She is not beautiful!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Nope!

1602090904138.png
 
Sijui kwanini sijajishughulisha na uzuri ama ubaya wake!.. nimejikita kutazama mikunjo ktk sura yake ambayo ktk Chinese face reading inamaana zake mikunjo aliyonayo mtu usoni! Hasa kuanzia miaka ya umakamu Yani 40 kwenda mbele.. mikunjo hii humaanisha emotions mbalimbali zenye historia ya mapito mazuri au mabaya ndani yake!
 
Wewe demu haujamaliza gubu zako kwa Michelle,maana ulikuwa unamuanzishia nyuzi nyingi nyingi.
Hiyo picha ni ya juzi alipomuita trump racist.
 
Ni wa kawaida mno!

Hana uzuri wowote.

Oh, she should also learn how to shave her underarms...🤣

4634B272-3C74-4D49-9E73-2E86AC639016.jpeg
 
Sijui kwanini sijajishughulisha na uzuri ama ubaya wake!.. nimejikita kutazama mikunjo ktk sura yake ambayo ktk Chinese face reading inamaana zake mikunjo aliyonayo mtu usoni! Hasa kuanzia miaka ya umakamu Yani 40 kwenda mbele.. mikunjo hii humaanisha emotions mbalimbali zenye historia ya mapito mazuri au mabaya ndani yake!

Natamani kupata elimu zaidi juu ya hii mikunjo usoni
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom