Zanzibar - The Zanzibar Muslim Youths Mobilisation and Propagation group has said it supports the recent wave of burning of bars in the isles, and vowed to take tougher action against people selling alcohol.
"We support those burning bars, although we have not urged them to do so. We ask the government to make sure all small restaurants and bars are closed....," the group's leaders, Sheikh Msellem Ali, Sheikh Azzan Khalfan and Sheikh Abdallah, said.
Sheikh Abdallah said: "We want all bars and restaurants to be closed.... read more allAfrica.com: Tanzania: Zanzibar Group Supports Arsonists Targeting Bars
umenena vyema kabisa, kitufe cha like na thanks hakipo ningekugongea mkuuHawa ndiyo Waislam wa Ukweli,Uislam hauhitaji mtu kutafakari ni kutenda kwa muujibu wa maamrisho ya Mtume wao marehemu Mohammad,Kwa wale wote wanao uangalia Uislam kwa busara ya kawaida wataona wanaochoma bar ni wendawazimu,lakini kwa wale wanaofahamu Uislam kama mafundisho yake yalivyo hao ndo waislam ambao Mabikra waliopanua miguu wanawasubiria kwenye heri yao. Issue sio Bar tu,Waislam wakiamua kuyatenda yawapasayo kama ilivyo kwenye Koran na Hadith JF itajaa thread za mishangao,Mwislam hatakiwi kufikiri anatakiwa kutenda kama alivyoamliwa na marehemu Mohammad neno kwa neno. Kufikiri kutabaki kwa wale waislam wa kuchovya na wale wasio waislam.
Ni vyema ukaliondoa tatizo kubwa kwanza (ambalo ni kosa la kidini na kiserikali)hivi nyumbani kwako kukiwa na matatizo mengi ndo huwezi kuondoa moja moja?
Muhammadans bana matatizo matupu!
mkuu sasa hili si ndo la kidini ambalo wameanza nalo?>Ni vyema ukaliondoa tatizo kubwa kwanza (ambalo ni kosa la kidini na kiserikali)
justification ni dini. hivi dini yako kweli ulevi unaruhusiwa? usiikumbatie dunia kwa akhera yako. hata dini yako hairuhusu ndo ukweli lakini kwa kuwa mnaamini mnayoyataka na kuyaacha mnayoyataka ndo matatizo haya unaeleza upuuzi mtupumnachofanya ni kosa la jinai, hakuna justification.
Msijifiche kwenye kivuli cha dini kufanya ushenzi, mkiambiwa yours is a questionable one, mnang'aka!
Nadhani kuna maeneo ambayo yameruhusiwa rasmi kuhuza pombe, na ni nje ya makazi ya watu... Nadhani ni uko kwenye mahoteli ya litalii, ambako kwa Zanzibar nasikia mzalendo mtu mweusi mwananchi haruhusiwi kuingia.kuna watanganyika wako kule na wanaendesha maisha yao ya kawaida kule!
one thing, why all small restraurants and bars only? huko serena hotel hawauzi pombe na wateja hawanunui ngono?eh, ntashangaa kesho!wangedili na madawa ya kulevya,ambayo watu wanaingizwa kwa mtego ingekua na impact zaidi!
Hawa ndiyo Waislam wa Ukweli,Uislam hauhitaji mtu kutafakari ni kutenda kwa muujibu wa maamrisho ya Mtume wao marehemu Mohammad,Kwa wale wote wanao uangalia Uislam kwa busara ya kawaida wataona wanaochoma bar ni wendawazimu,lakini kwa wale wanaofahamu Uislam kama mafundisho yake yalivyo hao ndo waislam ambao Mabikra waliopanua miguu wanawasubiria kwenye heri yao. Issue sio Bar tu,Waislam wakiamua kuyatenda yawapasayo kama ilivyo kwenye Koran na Hadith JF itajaa thread za mishangao,Mwislam hatakiwi kufikiri anatakiwa kutenda kama alivyoamliwa na marehemu Mohammad neno kwa neno. Kufikiri kutabaki kwa wale waislam wa kuchovya na wale wasio waislam.
........... hao wameacha tabia nzuri za Kiislaam na ndio maana ya Mwezi wa Ramadhani upo kuwakumbusha, wakaamua kufuata tabia mbaya za kishenzi za kipagani na Wagalatia kufanya hayo yasyofaa ! ni watu walio katika hasara mpaka watakapo tubu na kufuata tabia nzuri za Waislaam !Zenji ndo wanaongoza kwa kilaji baada ya dsm,hata nguruwe pia ni walaji sana zinauzwa kwenye gereji ona kipindi cha mfungo biashara inavyododa ya kitimoto,wanafiki wakubwa kila mtu zenji anaagiza sprite au club soda kumbe ndani katia viroba