She is not beautiful!

Natamani kupata elimu zaidi juu ya hii mikunjo usoni
images (3).jpeg

Sahivi naumwa siku nikipata wasaa ntafungulia na Uzi wake kabisa maana hayo maelezo hayatoshi Ni machache sana tu.
Niombee kwa Mungu wako nipone nipate na hali ya kuandika Uzi maana..😅
 
Sijui kwanini sijajishughulisha na uzuri ama ubaya wake!.. nimejikita kutazama mikunjo ktk sura yake ambayo ktk Chinese face reading inamaana zake mikunjo aliyonayo mtu usoni! Hasa kuanzia miaka ya umakamu Yani 40 kwenda mbele.. mikunjo hii humaanisha emotions mbalimbali zenye historia ya mapito mazuri au mabaya ndani yake!

Naomba tafsiri ya hiyo mikunjo ya uso, nataka kujitasfiri mwenyewe na pia nimtafsiri mtu fudenge mikonjo yake usoni.
 
Naomba tafsiri ya hiyo mikunjo ya uso, nataka kujitasfiri mwenyewe na pia nimtafsiri mtu fudenge mikonjo yake usoni.
Tulia Kwanza afya yangu ikae sawa mama ndo nifanye vitu vyengine.. sawa mpenzi..?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom