Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

Naona familia nzima wanatumia kamera za mchina tu.

Hakuna mwenye camera au simu ya maana wapige picha zinazoonekana?

Janjajanja hii!! Unajipoteza mwenyewe,then unajitokeza!
 
Ilo chezo,kweli zanzibar hakuna rais,vi2 vya watu vimearibiwa,polis kauwawa,.2taona mengi kwa stail hii..
 
huyu baada ya kuona ponda kakamatwa wakaona wateshie nyau iliserikali ijue uamsho sio wakuchezewa. enzi za mwalimu angefungiwa kigamboni. kutekwa gani mtu afuate gari mwenyewe bila hata kupiga kelele uamsho ni bomu na ccm wanawalealea
 
Ni coincidence kuwa jamaa katekwa kwa staili ya kujipeleka then ana appear out of nowhere baada ya tamko la UAMSHO...................ninasikilizia ataongea vitu gani..........Lord have mercy
 
Huyu shekh Farid anapenda kuwaweka wazanzibari roho juu cku zt,kumbe kishindo chote hicho mabomu yt hayo,"eti amesema alikua kw mke wk mpya na cm imeisha chaji"
Nyumba ndogo Aibu sheikh...
 
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Raji'oon

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni coincidence kuwa jamaa katekwa kwa staili ya kujipeleka then ana appear out of nowhere baada ya tamko la UAMSHO...................ninasikilizia ataongea vitu gani..........Lord have mercy

Huyu Sheikh atadanganya kwa ulimi wake, lakini nafsi yake itamsuta. Anapata wapi ujasiri wa kusali wakati anajua usanii wake umesababisha mauaji ya kikatili ya askari wawili?
 
560577_456861214364390_1116322220_n.jpg


Ni kweli huyu hapa akiingia nyumbani kwake usiku huu.

Ana kesi ya kujibu ajieleze alikuwa wapi hadi kasababisha machafuko zenj na mauaji

he is laughing???????????????????????????? Wat dat. Ameshaua watu wawili
 
huwezi ukawa umetekwa halafu anacheka, amuulize Uli mpaka leo kuna baadhi ya zana akiziona moyo unaenda mbio
chezea kungolewa jino na kucha kavukavu?

jamaa nduvu zinangaa wakati alikuwa katekwa? hiv nani mwenye picha ya sadaam husein baada ya kutoka shimon atuwekee
 
Kwa mujibu wa Radio One kupitia mwandishi wake Farouk Karim aliyeko Zanzibar,kiongozi wa kikundi cha uamsho amepatikana na hivi punde amehojiwa na kudai kuwa alichukuliwa na watu wa usalama kutoka Zanzibar na Tanzania bara. Ambapo walikuwa wakimuuliza maswali mbalimbali ikiwemo na kumpa vitisho. Na wamekuja kumuachia eneo lilelile walilomteka. Amesema hajapata madhara yoyote yale na kesho atazungumza.
 
Back
Top Bottom