She is beautiful, nimemkubali, Ila yupo na jamaa mmoja

tafuta mwenye ufanano na huyo umtokee...
formula yangu hata nikipenda mke w mtu huwa natafuta "type"hiyo hiyo afu nakuwa na meditate wakati nafanya yangu!!
 
To... Mba, u... To.. Mbewe hiyo inaitwa.

Kama huyu mwanamke unadhani una haki ya kumchukua sababu umemzidi jamaa yake na kweli kwako demu akaja kwa sababu hiyo, jua kuna wahuni watamsomba pia sababu wapo wengi tu ambao wamekuzidi nawe kila kitu..

Kama unahisi unampenda kweli, unamuhitaji kwa dhati, muibukie lakini sio umfate sababu unaona jamaa yake unamzidi kwa kila kitu.

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Mkuu mke yule vipi?..ushampata?..Mbona hatupeani feedback ndugu yangu
 
Hahahah bora mkuu umetoa ushuhuda, kuna lugha niliitumia kwamba pesa itafanya yote ila haiwezi nunua hisia za manzi. Kama demu hajakufeel mwenyewe hata ukimroga na pesa still atakuwa anahisia na jamaa uliyempora.

Demu atakuja kwako kula hela tu ila kimapenzi hamuwezi kuwa sawa.
Nimekuelewa
 
Unavyo mchukuwa kwa minguvu na ushaawishi wako wa hela ujue tu yule jamaa. Ataendelea kumchakata Hadi ajichokeee na atakuwa anamla muda wowote akipata nafsi...iko hvyo kwani Kuna mtu na mm alininyanganya demu kwa sababu za pesa zake ila yule demu mkp sas na kesho namchakta Hadi kwenye gari aliyonunuliwa na mumewe huyu ..jamaa akiniangaliaga aanajuwa kbsa demu ake namchakta hvyo chukuwa taaafhar hyo...
 
Siyo vizuri kuingilia mapenzi ya watu kisa tu eti unamzidi kwa kila kitu huenda huyo Binti anampenda kutokana na hali aliyonayo huyo mpenzi wake, wanawake ni wengi sana tafuta wa kwako.
 
To... Mba, u... To.. Mbewe hiyo inaitwa.

Kama huyu mwanamke unadhani una haki ya kumchukua sababu umemzidi jamaa yake na kweli kwako demu akaja kwa sababu hiyo, jua kuna wahuni watamsomba pia sababu wapo wengi tu ambao wamekuzidi nawe kila kitu..

Kama unahisi unampenda kweli, unamuhitaji kwa dhati, muibukie lakini sio umfate sababu unaona jamaa yake unamzidi kwa kila kitu.

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Umeongea vizur saaana

Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
 
Kwa maelezo yako unaonekana una upeo mdogo sana au mtu wa misifa. Una uhakika gani kama umemzidi huyo chalii kwa kila kitu?
 
Et jamaa ake nimemzid kila kitu. Hiv ww ww umejuaje kuwa umemzid kila kitu? Unazania wanawake wanapenda kwa kuangalia vitu tangible ulivyo navyo ama unataka wakutaman tu?
Wenda una pesa kwel, una elimu kubwa kumzid huyo jamaa ake kwel, una jiona ni hb sawa. Ila ukakoswa kitu cha muhim ambacho yule jamaa ake acho tambua mwisho wa siku huyo dem ukimchukua atarudi tu tena kwa huyo mtu wake kukitafta alichokikosa
 
Hope mko poa

Moja kwa moja kwenye mada.

Kuna mdada mmoja ni mzuri kweli black beuty, bado mdogo tu ni early 20's.

Nimetokea kukubali Sana uyo dada, nilipanga nimuendee. Badae nimegundua yupo kwenye mahusiano na chalii mmoja tena ni jirani yangu uyo chalii.

Uyo dada anapitaga karibu na ofisi yangu, tuna mazoea ya kawaida maana nina muda mfupi toka nihamie hapo. Nimemkubali Sana uyo dada Ila muda mwingine kumnyanganya mtu mpenzi naona sio poa.

Jamaa wa uyo dada nimemzidi kila kitu Elimu, kipato n.k Sasa muda mwingine nawaza nkimtokea huyu dada afu badae aje amdump mpenzi wake, jamaa atanifikiliaje?

Wakuu nimempenda Sana huyo dada, je nimtokee ,yule mshikaji wake akiachwa apambane na hali yake au niwe tu civilized man nisiharibu mahusiano ya watu.

Msaada please

N.B comments za kijinga sitaki
Vitu kama ni vya kufuta havina maana kabisa
 
Mkuu mke yule vipi?..ushampata?..Mbona hatupeani feedback ndugu yangu
Ndugu yangu, niko on process, swala sio jepesi km nilivyofikiri(nilifikiri ni paaap unapata, unaweka ndani)
Kumbe ni wapo wengi mnoo, wamejitokeza wengi saana, hivyo naenda nao taratibu, huku tunapunguzana taratibu, ila nilipofikia kwa sasa ni njia panda, ni mola pekee was kunivusha ndugu yangu.
Lau km ningekuwa na uwezo ningewaoa hata wa4, niko njia panda.
Inshaallah, nikikamilisha tutajuzana kama ambavyo nilivyotoa taarfa wakati natafut.

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe hata wanawake mnabariki huu uhuni. Mi siwezi kumpora dogo demu wake aisee im too smart for that shit. Uanze kugombania demu na dogo wa mtaani...what the heck!!!
Hivi basta Kwanini unataka kuudanganya ulimwengu wewe...

Hao wanawake uliowahi kuwa nao au ambao unayo,unauhakika gani uko uko peke yako brother.

Kuwa mpole tu kama unaamini uko peke yako basi ni jambo la kheri na uendelee kumshukuru Mungu
 
Hope mko poa

Moja kwa moja kwenye mada.

Kuna mdada mmoja ni mzuri kweli black beuty, bado mdogo tu ni early 20's.

Nimetokea kukubali Sana uyo dada, nilipanga nimuendee. Badae nimegundua yupo kwenye mahusiano na chalii mmoja tena ni jirani yangu uyo chalii.

Uyo dada anapitaga karibu na ofisi yangu, tuna mazoea ya kawaida maana nina muda mfupi toka nihamie hapo. Nimemkubali Sana uyo dada Ila muda mwingine kumnyanganya mtu mpenzi naona sio poa.

Jamaa wa uyo dada nimemzidi kila kitu Elimu, kipato n.k Sasa muda mwingine nawaza nkimtokea huyu dada afu badae aje amdump mpenzi wake, jamaa atanifikiliaje?

Wakuu nimempenda Sana huyo dada, je nimtokee ,yule mshikaji wake akiachwa apambane na hali yake au niwe tu civilized man nisiharibu mahusiano ya watu.

Msaada please

N.B comments za kijinga sitaki
Hutaki comments za kijinga halafu unaanzisha uzi wa kijinga, hebu jipime kama upo sawa bwashee
Comments za kijinga hutumws kwa nyuzi za kijinga 😁
 
Kuna ujinga mwingine
an wew unawaza kwenda kupindua meza kwa mwana siku na wew wakipindua usije lialia humu kutak ushauli lakini unapendaje kijinga hivyo unajua flan ndio anasokota na ww unatak ukasokote broo unashida sehem hauko timamu
 
Back
Top Bottom