Sheikh Kipozeo anaongoza msikiti Upi?

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
29,020
Reaction score
40,842
Habarini Wadau,
Huyu ni Sheikh ninayemkubali sana kwani hana Unafiki.
Pia hana muda wa kuendekeza chuki kwa wasio waislam.
Pia yupo wazi kuelezea hisia zake kwa aina ya Wanawake anaowahitaji.

Sina clip yake hapa...ila Inshaallah nikiipata nitaiupload.
Nani anamfahamu zaidi Sheikh huyu na anaposwalisha?
 
Tuwekee tafadhali, nami namkubali sana! Rafiki wa sisi "makafiri", kama wanavyotuita wenzake, sio kama wenzake!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…