Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

HUYU SHEHE MUHUNI MPUUZI NA WAFUASI WAKE WEHU TU kwanza anafanana na Osama
 
Huyu inabidi atwambie alikuwa wapi. Kama ndo mchezo walicheza kusudi walete vurugu, ibadi akamatwe rasimi na kufunguliwa mashitaka na serikali kwa kusababisha vurugu na kuvunja amani
 
Ndiyo hiyo,mazingira yanaonyesha hakutekwa wala nini! Nilijuwa alitonywa.Pia nilisema nilishangazwa kama ni kweli hizi amri za kuhakikisha amani haitoweki zilitoka kwa JK,si kawaida yake!JK ana sympathise na hao terrorists!

Ngoja tuanzaie hapa...
Concrete said:
Kuna tetesi ameachiliwa kwa amri ya Sultani Jakaya baada ya kurejea kutoka Oman.
Tujadiliane...
 
Kuna uhuni wa kiwango cha juu kwenye mambo haya ya uamsho, nna mashaka ni mpango wa kutaka kuonyesha kwamba jamaa wana nguvu zanzb kuliko smz kwa hyo wanataka kutuma salamu kwa serikali na kupima nguvu yao, kwa michezo yao maisha ya askari yamepotea, damu yake itamlilia mwenyezi Mungu, ole wenu..
 
takbiiiiiiiir ALLAH AKBAR kumbe taasisi za kiislamu zikiamua zinaweza bakwata kwisha itabaki jina tu na hilo ndo linalowakeleketa kuona muslims majority wanajiunga na taasisi hizo kwa ajili ya mapambano
 
Hawa uamsho ni magaidi tu!na hawa smz wanashindwa nini kumuweka chini ya ulinzi na kupata maelezo ya uhakia???
 
yakusemwa yatasemwa UKWELI UTABAKIA kila kitu kina rutuba yake, ikikosekana meza ya majadiliano katika kutafuta haki DAMU NI RUTUBA NA MBOLEA SAHIHI
 
Hahahahahahaaaa.....katokaje huo kwenye shimo?
Wakinaai walimshika?
Hawakumla ndogo?
Hawakuminya kengele?
Je kucha hawakuzinyofoa?
Hata jio tu hawajang'oa?........huyo atakuwa alikuwa kwa bi mdogo mpya.

Huyu ni muongo.. Usalama wakimshika mtu hadi akaokotwe sasa huyu karudi mwenyewe tena alienda mwenyewe akashuka kwenye gari yake akapanda nyingine
 
Sikuwai kufikiri kama Tz itakuja kuwa sehemu hatari ya kuishi kama Nigeria na Somalia lkn kuna kila viashiria kuwa muda umefika, tazama michango ya wana JF UTAONA WAZI UVUMILIVU NA KUAMINIANA KUMEKWISHA, kizazi chetu tunakirithisha uhasama mkubwa.

Mkuu, uvumilivu una kikomo...Mfumo kristo umezuwia Zanzibar kujiunga na O.I.C , wakati huo huo kanisa kupitia MoU linapokea mabilioni kila mwaka kutoka serikalini. Wanafunzi wa kiislamu wanafelishwa kwa makusudi...
 
Hao UAMSHO walimficha ili wapate kisingizio cha kufanya ghasia, na baadae wakaipa serikali masaa 26 sheikh apatikane, wakati ukweli walipanga (UAMSHO) kumuachia sheikh ndani ya hayo masaa 26 waliyoipa serikali na hivyo kuonesha kama serikali imesalimu amri!

Usanii mtupu!

Mkuu, namemsikia sasa hivi 23:50HR akizungumza na correspondent wa ITV, analalamika kwamba eti Mafisa wa Polisi na Usalama kutoka bara ndio walimu-apprehend kwa mahojiano ya kina!! Nilimsikiliza kwa umakini alivyo kuwa anamjibu mwandishi wa habari - one could SENSE kwamba anataka ku-implicatemainland kwa masahibu yake!! Kama ni kweli how did he know kwamba wahusika walikuwa predominantly wanatoka BARA, kwani Visiwani hakuna ma afisa wa kumuhoji kama kulikua na ulazima wa kufanya hivyo?

Amelisema hili akiwa na malengo fulani akili mwake (in my opinion) - I stand to be corrected.
 
Back
Top Bottom