She is beautiful, nimemkubali, Ila yupo na jamaa mmoja

Boeing787-8

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
488
1,000
Hope mko poa

Moja kwa moja kwenye mada.

Kuna mdada mmoja ni mzuri kweli black beuty, bado mdogo tu ni early 20's.

Nimetokea kukubali Sana uyo dada, nilipanga nimuendee. Badae nimegundua yupo kwenye mahusiano na chalii mmoja tena ni jirani yangu uyo chalii.

Uyo dada anapitaga karibu na ofisi yangu, tuna mazoea ya kawaida maana nina muda mfupi toka nihamie hapo. Nimemkubali Sana uyo dada Ila muda mwingine kumnyanganya mtu mpenzi naona sio poa.

Jamaa wa uyo dada nimemzidi kila kitu Elimu, kipato n.k Sasa muda mwingine nawaza nkimtokea huyu dada afu badae aje amdump mpenzi wake, jamaa atanifikiliaje?

Wakuu nimempenda Sana huyo dada, je nimtokee ,yule mshikaji wake akiachwa apambane na hali yake au niwe tu civilized man nisiharibu mahusiano ya watu.

Msaada please

N.B comments za kijinga sitaki
 

Mtu si mbwa

Member
Jan 24, 2021
16
75
Kama unauhakika unampenda Na upo tayari kufanya nae maisha mchukue kwakuwa huyo jamaa hawana ndoa. Pia Elewa hata ukimuacha utafute mwingine ambaye unadhani hana mtu huwa ni uongo wanawake wote wana watu Na tena sio mmoja ila atakuficha kuwa yuko pekeake toka mwakajana wakati jana tu watu wamemnyandua. Chukua mtoto huyo potea nae usiulize mengi wote wana watu
 

rediicky

Senior Member
Apr 1, 2019
199
500
Je roho za wafu huenda wapi?Muhubiri 12:7 “Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa, Nayo roho kumrudia Mungu aliyeitoa.”
Neno la kiebrania lililotumika hapo kwenye neno “roho” ni ר֫וּחַ (ruach) – [roo’-akh] linalomaanisha “pumzi” au “upepo”. Hivyo Muhubiri 12:7 inasema mtu akifa mwili wake unarudi mavumbini, lakini pumuzi ya uhai inamrudia Mungu aliyeiweka ndani yake tangu mwanzo.

Ayubu 27:3 inathibitisha kwa kusema, “(Kwa kuwa uhai wangu ukali mzima ndani yangu, Na roho ya Mungu i katika pua yangu;)” Hapa anaonyesha uhai na roho kuwa kitu kimoja katika pua ya mtu. Kuthibitisha ukweli huu zaidi katika Mwanzo 7:22 inasema, “kila kitu chenye pumzi ya roho ya uhai puani mwake kikafa, kila kilichokuwako katika nchi kavu.”

Pumzi ya roho ya uhai, hii inamaanisha ni ule uhai alionao mtu ambao ukiondolewa mtu anakufa Yakobo 2:26 inasema, “Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa.” Hapa analinganisha kati ya mwili na imani, na roho na matendo, kama mwili bila roho[pumzi ya Mungu] umekufa, vivyo hivyo imani bila mtendo imekufa. Mwanzo 2:7 inaweka wazi ukweli huu.

Mwanzo 2:7 “Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.”
Hivyo mtu anapokufa mwili wake huyarudia mavumbi na pumzi ya uhai humrudia Mungu mwenyewe.

Zaburi 146:3-4 inasema, “Msiwatumainie wakuu, Wala binadamu ambaye hakuna wokovu kwake. Pumzi yake hutoka, huurudia udongo wake, Siku hiyo mawazo yake yapotea.”
Je umeshika hapo? kwamba pumuzi ya mwanadamu ikimtoka, naye akarudi udongoni, kisha mwanadamu huyo anapoteza mawazo? Kama anapoteza mawazo hii inathibitisha kuwa mara tu roho imemtoka, mwanadamu anakuwa hajitambui tena kabisa, wala hajielewi. Hapa roho inamaanisha pumuzi ambapo Zaburi 146:4 inasema baada ya pumuzi hiyo kumtoka mtu, mawazo pia yamemtoka na hawezi kujitambua tena.
Ukweli katika hili ni mwepesi sana kushika, lakini Wakristo wengi wamefundishwa kwamba watu wema wanapokufa roho zao zinaenda kuwa hai na kuishi mbinguni, na waovu wanapokufa roho zao zinaenda kuteseka jehanamu. Lakini Maandiko yako wazi sana roho ni pumzi tu na sio kitu kingine zaidi, na wakati Mungu anapoiondoa pumzi hiyo ndani ya mtu, mara moja mtu huyo hufariki.

