Watu wadizaini hii ndio wife material
Miss Natafuta pamoja na Mzigua90 wanampita mke wa Obama kwa uzuri?Ni wa kawaida mno!
Hana uzuri wowote.
Oh, she should also learn how to shave her underarms...
View attachment 1594001
Yaani kabsa....naamini ata sku ya mwsho kutakuwa na maajabu mengi Sana..Maajabu hayawezi Isha.
Loh kwani ngabu ndo mzani??Miss Natafuta pamoja na Mzigua90 wanampita mke wa Obama kwa uzuri?
Dogo upo??Ni wa kawaida mno!
Hana uzuri wowote.
Oh, she should also learn how to shave her underarms...
View attachment 1594001
Sijui kwanini sijajishughulisha na uzuri ama ubaya wake!.. nimejikita kutazama mikunjo ktk sura yake ambayo ktk Chinese face reading inamaana zake mikunjo aliyonayo mtu usoni! Hasa kuanzia miaka ya umakamu Yani 40 kwenda mbele.. mikunjo hii humaanisha emotions mbalimbali zenye historia ya mapito mazuri au mabaya ndani yake!
Yet still she's was a President's wife, something yoo momma ain't gonna be.