Sheikh Jongo bado ana mengi ya kujifunza

Status
Not open for further replies.
we kama mie nimeshangaa tu hii true story inayotolewa na watu makini na wachambuzi wa mambo kama huyu jamaa ilivyoisha!! mkuu usichoke kutupatia darsa ni muhimu sana na watu kama sheikh jongo waone hii wajijue na kuacha unafiki wao! bravoooo!!!!!
 
Kijewa,
Hii ni history iliyopotea kabisa.

Ni vizuri sasa tukaisomesha ili watu wajue tulipotoka.
 
huu uzi umeekaa kihafidhina kuleta chuki kwa baba wa taifa kwa kupanda mbegu ya fitna kwa waislamu wenzako this is true fallacy inayoitwa beg the question.kuna watu kama ninyi mohamedi said wenye mlengo wa kushoto wa kuwaaminisha waaslimu wamenyanyasika na kuonewa kumbe ufalme unaofitinika hautasimama.meza nzima nzima bila kutema,mawazo ya ukakasi kwa jamii ya mazonge kama ninyi mtaishia kulament
 
Mohamed Said,hayo makaburi yaliyovunjwa United Nations road yalikuwa sehemu/eneo lipi la hiyo barabara???/
 
Last edited by a moderator:

Nadhani ilikuwa ni kitambo sana, inavyoelekea ni pale Upanga karibu ya Msikiti ule( nadhani Tambaza) kwenye makutano ya Diamond Jubilee na ile barabara ya Muhimbili Hospitali. Hadi leo yapo baadhi kwa ndani ndani kule. Lakini kwa uhakika Sheikh Moh'd Said aje atufafanulie!
 
Chaza,
Sina uhakika wa sehemu yenyewe khasa.
 
huu uzi umeekaa kihafidhina kuleta chuki kwa baba wa taifa kwa kupanda mbegu ya fitna kwa waislamu wenzako this is true fallacy inayoitwa beg the question.kuna watu kama ninyi mohamedi said wenye mlengo wa kushoto wa kuwaaminisha waaslimu wamenyanyasika na kuonewa kumbe ufalme unaofitinika hautasimama.meza nzima nzima bila kutema,mawazo ya ukakasi kwa jamii ya mazonge kama ninyi mtaishia kulament

mmaranguoriginal,
Bahati mbaya hukupendezewa na historia hii.

Niliyoandika ni kweli yametokea na si siri kwa sisi ambao wazee wetu ndiyo
khasa waliohusika katika haya yote niliyoeleza.

Mwisho wa Nyerere na Waislam haukuwa mwema kama nilivyoeleza na ndiyo
maana unaona hadi leo wanahistoria wameikwepa kwa mbali historia ya uhuru
wa Tanganyika.

Ndiyo maana unaona pale CCM Mtaa wa Lumumba ingawa jengo lile wamejenga
wazee wetu kuanzia mwaka wa 1929 - 1933 hakuna hata kumbukumbu moja
kuhusu wao.

Kuhusu Waislam kunyanyaswa mbona hili tumelisema saa saba ya mchana na
hadi leo serikali imeshindwa kutujibu?

Ama kuhusu masikitiko ambayo unatubeza kuwa tutaishia ''kulament...'' kwani
kuna ubaya gani kwa mwananchi kusikitika ikiwa serikali yake inamdhulumu?

Mageuzi yoyote huanza na masikitiko kisha mengine hufuatia.
 
Sikumbuki kama jongo aliwahi kulia siku ya kifo cha nyerere.
Kulia kule ni unafiki tu...hawa kina jongo ni watu wa posho utu wao wameuuza kwa vijisenti.
Lakini sishangai hawa elimu yao inatia mashaka.nafasi wanapachikwa kwa kazi maalum.
Kule bakwata ukimtoa marehemu sheikh Hemed bin Jumaa hakuna mwenye elimu wote wapo tu.
Kidogo alikuwepo sheikh Gorogosi alikua mbishi na yeye lakini kajisomea na mara nyengine alionesha msimamo...ni wwazi hakupendwa kuupata huu umufti wa simba ....akapata ajali lindi.
Hakika bakwata ni msiba mkubwa sana...wamewahujumu sana waislam...
 
