona wapo wengi
kule Uarabuni na maeneo yote ambayo Waarabu wamekaa au
kutawala?...
 
Ndg MGANGA WA KIENYEJI

Naamini wewe ni msomi. Kama wasomi wa kiislamu hizi ndio akili na fikra zenu, sitashangaa ukiniambia kwamba kilichofanyika Mbagala ilikuwa kazi ya watoto wa madrasa. Kwa hiyo mnajua kilichofanyika!


Sasa ubishi wa kusema vurugu ni against islam unatoka wapi? Kama watoto wenu ndivyo mnavyowafundisha misikitini, basi mnaharibu kizazi chenu, mnajiua!

Ningetegemea watu wa aina ya Jamii Forum kuwa watu wa kuangalia ukweli na kusimamia haki na si kutumia nguvu kisa muislam ameguswa.

Mtikila, ni mchungaji, anakanisa na mara kadhaa amekamatwa na serikali tena mara nyingi kwa kumuonea kwa sababu ya kujihusisha na siasa na hivyo kuwa na shutuma dhidi wa serikali. Hata mara moja hatujaona waumini wake wakiandamana kwa ajili yake kutiwa kizuizini. Kwa nini? Kwa sababu wanaamini katika haki, wanaamini sheria itatuchukua mkondo wake na mara zote ameachiwa huru.

Nimekuwa na marafiki wa kiislamu katika maisha yangu. Wengi wanasikitishwa na jinsi uislamu unavyoonekana machoni pa jamii. Kwa wasomi kama wewe, ni fursa ya kurekebisha misimamo isiyo na tija kwa ulimwengu wa sasa, huwezi jua nani atakusaidia. Lakini zaidi sana, ndio ulimwengu wa wastaarabu unavyotupasa kuishi. Mambo yakiendelea hivi, manvyotaka yaende, hata shule za waislam zitabaki kuwa za waislam na wakristu hivyo hivyo kitu ambacho hakitapendeza.

Sidhani kama yanayotendwa na waislam nyakati hizi yalitendeka enzi za mtume Mohamad...Wengi wa waislamu hawajui mafundisho ya dini yao na mbaya zaidi mashekh wengi wanapotosha na kufundisha imani ya chuki! Huu sio uislamu lakini unatendwa na waislamu.

Mungu akujalie tafakari njema na uwe muislam mzuri. Wakristu tunafundishwa kutoa Baraka hata kwa maadui zetu, AMINA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…