Sheikh khamis Khalifa aibariki dawa ya babu

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
mwenyekiti wa taasisi ya Kiislam ya imam Bukhary , sheikh Khalifa Khamis amesema serikali ina weza kuendelea kuichunguza dawa hiyo huku mchuungaji akiendelea kutoa huduma hiyo kwani imeonyesha kuwasaidia wengi ''yule mchungaji ameonyesha nia ya kuwasaidia watu wapone na si kutaka kupata fedha hafanyi mambo yake kwa tamaa hivyo aachwe aendelee na shughuli zake'' alisema sheikh Khamisi
SOURCE:mwananchi.co.tz
 
Ni maoni yake tu binafsi ambayo ameyatoa,,,,

Hofu yangu watu tusiichukulie kiudini zaidi,

At the end of the day ni imani ya watu ndiyo inayowaponya as hii dawa ni ya imani zaidi kama anayetoa alivyosema.

Tuheshimu maoni yake, tuachane na udini simply kwa sababu ni muisilamu amotoa amoni juu ya dawa ya mchungaji wa kikristu.
 
offcourse ni maoni yake yeye kama kiongozi na ndio maana wamemuhoji yeye.
 
Hurree! Hatimaye makafiri wametambuliwa kuwa wana dini!!!!!! Yesu ni zaidi ya mitume yote bana!!
 
Huyo sheikh Khalifa ni mnafiki sana, siyo wa kumuamini. Mimi nionavyo mbele ya kuumwa hata shura ya maimamu ikikaa na kutoa tamko haitasaidia kwani ukweli ni kuwa watu wanaumwa.
 
Huyo sheikh Khalifa ni mnafiki sana, siyo wa kumuamini. Mimi nionavyo mbele ya kuumwa hata shura ya maimamu ikikaa na kutoa tamko haitasaidia kwani ukweli ni kuwa watu wanaumwa.

Uenena vyema hakuna mnafiki kama huyu bwana mfupi kama kibao cha chapati hana jipya na wala si kiongozi wa waislamu.
 
Uenena vyema hakuna mnafiki kama huyu bwana mfupi kama kibao cha chapati hana jipya na wala si kiongozi wa waislamu.

haa shosti mbona umemshambulia tena? Hivi ungekuwa wewe ndio upo kwenye ile nafasi na waandishi wamekufuata ungesema nini?
 
Back
Top Bottom