huu uzi umeekaa kihafidhina kuleta chuki kwa baba wa taifa kwa kupanda mbegu ya fitna kwa waislamu wenzako this is true fallacy inayoitwa beg the question.kuna watu kama ninyi mohamedi said wenye mlengo wa kushoto wa kuwaaminisha waaslimu wamenyanyasika na kuonewa kumbe ufalme unaofitinika hautasimama.meza nzima nzima bila kutema,mawazo ya ukakasi kwa jamii ya mazonge kama ninyi mtaishia kulament

baba wa taifa lipi ????? Au ni padri wako wa kanisa
 
Udini kwa kwenda mbele. Ninachoshukuru Mwenyezi Mungu si mnafiki na kamwe hatakuwa mnafiki. Kazi kwao wanaopenda kutugawa kwa udini...tuone historia itawaweka sehemu gani...
 
Mohamed Said
Hivi leo sheikh Jongo amekuwa sio sheikh kwasababu amekwenda kinyume na mitazamo yako??? Nadhani wewe sheikh una nafasi kubwa sana ya kumuona sheikh Jongo na kumuelimisha; nina uhakika sheikh Jongo haingii JF sasa huoni hili darsa litakuwa limepotea bure?? siku zote Bakwata imekuwa ndio taka la lawana lakini inashangaza sana kuona hadi leo mmeshindwa kuunda taasisi yenye nguvu ambayo itasimamia haki za waislamu; sheikh siku zinakwenda kilio hiki umekianza miaka mingi sana sasa nadhani huu ni wakti mauafaka wa kupata majibu ya kilio chako; maana hata ikija Chadema madarakani (Mungu aupushe mbali balaa hilo) yatakuwa ni yaleyale maana zamani tulikuwa tunasikia tunaonewa kwasababu hatuna raisi muislamu sasa mmebadili maneno tu lakini mdundo ni uleule. Nakutakia afya njema Mola aendelee kukupa wingi hakima na bausara na pale penye mapungufu ayaondoe. Amen
 
Kuna haja ya Sheikh Mohamed Said kuturithisha na kutufunza historia hii ya Tanzania Kabla na mpaka uhuru,binafsi nimeanza kufanya utafiti wangu wapi nitampata mwalimu huyu.bahati iliyoje nimeelekezwa mpaka kwake nikajaribu kuulizia majirani zake pale kariakoo nikaambiwa ni mtu mkarimu sana(wala simpambi) ndio ukweli niliokutana nao.Nikaja kujua kumbe aliwahi kuwa mfanyakazi wa Bandari pia,kwa Dar Es Salaam na Tanga.Sheikh Mohamed Said Allah akujaalie kheri nyingi duniani na kesho akhera.
 
Mohamed Said
Hivi leo sheikh Jongo amekuwa sio sheikh kwasababu amekwenda kinyume na mitazamo yako??? Nadhani wewe sheikh una nafasi kubwa sana ya kumuona sheikh Jongo na kumuelimisha; nina uhakika sheikh Jongo haingii JF sasa huoni hili darsa litakuwa limepotea bure?? siku zote Bakwata imekuwa ndio taka la lawana lakini inashangaza sana kuona hadi leo mmeshindwa kuunda taasisi yenye nguvu ambayo itasimamia haki za waislamu; sheikh siku zinakwenda kilio hiki umekianza miaka mingi sana sasa nadhani huu ni wakti mauafaka wa kupata majibu ya kilio chako; maana hata ikija Chadema madarakani (Mungu aupushe mbali balaa hilo) yatakuwa ni yaleyale maana zamani tulikuwa tunasikia tunaonewa kwasababu hatuna raisi muislamu sasa mmebadili maneno tu lakini mdundo ni uleule. Nakutakia afya njema Mola aendelee kukupa wingi hakima na bausara na pale penye mapungufu ayaondoe. Amen

Hauna udugu na jongo lakini wee!
 
Kisa kizuri chenye mafundisho na mazingatio. Taarifa nilizonazo kule mtaani kwake(Temeke) hili suala limekuwa gumzo hata watoto wadogo wanamdhihaki na kumdharau waziwazi. Kwa kifupi ananuka huko mtaani kwao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom