Sheikh Abdallah said: "We want all bars and restaurants to be closed. Zanzibar

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Zanzibar — The Zanzibar Muslim Youths Mobilisation and Propagation group has said it supports the recent wave of burning of bars in the isles, and vowed to take tougher action against people selling alcohol.

"We support those burning bars, although we have not urged them to do so. We ask the government to make sure all small restaurants and bars are closed....," the group's leaders, Sheikh Msellem Ali, Sheikh Azzan Khalfan and Sheikh Abdallah, said.

Sheikh Abdallah said: "We want all bars and restaurants to be closed.... read more allAfrica.com: Tanzania: Zanzibar Group Supports Arsonists Targeting Bars

Zanzibar - The Zanzibar Muslim Youths Mobilisation and Propagation group has said it supports the recent wave of burning of bars in the isles, and vowed to take tougher action against people selling alcohol.

"The Zanzibar Muslim Youths Mobilisation and Propagation group" hii group ni ya nini hasa? Do they have such a group kule Tanganyika?

Zanzibar — The Zanzibar Muslim Youths Mobilisation and Propagation group has said it supports the recent wave of burning of bars in the isles, and vowed to take tougher action against people selling alcohol.

"We support those burning bars, although we have not urged them to do so. We ask the government to make sure all small restaurants and bars are closed....," the group's leaders, Sheikh Msellem Ali, Sheikh Azzan Khalfan and Sheikh Abdallah, said.

Sheikh Abdallah said: "We want all bars and restaurants to be closed.... read more allAfrica.com: Tanzania: Zanzibar Group Supports Arsonists Targeting Bars

kwa nchi inayotegemea utalili kama yenu, sijui itakuweje? Nadhan watalili wengi watawakimbia

wachome na hoteli zote za kitalii ndo uchumi wao utaimarika zaidi

safi sana, choma bar zote hizo, washenzi hao wanataka kuharibu maadili ya zanzibar, bora muungano ufe ili zanzibar iwe nchi ya kiislam halafu tumuone mwanaharam yoyote anakuja kufungua bar, tutanyongaaa.

Zanzibar - The Zanzibar Muslim Youths Mobilisation and Propagation group has said it supports the recent wave of burning of bars in the isles, and vowed to take tougher action against people selling alcohol.

"We support those burning bars, although we have not urged them to do so. We ask the government to make sure all small restaurants and bars are closed....," the group's leaders, Sheikh Msellem Ali, Sheikh Azzan Khalfan and Sheikh Abdallah, said.

Sheikh Abdallah said: "We want all bars and restaurants to be closed.... read more allAfrica.com: Tanzania: Zanzibar Group Supports Arsonists
Targeting Bars

This is poor AND very silly thoughts!! why small bars and NOT MAJOR ONES??? should be mental healthy issues here!

Matatizo ya akili,
znz kuna tatizo kubwa sana la madawa ya kulevya,
hilo hawajaliona....kweli kuna kitu huko CHUO sio bure, inakuajje mtu awe so dull?

Sijui kama huu ndio ule 'uliberali' aliokuwa anaongea Jussa kwenye mdahalo week iliyopita. Kitu kinachonishanga ni kwamba hadi sasa serikali haijasema chochote kuhusu huu uchomaji wa bar! Lakini kodi wanapokea bila shida. Malipo ya VAT kwa upande wa zanzibar pombe ndio inaongoza kwa kutoa kodi.

Lakini jambo moja kubwa ni uchumi wa Zanzibar. Utalii ndio sekta inayoongoza. na hizi taarifa za kuchoma moto zimeshaanza kusambaa kwenye international media outlets. Sasa hivi hotel zote zikifungwa watu wataathirika vibaya. Sio muuza nyanya wala mwendesha taxi atakayesalimika. wote watapoteza mapato.

Sijui ni idea ya nani hii ya kuchoma bar. na dhambi ni kunywa pombe tu?

Pombe huzaa Dhambi Nyingi mtu kuondoka kwenye kili yake kwa muda fulani akishalewa huweza fanya baya lolote kiuungwana sio vyema sana kwa watu wenye kupenda maadili So Itakaa upande wa Vibaya ambavyo ni haramu.

Tatizo likishaanza ni kama Safari huanzisha nyingine Itakuja madawa ya kulevya n.k hata makanisa utakuja sikia yaondolewe huu ni mwendo mbaya wa wivu na tabia mbaya kwani mtu imani yake ndio itamuokoa kama anaamini mwisho wa maisha ataenda wapi na atapokelewa kwa mchujo wa mema na mabaya aliyokuwa anayafanya hapa duniani.

hizi ni nchi zin utawala wake na wananchi ndio waamuao haswa kutokana na ushawishi wa watu wenye kutaka hiki na kile kwa manufaa ya wengi au yao binafsi kama kuna watanzania visiwani wachache wamekubaliana kupinga hicho kitu wakashawishi jamii nzima wakishinda maoni waachwe wafikishe ujumbe na kama sheria zitungwe na vyombo husika na sio kingine kwenye dini inakataza kunywa wanaojiamulia kunywa huna madaraka ya kumkataza sababu wewe ni mfuasi tu sio muamana.

Matatizo ya akili,
znz kuna tatizo kubwa sana la madawa ya kulevya,
hilo hawajaliona....kweli kuna kitu huko CHUO sio bure, inakuajje mtu awe so dull?
hivi nyumbani kwako kukiwa na matatizo mengi ndo huwezi kuondoa moja moja?

Sasa kama Wazanzibar wenyewe wamehamua kufunga bar zote uko Zanzibar, ili suhala linawahusu vipi Watanganyika!?

Me naunga mkono hoja 7bu bar hizi ndogo ndio zinaathiri jamii kuliko za hotel ya kitalii ambazo mznz wa kawaida hawezi kuingia na kuhusu madawa hayauzwi dhahiri km pombe laiti yangekuwa yanauzwa tungewafata nao wafunge sasa makafiri inawauma nini mbona sisi hatuingilii mambo yenu huko kwenu

hamko siriaz, booze makes the world spin. i thnk i wont be cumn there anymore, coz ntaboreka tuu.

hivi nyumbani kwako kukiwa na matatizo mengi ndo huwezi kuondoa moja moja?
mnachofanya ni kosa la jinai, hakuna justification.
Msijifiche kwenye kivuli cha dini kufanya ushenzi, mkiambiwa yours is a questionable one, mnang'aka!

kuna watanganyika wako kule na wanaendesha maisha yao ya kawaida kule!
one thing, why all small restraurants and bars only? huko serena hotel hawauzi pombe na wateja hawanunui ngono?eh, ntashangaa kesho!wangedili na madawa ya kulevya,ambayo watu wanaingizwa kwa mtego ingekua na impact zaidi!
Sasa kama Wazanzibar wenyewe wamehamua kufunga bar zote uko Zanzibar, ili suhala linawahusu vipi Watanganyika!?

Back
Top Bottom