Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 33,791
- 40,575
baba wa taifa lipi ????? Au ni padri wako wa kanisa
taifa la Tanganyika
baba wa taifa lipi ????? Au ni padri wako wa kanisa
Chama nimekusoma hata namimi.
Ila tatizo la watu kama Jongo ni unafiki na kuendekeza njaaa
Ukweli wanaujua ila wanauuza for the sake of matumbo yao.
Mkuu Maalim Mohamed Said, nakuona "you are on it again!"
Kiukweli .... itakapofika, sio tuu nitahudhuria panapo majaaliwa, bali pia nitawashauri na ikibidi kujitolea kusaidia kuhakikisha linasakafiwa lote! hata ikibidi kwa marumaru, au granite, vinginevyo litaota miiba mikali ya ncha za sumu zitakazochomoza toka ndani, kwa sababu mwisho wa siku, hiyo sumu anayojitahidi sana kuipandikiza kwa matumaini kuwa utaishuhudia ikiota, kumea na kustawi na kuzaa matunda!, kamwe hili halilatokea!.
Wale wa kukaririshwa tuu kama ilmu ya madratul!, wameishawashtukia!.
Ila pia nimefurahi kusikia kumbe ilibidi alazwe na kutibiwa Mission Hospital!, mbona kulikuwa na Hospitali chungu nzima za wenyewe?!.
All and all, namalizia kwa kukueleza jinsi ninavyokukubali kipaji na uwezo wako wa sio tuu wa kutunga, bali hata kuhadithia kitu hata kama ni cha uongo na kutungwa tuu, huonekana kama ni ukweli!.
Big up for this!.
Thanks.
Pasco.
Duh Ustadhi wa Kariako karejea tena kivingine ingawa lengo lake ni lilelile kutufarakanisha waTanganyika.
Mohamed Said,
Katika mapito ya nera usahihi, visa na mikasa yenye kuhusu tawala na mkumbato wakimamlaka ni mkono wa ccm,
Tulaani uchochezi wa ccm na mamluki wao Shehe Jongo na Kasisi wao Pengo.
Hivi, lengo la William Lukuvi pale Kanisani alipohutubia lilikuwa nini? hebu msikilize hapa: https://www.jamiiforums.com/katiba-...lliam-lukuvi-ameutia-dosari-utawala-wako.html

Kama kawaida leo zamu ya yuleeeeeeee,,, huyu sio yule Faiza wa Canada aliye ukana utanganyika na Utanzania wake
Ninalaani kwa nguvu zote kauli ya Lukuvi lakini pia nalaani kwa nguvu zote hoja za Maalim Mohamed Said
Hebu tuwekee nukuu japo moja basi ambayo hukuipenda katika maandiko yake, au wewe una laani kwa kuona jina Al Alama Mohamed Said tu?
Angalikuwa amelia kwa sababu aliyetukanwa ni marehemu muislamu msingetokwa mapovu. Peleka huko hizo historia zenu za uongo mnazotumia kupandikiza chuki kwa waislamu dhidi ya wakristo, umasikini wa akili unawatafuna. laanatullah aleyhi.
Ngoja nikupe darsa dogo kuhusu neno "kukaririshwa".
Neno kukaririshwa linatokana na neno la Kiarabu "Ikraa" kwa Kiswahili, "SOMA". Hilo ni neno la kwanza kushushwa katika Qur'an.
Neno "kukaririshwa" ni kusomeshwa.
Jee, Pasco wewe hujasomeshwa? uliamka tu unajuwa kusoma? sidhani kama hujakaririsha a b c d e f (Alphabet) na kuzikariri, leo hii ungeweza kuandika au kusoma kama hujakaririshwa?
Neno "alphabet" ni Kiarabu na ndicho wanachokariri watoto wa madrasa, Alif Be Te = Alphabet, sasa wewe mwenzetu labda hujakaririshwa Alphabet, sijui umekaririshwa nini?