SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SHEESHA@Giraffe hotel mbezi beach

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Sugar wa Ukweli, Sep 19, 2012.

 1. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shisha.jpg


  shisha opening.jpg

  Wana jamii kutokana na tatizo la ajira nimeamua kuwa mjasiliamali,kiofisi changu kiko hapo Giraffe hotel mbezi beach,tunafungua kuanzia saa 11 za jioni,karibuni mniunge mkono,tutaweza tu kujikomboa wenyewe
   
 2. Jephta2003

  Jephta2003 JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 27, 2008
  Messages: 3,584
  Likes Received: 1,885
  Trophy Points: 280
  karibu kwenye ujasiliamali,tuko pamoja
   
 3. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,956
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Mnavuta sigara gani?

  Madhara yake ni sawa na kuvuta bagi?
   
 4. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  OK all the best.
   
 5. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana haina madhara kama ya BANGE,isingeruhusiwa kufanyika hadharani
   
 6. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana kiongozi,ubarikiwe :flypig:
   
Loading...