Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Tabora amefariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Tabora amefariki dunia

Discussion in 'Matangazo madogo' started by M-bongo, Sep 8, 2009.

 1. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sheikh mkuu wa mkoa wa Tabora, Sheikh Mavumbi amefariki Dunia leo asubuhi mjini Tabora na mazishi yanatarajiwa kuwa Kesho mjini Tabora.
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  allah ailaze roho yake mahali pema peponi ameni......
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  RIP Sheikh Mavumbi, Mungu atakupastahili yako kulingana na matendo yako duniani!
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  heri wenye moyo safi maana watamuona mungu......
  moyo wa sheikh ulikuaje? anajua allah.....
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  R.I.P Sheikh Mavumbi. Kweli merudi mavumbini kama jina linavyosomeka. Mungu akulaze pema.
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Angekuwa Baba yako mzazi ndiye amekufa ungethubutu kuandika hayo ulio yaandika hapa!?

  Kuwa na adabu na kuheshimu wazee wa wenzio.
   
 7. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #7
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  انّا للہ و انّا الیہ راجعون
  Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
  Surely we belong to Allah and to Him shall we return'
  Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea.


  Hao juu yao zitakuwa baraka zitokazo kwa Mola wao Mlezi na rehema. Nao ndio wenye kuongoka.
  2:157

  Wale ambao kwamba yanapo wateremkia machungu ya kuwaumiza wanaamini ya kuwa hakika kheri yote na shari inatokana na mwenyewe Mwenyezi Mungu, na ya kwamba amri yote ni ya Mwenyezi Mungu.

  Hao husema: Sisi ni milki ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, na sisi ni wenye kurejea kwake Yeye.

  Sisi hatuna letu jambo lolote. Na Yeye ni mwenye kustahiki kushukuriwa kwa anacho toa, na juu yetu kusubiri wakati wa kujaribiwa, na kwake Yeye ndiyo zipo thawabu na malipo.

  Basi hao wenye kusubiri, wenye kumuamini Mwenyezi Mungu, wanapewa bishara njema kuwa watapata magh**** na ihsani ya Mwenyezi Mungu, na wao ndio wenye kuongoka njia ya kheri na uwongozi mwema.

  Nachukuwa nafasi hii kuwapa mkono wa rambi rambi na pole nyingi kwa wafiwa, ndugu na jamaa na marafiki wote.

  MwenyezuMungu awape subra wafiwa katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya msiba wa Sheikh Mavumbi.
  Amin
   
 8. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mmungu amsamehe makosa yake na amuweke katika daraja ya watu wema peponi nasi Mmungu atuwepushe na moto siku hiyo.
   
 9. MWALLA

  MWALLA JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2014
  Joined: Dec 12, 2006
  Messages: 9,437
  Likes Received: 2,981
  Trophy Points: 280
  ameeen
   
Loading...