She is beautiful, nimemkubali, Ila yupo na jamaa mmoja

Hivi basta Kwanini unataka kuudanganya ulimwengu wewe...

Hao wanawake uliowahi kuwa nao au ambao unayo,unauhakika gani uko uko peke yako brother.

Kuwa mpole tu kama unaamini uko peke yako basi ni jambo la kheri na uendelee kumshukuru Mungu
Hahahah hata kama sipo pekeyangu ila mi siwezi gombania mademu mtaani. I got mad respect for that! Sijawahi kuwa na scandal ya kutongoza hata vitoto mtaani. Nahisi wananionaga ni bro flani serious sana maana sinaga story na mtu.
 
Uliambiwa na nani kwamba hakuna mtu ambae hana mpenzi?wewe mwenyewe hapo utakuwa una mwanamke lakini humuelewi ndo mana umeruhusu moyo wako kupenda tena.

Kama umempenda jichomeke humo humo...matendo yako yatamfanya awe na wewe na sio mwamba alienae.

Tafuta mahusiano yaliyolegea legea jichomeke humo..mshindi atatangazwa kanisani/msikitini.

Sijui unaelewa lakini
Aiseee hi dunia tulipofikia hii
 
Mkuu,Hata akioa,taking over a womans heart is a serious business.Mimi kuna mtu anamiliki PISI kali yangu.Ila mpaka Leo Ile Pisi ni Mali yangu.Nakusanya Nguo anatoka kwa mume wake anakuja kunifulia.Jamaa kapambana sana ila ndo hivo alifanya kosa kumbe hakujua mimi sikuwa na makuu nikabaki tu nasubiri mzigo wangu urudi.Na kweli within six months ukarudi.LOVE IS A DIFFERENT STORY HASA KWA VIUMBE WANAITWA WANAWAKE
Acha kabisa nakuelewa Sana tena Sana
 
To... Mba, u... To.. Mbewe hiyo inaitwa.

Kama huyu mwanamke unadhani una haki ya kumchukua sababu umemzidi jamaa yake na kweli kwako demu akaja kwa sababu hiyo, jua kuna wahuni watamsomba pia sababu wapo wengi tu ambao wamekuzidi nawe kila kitu..

Kama unahisi unampenda kweli, unamuhitaji kwa dhati, muibukie lakini sio umfate sababu unaona jamaa yake unamzidi kwa kila kitu.

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Yeah argument yake hiyo ilizingua Sana alikosea kusema hivyo ...wanawake hawatabiriki kabisa
 
Kumbe hata wanawake mnabariki huu uhuni. Mi siwezi kumpora dogo demu wake aisee im too smart for that shit. Uanze kugombania demu na dogo wa mtaani...what the heck!!!
Dunia imefikia pabaya Sana ..huu ulimwengu ulipofikia ukijifanya kilove zeze lazima ulimwengu ukupige Kofi

Imagine hayo ndiyo maneno yanayo tamkwa na wanawake ambao siku 1 tunatamani waje kuwa wake zetu
 
Kama unajilipua jilipue halafu yeye mwenyewe atang'amua Kati ya wewe na mwana Nani ni Bora kwake.

Si vizuri kudharau na kufuatilia life la mwana.
 
Hivi watu wajinga kumbe bado mpo? Wewe huyo jamaa yake anakuhusu nini?

Alaf cha ajabu eti hutaki comments za kijinga
 
Hahahah hata kama sipo pekeyangu ila mi siwezi gombania mademu mtaani. I got mad respect for that! Sijawahi kuwa na scandal ya kutongoza hata vitoto mtaani. Nahisi wananionaga ni bro flani serious sana maana sinaga story na mtu.
Kuna tofauti kazi ya kugombania mwanamke na hiki kinachozungumziwa hapa basta
 
Prima facie unaweza dhani unamzidi mwanamme wake kila kitu.

Ila nikuambie kitu, huenda huyo mwanamme pekee ndo anaweza kumhandle huyo mwanamke.

Am not talking in terms of sex, but sisi wanawake we are a whole package on our own. Kiburi, jeuri, moodswings, majibu ya ovyo....

If they are happy, let them be. Find your own headache muanze upya. Furthermore hujamtaka vya kutosha. You are a coward. Ungemtaka usingekuja hapa kujing'ata ng'ata. Ungepindua serikali tubaki tunaongea mengine mfano mimba inasumbua 😁😁
 
Pindua meza. Vitani hamna kuchagua silaha wala kumuonea huruma adui.
 
Hahahah bora mkuu umetoa ushuhuda, kuna lugha niliitumia kwamba pesa itafanya yote ila haiwezi nunua hisia za manzi. Kama demu hajakufeel mwenyewe hata ukimroga na pesa still atakuwa anahisia na jamaa uliyempora.

Demu atakuja kwako kula hela tu ila kimapenzi hamuwezi kuwa sawa.
Sema nin mkuu, kuna mida hisia zinajengwa mzee.
 
Back
Top Bottom