She is beautiful, nimemkubali, Ila yupo na jamaa mmoja

Boeing787-8

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
798
843
Hope mko poa

Moja kwa moja kwenye mada.

Kuna mdada mmoja ni mzuri kweli black beuty, bado mdogo tu ni early 20's.

Nimetokea kukubali Sana uyo dada, nilipanga nimuendee. Badae nimegundua yupo kwenye mahusiano na chalii mmoja tena ni jirani yangu uyo chalii.

Uyo dada anapitaga karibu na ofisi yangu, tuna mazoea ya kawaida maana nina muda mfupi toka nihamie hapo. Nimemkubali Sana uyo dada Ila muda mwingine kumnyanganya mtu mpenzi naona sio poa.

Jamaa wa uyo dada nimemzidi kila kitu Elimu, kipato n.k Sasa muda mwingine nawaza nkimtokea huyu dada afu badae aje amdump mpenzi wake, jamaa atanifikiliaje?

Wakuu nimempenda Sana huyo dada, je nimtokee ,yule mshikaji wake akiachwa apambane na hali yake au niwe tu civilized man nisiharibu mahusiano ya watu.

Msaada please

N.B comments za kijinga sitaki
 
Kama unauhakika unampenda Na upo tayari kufanya nae maisha mchukue kwakuwa huyo jamaa hawana ndoa. Pia Elewa hata ukimuacha utafute mwingine ambaye unadhani hana mtu huwa ni uongo wanawake wote wana watu Na tena sio mmoja ila atakuficha kuwa yuko pekeake toka mwakajana wakati jana tu watu wamemnyandua. Chukua mtoto huyo potea nae usiulize mengi wote wana watu
 
PDF ako ni kubwa sana
 
Nampenda aswaaa am ready tuyajenge Kama atakuwa serious
 
Unapotaka kumla demu wa mtu,usiwaze huyo jamaa yake atafanyaje,hayo hayakuhusu we kuka tu
 
Uliambiwa na nani kwamba hakuna mtu ambae hana mpenzi?wewe mwenyewe hapo utakuwa una mwanamke lakini humuelewi ndo mana umeruhusu moyo wako kupenda tena.

Kama umempenda jichomeke humo humo...matendo yako yatamfanya awe na wewe na sio mwamba alienae.

Tafuta mahusiano yaliyolegea legea jichomeke humo..mshindi atatangazwa kanisani/msikitini.

Sijui unaelewa lakini
 
Me Nilikuwa na situation kama Yako, Kwa sasa ndo naishi nae ni wa 23 years.

Ninachojua Mimi mwanaume ukitaka kitu na uwezo unao ni kupambana as long as usilete chuki miongoni mwa unaopambana nao.

Yaani unapiga vita Ile ya kimya kimya bila kumuharibia jamaa Kwa demu wake. Tongoza kiheshima Acha kumponda jamaa Kwa demu wake, wewe Acha Mambo yajiset yenyewe.

Kumkandia dume Mwenzio Kisa unamtaka demu wake huo nao ni ufala tu, kumbuka mafanikio nayo huja na bahati. Wanaume hatuharibiani Ila tunapambana, Na Kwa situation Yako ww ni mchokozi so icheze vita Kwa heshima, Punguza dharau.

Mm nikijua flani ni demu wako tu hujamuoa Afu Hata kwao hawakujui Nakuona boya tu huwezi kunizingua.
 
Mkuu,Mapenzi hayako hivyo utajichanganya halafu utakuja kulia hapa ukifikiri kuwa wewe ni mjanja.Mimi nimewahi nyang'anya na nimewahi nyang'anywa. demu kwa kigezo hicho hicho cha kijanga cha kwamba nimemzidi jamaa/jamaa kanizidi.Na katika hayo yote nilijifunza kwamba Mapenzi sio pesa wala elimu.Labda kama unataka kumgonga tu usepe ila kama umezama kwenye Penzi tafuta kigezo kingine zaidi ya hicho.Utakuwa mtumwa wa huyo demu na Jamaa uatakayemnyang'anya ataendelea kumiliki moyo wake.Huo ndio ujinga wa Mapenzi wewe unamiliki mwili mwenzi anamiliki MOYO yaani mkiwa six by six anamvutia jamaa hisia.Kwa ufupi THINK TWICE BEFORE YOU THINK THAT YOU CAN TAKE OVER A WOMAN'S HEART BASED ON MATERIAL THINGS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…