Zaburi 104:29 inasema, “…Waiondoa pumzi yao, wanakufa, Na kuyarudia mavumbi yao…”
Zaburi 146:4 “Pumzi yake hutoka, huurudia udongo wake, Siku hiyo mawazo[akili] yake yapotea”

Ayubu 34:14,15 “…[Mungu] Akijikusanyia roho yake na pumzi zake; Wenye mwili wote wataangamia pamoja, Nao wanadamu watarejea tena kuwa mavumbi.”
Kifo cha mwanadamu ni pale Mungu anapoamua kuitoa pumzi aliyoiweka ndani yake wakati wa kumuumba. Kinachotokea kwa wanadamu ndicho kilekile kinachotokea kwa wanyama pia,
Mhubiri 3:19-21 inasema, “Kwa maana linalowatukia wanadamu linawatukia wanyama; jambo moja lawatukia; anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa huyu; naam, wote wanayo pumzi [au roho] moja; wala mwanadamu hana kitu cha kumpita mnyama; kwa maana yote ni ubatili. Wote huenda mahali pamoja; wote hutoka katika mavumbi; na hata mavumbini hurudi tena. Ni nani ajuaye kama roho ya binadamu huenda juu, na kama roho ya mnyama huenda chini?”
Hapa Mhubiri anaweka wazi kwamba “mwanadamu na mnyama wote huenda mahali pamoja”, hivyo kudai kwamba roho zinaenda kuwa hai na kuishi mbinguni ni sawa na kusema roho za wanyama nazo huenda kuwa hai na kuishi mbingu au jehanamu!

Zaburi 150:6 inasema, “Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA.” Kwanini? Kwa sababu wale wote ambao hawana pumzi ni wafu na “hawawezi kumsifu BWANA” (Zaburi 115:17), “…wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu yao, husuda yao, imepotea yote pamoja…” (Mhubiri 9:5,6). Waliokufa hawana hekima wala maarifa (Mhubiri 9:10), waliokufa “hawawezi kuitarajia kweli” (Isaya 38:18), waliokufa “hawawezi kumwona Mungu wala kumwona mwanadamu” (Isaya 38:10,12); roho ya mtu aliyekufa pia “huzimika”,

Ayubu 17:1 inasema, Roho yangu imezimika, siku zangu zimekoma, Kaburi i tayari kunipokea.”
Kwa sababu Maandiko yanasema kuwa mtu akifa roho inamrudia Mungu, na mwili unarudi mavumbini; hivyo baadhi ya watu wamekuja katika hitimisho kwamba roho za wafu zinaenda kuwa hai na kuishi mbinguni. Kwanza hapo Mhubiri hajasema kwamba roho za wema ndizo humrudia Mungu, bali mwanadamu ye yote akifa roho humrudia Mungu. Wala Biblia haisemi popote pale kwamba waovu wakifa roho zao zinaenda sehemu nyingine tofauti na roho za wema; baadhi husema kuwa roho za waovu huenda kuzimu, lakini neno “kuzimu” la kiebrania ni “sheol” na la kigiriki ni “hades” na yote yanamaanisha “kaburi”; Watu wote wema kwa waovu huenda kuzimu, yaani, kaburini (Mhubiri 9:10), roho za wanadamu wote, na za wanyama wote, na za kila kiumbe hai chenye pumzi ziko mkononi mwa Mungu, Ayubu 12:10 inasema, “BWANA…Ambaye nafsi ya kila kilicho hai i mkononi mwake, Na pumzi [roho] zao wanadamu wote.” Hakuna hata fungu moja kwenye Biblia ambalo linasema wazi kwamba waovu wakifa papo hapo roho zao zinaenda jehanamu. Wengi wanaofundisha uongo huu hutumia mfano wa Lazaro na tajiri, lakini huo ni mfano tu na hauchukuliwi kiuhalisia, kwanza tajiri alienda jehanamu yeye kama yeye akiwa na roho na mwili, mdomo, macho na masikio; wala haisemi popote kwamba roho tu ya tajiri ndiyo ilienda jehanamu.

Ayubu 14:10,12,21 inasema, “Lakini mwanadamu hufa…Naam, mwanadamu hutoa roho, naye yupo wapi?…Ni vivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; Hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, Wala kuamshwa uzingizini…”
Tumegundua kwamba mwanadamu anapokufa, roho yake hutoka. Baadhi ya misemo katika Maandiko kuhusu kitendo cha utokaji wa roho ya mwanadamu yeyote zimesemwa kama “roho kumrudia Mungu aliyeitoa” Mhubiri 12:7, “kuiondoa pumzi yao wanadamu” Zaburi 104:29, “pumzi yake mwanadamu hutoka” 146:4. Pia tumegundua kuwa neno “roho” linamaanisha “pumzi”, na hivyo pumzi ile ambayo Mungu aliipulizia ndani ya mwanadamu wakati wa uumbaji ndiyo inayotoka kisha mwanadamu anakufa!
Hivyo walimu wengi wa uongo watakuambia kuwa pumzi hiyo huenda kuwa hai na kuishi na watakatifu wengine mbinguni, au huenda kuunguzwa motoni jehanamu. Lakini Biblia haina hata fungu moja tu linalosema kwamba mtu akifa pumzi yake inaenda jehanamu, hili ni mawazo na fundisho la wanadamu ambalo Biblia inathibitisha kuwa ni uongo.
Yesu akizungumzia ukweli juu ya kifo cha jehanamu alisema, “Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.
Mathayo 10:28. Hapa Yesu anasema wazi kwamba katika jehanum watu wataangamizwa vyote “mwili na roho”, Kufundisha kwamba roho ya mtu iko jehanum wakati mwili wake uko kaburini fundisho hilo sio la Biblia, bali ni uongo.
Ukweli kuhusu roho za wafu
Kitabu cha Ufunuo sura ya 20 kinatoa ukweli wote kuhusu hali ya roho za wafu, na jehanum itakavyokuwa. Tunajua kwamba ndugu zetu wengi wameuawa, tena kuna Wakristo wengi waliokatwa vichwa na Upapa kwa ajili ya jina la Yesu. Ufunuo 20:4 inasema, “nami nikaona roho zao waliokatwa vichwa kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu, na kwa ajili ya neno la Mungu…nao wakawa hai, wakatawala pamoja na Kristo miaka elfu.”
Maneno “wakawa hai” yanathibitisha kwamba zamani hawakuwa hai. Roho zao zilipotoka (Zaburi 104:29) au roho zao zilipozimika (Ayubu 17:1) haukuwepo uhai wowote tena, lakini miili yao ilipofufuliwa, na roho zao zikaletwa tena ndani yao ndipo “uhai ukarejea tena” nao wakawa hai, kisha wakanyakuliwa na malaika wakaenda na Yesu mbinguni kutawala miaka 1,000. Wengi wamefundishwa kwamba roho ikiachana na mwili panakuwa bado kuna uhai, lakini Ufunuo 20:4 inaweka wazi kwamba “hakuna uhai wowote” mpaka roho itakaporudishwa tena kwenye mwili uliofufuliwa ndipo uhai unakuwepo tena.

Ili kuelewa swala hili zaidi ngoja tuangalie maana halisi za maneno, uhai, kifo na mauti.

Uhai: ni kitu kinachowezesha kiumbe kuishi kwa kuendesha shughuli zake za kiwiliwili; kinyume cha ufu.

Kifo: ni tukio au tendo la kufikia mwisho wa uhai; mauti.

Mauti: ni hali inayomfanya kiumbe kukosa uhai.

-(angalia Kamsi ya Kiswahili Sanifu, toleo la pili, 2004, Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI), Oxford University Press, Nairobi))

Kwa hiyo kifo na mauti ni mwisho wa uhai, mtu anapokufa hakuna uhai tena mpaka siku atakapofufuliwa! Fundisho la kwamba mtu akifa anaendelea kuwa hai, ni fundisho lililoanzishwa na shetani tangu mwanzoni mwa ulimwengu katika kipindi cha Adamu na Hawa.

