PostGE2025 Sheikh Mussa Kundecha: Tunawaasa vijana wetu Disemba 9 kukaa nyumbani na wazazi wasishiriki mikusanyiko yoyote ya uhalifu

PostGE2025 Sheikh Mussa Kundecha: Tunawaasa vijana wetu Disemba 9 kukaa nyumbani na wazazi wasishiriki mikusanyiko yoyote ya uhalifu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Sheikh Mussa Kundecha akizungumza na Vyombo vya habari akiwasilisha Tamko la Taasisi za Kiislamu leo Novemba 20, 2025 amewaaasa vijana siku ya tarehe 9 disemba 2025 kukaa nyumbani pamoja na wazazi wao kuliombea taifaletu na kufanya ibadakama sehemu ya kudumusha amani na utulivu pia kupeuka kushiriki mikusanyiko yoyote yanayoweza kuchochea fujo na vitendo vya uhalifu

 
Sisi tutadili na CCM, Mungu atadili na hawa Masheikh.
 
Huyu mpuuzi atuache. Watanganyika tupo serious kulikomboa Taifa letu.
 
Maalim Sheikh Kurujun Sharif Majini siku ya Oktoba 29 alikuwa nyumbani kwake lakini Risasi zilimfuata huko huko
 
Kibibi kiuaji kimeishiwa mbinu karata ya mwisho imebaki ni kutumia dini.

Huyo sheikh anayesema tarehe 9 watu wakae nyumbani waache mikusanyiko hafahamu mikusanyiko imeruhusiwa kikatiba?

Hafahamu tarehe 9 watu walikua wanaenda uwanjani kushuhudia magwaride enzi hizo?

Iweje awapangie watu kuitumia siiu hiyo?
 
Back
Top Bottom