Sheikh Abdallah said: "We want all bars and restaurants to be closed. Zanzibar

Sheikh ameenda kasi sana......kwa mtazamo wangu nadhani kwanza angepambana zbar iwe nchi inayofuata sharia za kiislam kisha yote hayo yatafuata yenyewe
 
Mi nafikiri ili kuzima hizi ngoma na uchochezi wa wazenji za kuvunja muungano tuwe wakweli na wafanye referendum ya kuvunja muungano huko visiwani Tanganyika tumechoka kuwalinda hawa na kulalamika kwao.Viongozi wetu wamekua wakikwepa hili lakini linakuja na litakuja muda wa watoto wetu ambao hawajali huu upuuzi.
 
safi sana, choma bar zote hizo, washenzi hao wanataka kuharibu maadili ya zanzibar, bora muungano ufe ili zanzibar iwe nchi ya kiislam halafu tumuone mwanaharam yoyote anakuja kufungua bar, tutanyongaaa.

Wewe ni muhafidhina, we bar inakuhusu nini???hapo uarabuni kwenyewe kwenye asili ya dini yenu bar, kitimoto na vingine vingi tu tumeviona, wewe shika imani yako na mungu wangu, bia hunywi uwepo wa bar au kanisa wewe vinakukera nini kama sio upuuzi tu??we unafkiria kama kusingekuwa na wanywaji bia huko ZNZ mtu mwenye akili yange angefungua bar huko???Hizi dini tunazikurupukia bila kupata elimu ya kutosha zinasumbua sana. Wengi mnaong'ang'ana na mambo ya kipuuzi hamna shughuli za kufanya, Rais shein mwenzenu anapiga mvinyo kama kawa nyi mnabaki kufuga mijidevu tu kama mikia ya bata, kwa hayo uliyoyaandika unamaadili gani wewe, kinywa kinaonekana kama cha mzee wa miaka 90. umenchafua sana kijana.
 
Zanzibar — The Zanzibar Muslim Youths Mobilisation and Propagation group has said it supports the recent wave of burning of bars in the isles, and vowed to take tougher action against people selling alcohol.


"We support those burning bars, although we have not urged them to do so. We ask the government to make sure all small restaurants and bars are closed....," the group's leaders, Sheikh Msellem Ali, Sheikh Azzan Khalfan and Sheikh Abdallah, said.

Sheikh Abdallah said: "We want all bars and restaurants to be closed.... read more allAfrica.com: Tanzania: Zanzibar Group Supports Arsonists Targeting Bars

If you people are very wise you should start with those tourist hotels. Burn all the tourist hotels along the seashore from Nungwi to Makunduchi and alsewhere and finish with those at the stone town like serena then it would be easy to finish with the bars and restaurants. And don't forget to burn the airport as well because that is the incoming route for the alcohol. Simply call it "jihad"
 
hongereni sana wazanzibar !!... POMBE NDIO CHANZO CHA DHAMBI ZOTE..... nyie mnaosema waanze na mahoteli makubwa.. kumbukeni watoto wa primary na secondary hawawezi kufika kule...... kuchoma hizi baa za mitaani zitasaidia kulinda maadili ya watoto wao..

natamani mishemishe hizi zingekuwa kule kwetu tanga nako.. tuchome baa zote!!

Kama ukiona unakereka sana na hayo amua badala yake ujichome mwenyewe yaishe
 
Jamani kuwa na Bar Zanzibar sio sababu ya Muungano; ni kufanikisha utalii wa Zanzibar ili waweze kupata pesa...

Hakuna wabara wa kutumia Bar hizo ...
 
Wewe ni muhafidhina, we bar inakuhusu nini???hapo uarabuni kwenyewe kwenye asili ya dini yenu bar, kitimoto na vingine vingi tu tumeviona, wewe shika imani yako na mungu wangu, bia hunywi uwepo wa bar au kanisa wewe vinakukera nini kama sio upuuzi tu??we unafkiria kama kusingekuwa na wanywaji bia huko ZNZ mtu mwenye akili yange angefungua bar huko???Hizi dini tunazikurupukia bila kupata elimu ya kutosha zinasumbua sana. Wengi mnaong'ang'ana na mambo ya kipuuzi hamna shughuli za kufanya, Rais shein mwenzenu anapiga mvinyo kama kawa nyi mnabaki kufuga mijidevu tu kama mikia ya bata, kwa hayo uliyoyaandika unamaadili gani wewe, kinywa kinaonekana kama cha mzee wa miaka 90. umenchafua sana kijana.

Safi sana mkuu mwmbie huyo kenge wateja wa hizo baaa ni wazenji wenyewe kwa aslimia 75 alafu anabwatuka tu huo ni ufinyu wa mawazo kama ni dhambi mbona wana mabo ya hoyvo mengi tu wamekomalia bar mara pome,mbona kwenye hoteli za za kitalii pombe zimejaa hawachomi ?nina hasira ungekuwa karibu wewe....!
 
Kama kuna watu huwa siwaelewi ni jirani zetu wa Zanzibar. Kwa mawazo ya aina hii hata kama muungano utavunjika na nyie kujitawala hamtapata maendeleo hata siku moja. Mtaishia kila siku kupinduana kama wenzenu wa Comoro. Matokeo wengi wenu mtaishia kukimbilia Tanganyika kama wakimbizi.
 
wazanzibar wananishangaza. Kwa jinsi ushoga ulivyotapakaa humo na unafiki na umasikini na madawa ya kulevya bado wanaamini wana maadili? Kisa mkristo na pombe ndio mnaamua kuchukua hatua hiyo?
 
Hii ndio Demokrasia. Wananchi ndio wanaamua na kupanga jinsi maisha yao yataendeshwa. Hii inazingatia tamaduni na desturi za wananchi. Kama wameona hivyo ni bora kwao, hakuna haja ya mtu, taasisi au nchi nyingine kuwaamulia jinsi gani waishi.

Napigwa na butwaa kuona Watanganyika wameivalia njuga hiyo kuliko wazenji wenyewe. Sasa hapa sijaelewa hivi ni watanganyika ndio wamiliki wa baa au mikahawa hiyo midogo midogo? Kama hivyo ndivyo nawaoneeni hurumu kwasababu kila nchi inasheria zake na mgeni ni lazima azifuate.
 
Back
Top Bottom