Mungu alipomkataza Adamu kula matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, alimwambia, “siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.” Mwanzo 2:17; yaani, uhai aliokuwa amepewa ungekoma kabisa. Lakini shetani kwa kuwadanganya akawaambia, “Hakika hamtakufa…bali mtakuwa kama Mungu” Mwanzo 3:4,5; yaan, mtakuwa hai milele kama Mungu alivyo, lakini Mungu alikuwa amesema uhai wao ungekoma, na hivyo ndivyo ilivyotokea walikufa hakika!

Mauti ililetwa kwa kosa la Adamu nayo inatawala juu ya kila kiumbe duniani, hata Yesu alipochukua asili ya mwanadamu alikufa kwa ajili yetu, akafufuka siku ya tatu, akawa limbuko lao waliokufa.
1 Wakorintho 15:20-23 “Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbuko lao waliolala. Maana kwa kuwa mauti ililetwa na mtu, kadhalika na kiyama(ufufuo) ya wafu ililetwa na mtu. Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa, kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa. Lakini kila mmoja mahali pake; limbuko ni Kristo; baadaye walio wake Kristo, atakapokuja.” [Zingatia neno “baadaye”]
1 Thesalonike 4:14 “Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye.”
Angalia hapa “hao waliolala katika Yesu” ni wale “waliokufa katika Bwana”, na kwa sasa hivi hawako pamoja na Yesu, lakini “baadaye”, Mungu “atawaleta pamoja naye Kristo”; Na hii ni baada ya kuwafufua kama limbuko la Kristo baadaye.

Hivyo roho za wafu wote wanyama na binadamu huenda juu, lakini haziendi kuwa hai, roho ni pumzi tu. “Wafu hawajui neno lolote” (Mhubiri 9:5,6), “wafu hawana ufahamu wowote” (aya 10), ni mpaka roho zao zitakapoletwa katika miili yao iliyofufuliwa, ndipo wanakuwa hai na kutawala na Yesu.

Kuhusu mahali ambapo Mungu huzitunza pumzi za wafu wote hii ni siri kubwa ambayo wanadamu hawawezi na hawajaruhusiwa kuijua, lakini Biblia inasema roho ya kila kiumbe chochote kile kilicho hai; kiwe ni mwanadamu au mnyama, wema au waovu, wote roho zao ziko mkononi mwa Mungu (Ayubu 12:10).

Wakati Stefano anapigwa mawe na Wayahudi, aliiomba, akisema, “Bwana Yesu, pokea roho yangu.” Matendo 7:59. Na Bwana wetu “Yesu akalia kwa sauti kuu, akasema, Ee Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu. Alipokwisha kusema hayo alikata roho…” Luka 23:46-47. Lakini roho zao hazikwenda kuwa hai mbinguni kwa Baba kwa sababu pumzi ikiachana na mwili uhai unakuwa haupo tena, na kurudi kwa uhai ni mpaka pumzi irudishwe katika mwili uliofufuliwa.

Baada ya Yesu kufa siku ya Ijumaa hakuwa hai tena kabisa mpaka Jumapili alipofufuka ndipo akawa hai, kisha akamwambia Mariamu Magidalene kwamba “Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu…” Yohana 20:17. Yesu tangu Ijumaa alipokufa hadi Jumapili alipofufuka alikuwa hajaenda mbinguni. Lakini Jumapili baada ya kufufuka alienda mbinguni kwa Baba yake, akapewa mamlaka yote mbinguni na duniani (Mathayo 28:18) kisha akarudi duniani na ndipo akawaruhusu wanafunzi wake kumshika mikono; kwa sababu alikuwa tayari amekwisha paa kwenda kwa Baba.
PDF ako ni kubwa sana
 

Boeing787-8

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
488
1,000
Kama unauhakika unampenda Na upo tayari kufanya nae maisha mchukue kwakuwa huyo jamaa hawana ndoa. Pia Elewa hata ukimuacha utafute mwingine ambaye unadhani hana mtu huwa ni uongo wanawake wote wana watu Na tena sio mmoja ila atakuficha kuwa yuko pekeake toka mwakajana wakati jana tu watu wamemnyandua. Chukua mtoto huyo potea nae usiulize mengi wote wana watu
Nampenda aswaaa am ready tuyajenge Kama atakuwa serious
 

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,815
2,000
Hope mko poa

Moja kwa moja kwenye mada.

