She is not special

Level zipo,angalia prof jay kwenye zali la mentali au ulikua mdogo??
Si umeona sasa licha ya tofauti zao za status

Bado Jay alimuoa mtoto wa Mbezi Beach upepo unapovuma

Na likafanyika bonge la party watoto wa uswahilini walibaleba wali kwenye mashati

She is not special ni mentality yako tu
 
Huyi jamaa wa chuga ni yupi
 
Bilionea Rihanna alitoka na bilionea wa Saudi Arabia Jameel na Drake ukiangalia wote wana level kubwa kama yake

Mwisho wa siku kafanya maisha na A$AP Rocky demu kafa kaoza kwa muhuni na kamzalia watoto
Sasa unaingia kwenye mfumo.. 4-4-2.

CONNECTION, wale ni wasanii, status yao 1, ukizungumzua asap sio harmonize wa chitoholi mkuu, ama kiba wa kkoo mchikichini.. ama mondi wa tandale
 
Sasa unaingia kwenye mfumo.. 4-4-2.

CONNECTION, wale ni wasanii, status yao 1, ukizungumzua asap sio harmonize wa chitoholi mkuu, ama kiba wa kkoo mchikichini.. ama mondi wa tandale
Wote wasanii ila status na level ni tofauti
 
Hivi hata unaelewa nilicho zungumzia? Hao wote wana access ya kuwa karibu, ambapo ni USANII.
kuwa muelewa bas.
 
Uzi ufungwe, umemaliza kila kitu Mzee🀝
 
Daah hii ni kweli familia
 
Class haijawahi kutokuwepo duniani. Sio kwa sababu flani alifanya basi fala yoyote anaweza fanya.... Standard zipo na zitaendelea kuwepo. Mwanaume mwenyewe kuna mademu huwezi kupiga hata upewe bure....
 
Mwanamke special kwangu ni yule anaenipenda, anaeniheshimu na kunitii. Tofauti na hapo hata awe mzuri kuzidi malaika kwangu hana u special wowote ule kwangu.

Classes zipo ila mwanaume kujiamini, muonekano wa mtoto wa kike usikutishe ukajiona humuwezi, ni namna tu ya kumuingia na kumfanya aone anastahili kukupa unachokitaka.

Kuna pisi ni kali haswa ila tunaishi nazo fresh tu na tunaziacha vilevile zikileta zesheni.

Jiamini kama mwanaume kama ulivyo tayari ku-face changamoto yoyote hivyo hivyo mface yeyote unayewiwa kuwa nae.

Ukipewa nafasi piga kazi kisawa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…