She wants to be alone

She wants to be alone

Habar zenyuu MMU,i have been in relationship with certain cute girl almost miaka miwili sasa.Tmeishi vizuri tu bila tatizo although kutofautiana kupo in some days.To be honest,tulikuwa tunapendana sana sana sana.Dah! i cant explain any more,anachotaka sahiv simply "TO BE ALONE" I tried hard to find the reason lakini sjapata.Nmeshamkubaliaila sjajua logic ya hii kitu,kama ulishawah kukutokea hii hali tushare mawazo hapa,ukipenda kukejel,kutukana ni sawa cz ni haki yako ya msingi kikatiba ya JMT
Hakika kibuti ni kibaya, yani unaona kila rangi kama hivi. Pole mkuu
 
Karne hii unaliA lia kuachwa wakati mademu ni wengi kuzd wanaume?? Labda nikusaidie kufaham kwann amekuacha.
Mchunguze marafk zake wana tabia gan,pia kama anafanya kaz jua kuna bwege mmoja kazin kwao limemurubun au kapachikwa MIMBA ANATUMIA TECHNIC ASIAIBIKE.Lakini!!!!!!!! wakati unampata wewe si aliacha mwingine kaumia kama wewe??? basi ni zamu yako jombaaa,ila usiwaze sana maana she is wasting her times
 
Naomba nikupinge hapo kidogo ktk hizo aina kutokana na utafiti ambao sio rasmi zipo aina tatu tu za hao mashoga Top, Bottom na yatatu ni nimeisahau jina lake ni gumu kidogo
SOURCE: kuna MTU ali kuwa added ktk group ss swali aliliulizwa lililenga kumjua style yake ktk ushoga either top bottom au hiyo ya tatu ambayo nimeusahau kudogo Yule jamaa alijitoa baada ya kuelewa essence ta group ndipo alipo tuadithia

Mweh!!! Hivi nao huu una types zake😱
Mie nilikuwa sijui asee, tumuulize mleta mada yeye ni aina gani ya hao watu😡
 
Hayo marangi yako unaumiza macho, hata sijajua kimeandikwa nini
 
Habar zenyuu MMU,i have been in relationship with certain cute girl almost miaka miwili sasa.Tmeishi vizuri tu bila tatizo although kutofautiana kupo in some days.To be honest,tulikuwa tunapendana sana sana sana.Dah! i cant explain any more,anachotaka sahiv simply "TO BE ALONE" I tried hard to find the reason lakini sjapata.Nmeshamkubaliaila sjajua logic ya hii kitu,kama ulishawah kukutokea hii hali tushare mawazo hapa,ukipenda kukejel,kutukana ni sawa cz ni haki yako ya msingi kikatiba ya JMT
kakuchanganya sana rangi zote umeziona!
 
Nashukuru kwa mawazo yenu nitayafanyia kazi
 
Habar zenyuu MMU,i have been in relationship with certain cute girl almost miaka miwili sasa.Tmeishi vizuri tu bila tatizo although kutofautiana kupo in some days.To be honest,tulikuwa tunapendana sana sana sana.Dah! i cant explain any more,anachotaka sahiv simply "TO BE ALONE" I tried hard to find the reason lakini sjapata.Nmeshamkubaliaila sjajua logic ya hii kitu,kama ulishawah kukutokea hii hali tushare mawazo hapa,ukipenda kukejel,kutukana ni sawa cz ni haki yako ya msingi kikatiba ya JMT​
HUYO NI CUTE KWAKO KWANGU MIMI NI MONG'O.BY THE WAY MTAFUTE MNYONGE MWENZAKO UMUIBIE HUYO KAIBWA
 
Back
Top Bottom