Bakwata iliasisiwa na Nyerere baada ya kuifanyia figisu na kuiua iliokuwa jumuia ya waislamu afrika mashariki EWMS na kumfukuza nchini sheikh Hassab bin Ameir ambaye alikuwa kiongozi mwandamizi.kwa kifupi bakwata ni baraza la serikali linaloshuhulikia masuala ya waislamu.Ndio maana chaguzi za BAKWATA husimamiwa na Usalama wa Taifa.hujiulizi kwanini BAKWATA wanaushirikiano mkubwa na serikali hata kwenye mambo ambayo serikali inaudidimiza uislamu na huwa inasapoti kila linalofanywa na serikali.Na kwenye event yoyote ya serikali hawakosekani ilhali hawana juhudi zozote za kusaidia kuundeleza uislamu.shule zao ndo zinaongoza kwa kufelisha,wameuza mali na vitegauchumi kibao walivyokabidhiwa baada ya kupokwa EMWS.Kwaufupi bakwata ni jipu.Wana nini kwani wakati wao ndio masheikh wa ukweli
KAMA WANAAMINI KTKT SHETANI, UNA HAJA GANI KUULIZA KTK KAFARA AU KUABUDU UCHI.hahahahahha...aliyekwambia wanatoa kafara ni nani? una ushahidi huo?
Aliyekwambia wanasali wakiwa uchi ni nani ? una ushahidi huo?
Tatizo lenu mnabeba stori za mitaani na kudhani ndio uhalisia...Poleni
Walimtoa kafara nani? Uliwaona wanasali bila nguo?HIKI ULICHOKIELEZA WATU WENGI TUNAKIFAHAM, NA NDIYO MAANA MZEE CHANDE STILL ALIKUWA ANAINGIA MSIKITINI.
SUALA HAPA MISINGI YAO NI NINI. WANAAMINI KTK NINI.
WANAPOTOA KAFARA WANAFUATA MISINGI YA NANI.
NA WANAPOSWALI WAKATI MWINGINE WAKIWA BILA NGUO HIYO NI MISINGI YA NANI?
KWANI TAFSIRI YA NENO DINI NI NINI?
Hata Mimi nashangaa yankwaiyo ukiwa muislam au mkristo ndo mtakatifu au
Shura ya maimamu yenyewe imetolewa meno, kibogoyo na imeshaingiliwa kitambo.Bakwata iliasisiwa na Nyerere baada ya kuifanyia figisu na kuiua iliokuwa jumuia ya waislamu afrika mashariki EWMS na kumfukuza nchini sheikh Hassab bin Ameir ambaye alikuwa kiongozi mwandamizi.kwa kifupi bakwata ni baraza la serikali linaloshuhulikia masuala ya waislamu.Ndio maana chaguzi za BAKWATA husimamiwa na Usalama wa Taifa.hujiulizi kwanini BAKWATA wanaushirikiano mkubwa na serikali hata kwenye mambo ambayo serikali inaudidimiza uislamu na huwa inasapoti kila linalofanywa na serikali.Na kwenye event yoyote ya serikali hawakosekani ilhali hawana juhudi zozote za kusaidia kuundeleza uislamu.shule zao ndo zinaongoza kwa kufelisha,wameuza mali na vitegauchumi kibao walivyokabidhiwa baada ya kupokwa EMWS.Kwaufupi bakwata ni jipu.
Shura ya maimamu ndio tegemeo la waislamu kwa sasa.
Mkuu kumbe kuna kiwanda cha Pepsi huko!!ww muone mwenzio mdhambi uje umkute peponi kimya anakunywa pepsi baridi wakati huo ww unaelekea motoni....
hakuna mkamilifu wala ajuaye ya huko bali kila mtu kwa imani yake aombe sana.
Hata hao wanaopiga kelele freemason hivi na vile ukiwauliza freemason ni nini hawajui.Ukiweka U-freemason mbeni , Sir Andy Chande alikuwa Binadamu hivyo yatupasa kumuuombea...
Mbona mkuu wa nchi anatufanyia vitu vya ajabu na Tunamuombea...
Meno haina ila walau wao husimamia ukweliShura ya maimamu yenyewe imetolewa meno, kibogoyo na imeshaingiliwa kitambo.
huko kuna kila kitu hadi wanawake wazuri mabikra tena unajichagulia tuMkuu kumbe kuna kiwanda cha Pepsi huko!!
WEWE UNAWEZA KANUSHA KAULI ZANGU?Walimtoa kafara nani? Uliwaona wanasali bila nguo?
Unaweza kuthibitisha kauli zako