Nadhani humjui vizuri Sheikh Ponda, miaka vyote harakati zake nilikuwa dhidi ya bakwata.
Ulitupia Uzi mkuu kama wa mafish au coz pale ulinikonga sana na forecast yako.
Hapa kwa Ponda ulitumia vigezo gani mkuu
Afadhali awe huru .
Atulie sasa na afuate sheria.
Siku nyingine ushahidi " utatosha"
Aache uchochezi....
Mkuu sensor, kuhusu Ponda sikuupandisha Uzi bali nilichangia mada tu.
Ilionekana bayana kuwa Serikali ya CCM isingemuachia huru Ponda kabla ya Uchaguzi Mkuu, maana walijua angeweza kuwahamasisha Waislam wasiichague CCM kwa kuwa ilishindwa kuitekeleza ahadi yake ya kuwapa Waislam Mahakama ya Kadhi.
Ikumbukwe Ponda pamoja na wenzake walifanya zoezi la Sensor ya Taifa kuingia dasari kwa kuwaamasisha Waislam wasikubali kuhesabiwa na kweli baadhi yao hawakuhesabiwa, hivyo Serikali iliona wakimuachia kabla ya Uchaguzi anaweza kukumbusha mambo ya Mahakama ya Kadhi.
Haya sasa mazoezi Mtambani Ilipo lala itikadi Twende kazi Maalim Ponda Mwanaakati
Msengerema mkubwa wewe.
Babu Seya asubiri LOWASSA 2020
Naamini anaweza kudai fidia sasa....Wamemnyanyasa sana mzee wawatu.....
Hivi kila ukishinda kesi unaruhusiwa kudai fidia?