Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 798
- 843
Hope mko poa
Moja kwa moja kwenye mada.
Kuna mdada mmoja ni mzuri kweli black beuty, bado mdogo tu ni early 20's.
Nimetokea kukubali Sana uyo dada, nilipanga nimuendee. Badae nimegundua yupo kwenye mahusiano na chalii mmoja tena ni jirani yangu uyo chalii.
Uyo dada anapitaga karibu na ofisi yangu, tuna mazoea ya kawaida maana nina muda mfupi toka nihamie hapo. Nimemkubali Sana uyo dada Ila muda mwingine kumnyanganya mtu mpenzi naona sio poa.
Jamaa wa uyo dada nimemzidi kila kitu Elimu, kipato n.k Sasa muda mwingine nawaza nkimtokea huyu dada afu badae aje amdump mpenzi wake, jamaa atanifikiliaje?
Wakuu nimempenda Sana huyo dada, je nimtokee ,yule mshikaji wake akiachwa apambane na hali yake au niwe tu civilized man nisiharibu mahusiano ya watu.
Msaada please
N.B comments za kijinga sitaki