Kuna mdada mmoja ni mzuri kweli black beuty, bado mdogo tu ni early 20's.

Nimetokea kukubali Sana uyo dada, nilipanga nimuendee. Badae nimegundua yupo kwenye mahusiano na chalii mmoja tena ni jirani yangu uyo chalii.

Uyo dada anapitaga karibu na ofisi yangu, tuna mazoea ya kawaida maana nina muda mfupi toka nihamie hapo. Nimemkubali Sana uyo dada Ila muda mwingine kumnyanganya mtu mpenzi naona sio poa.

Jamaa wa uyo dada nimemzidi kila kitu Elimu, kipato n.k Sasa muda mwingine nawaza nkimtokea huyu dada afu badae aje amdump mpenzi wake, jamaa atanifikiliaje?

Wakuu nimempenda Sana huyo dada, je nimtokee ,yule mshikaji wake akiachwa apambane na hali yake au niwe tu civilized man nisiharibu mahusiano ya watu.

Msaada please

N.B comments za kijinga sitaki
Unapotaka kumla demu wa mtu,usiwaze huyo jamaa yake atafanyaje,hayo hayakuhusu we kuka tu
 

Chakorii

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,383
2,000
Uliambiwa na nani kwamba hakuna mtu ambae hana mpenzi?wewe mwenyewe hapo utakuwa una mwanamke lakini humuelewi ndo mana umeruhusu moyo wako kupenda tena.

Kama umempenda jichomeke humo humo...matendo yako yatamfanya awe na wewe na sio mwamba alienae.

Tafuta mahusiano yaliyolegea legea jichomeke humo..mshindi atatangazwa kanisani/msikitini.

Sijui unaelewa lakini
 

kamwendo

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
684
1,000
Me Nilikuwa na situation kama Yako, Kwa sasa ndo naishi nae ni wa 23 years.

Ninachojua Mimi mwanaume ukitaka kitu na uwezo unao ni kupambana as long as usilete chuki miongoni mwa unaopambana nao.

Yaani unapiga vita Ile ya kimya kimya bila kumuharibia jamaa Kwa demu wake. Tongoza kiheshima Acha kumponda jamaa Kwa demu wake, wewe Acha Mambo yajiset yenyewe.

Kumkandia dume Mwenzio Kisa unamtaka demu wake huo nao ni ufala tu, kumbuka mafanikio nayo huja na bahati. Wanaume hatuharibiani Ila tunapambana, Na Kwa situation Yako ww ni mchokozi so icheze vita Kwa heshima, Punguza dharau.

Mm nikijua flani ni demu wako tu hujamuoa Afu Hata kwao hawakujui Nakuona boya tu huwezi kunizingua.
 

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
1,878
2,000
Hope mko poa

Moja kwa moja kwenye mada.

Kuna mdada mmoja ni mzuri kweli black beuty, bado mdogo tu ni early 20's.

Nimetokea kukubali Sana uyo dada, nilipanga nimuendee. Badae nimegundua yupo kwenye mahusiano na chalii mmoja tena ni jirani yangu uyo chalii.

Uyo dada anapitaga karibu na ofisi yangu, tuna mazoea ya kawaida maana nina muda mfupi toka nihamie hapo. Nimemkubali Sana uyo dada Ila muda mwingine kumnyanganya mtu mpenzi naona sio poa.

Jamaa wa uyo dada nimemzidi kila kitu Elimu, kipato n.k Sasa muda mwingine nawaza nkimtokea huyu dada afu badae aje amdump mpenzi wake, jamaa atanifikiliaje?

Wakuu nimempenda Sana huyo dada, je nimtokee ,yule mshikaji wake akiachwa apambane na hali yake au niwe tu civilized man nisiharibu mahusiano ya watu.

Msaada please

N.B comments za kijinga sitaki
Mkuu,Mapenzi hayako hivyo utajichanganya halafu utakuja kulia hapa ukifikiri kuwa wewe ni mjanja.Mimi nimewahi nyang'anya na nimewahi nyang'anywa. demu kwa kigezo hicho hicho cha kijanga cha kwamba nimemzidi jamaa/jamaa kanizidi.Na katika hayo yote nilijifunza kwamba Mapenzi sio pesa wala elimu.Labda kama unataka kumgonga tu usepe ila kama umezama kwenye Penzi tafuta kigezo kingine zaidi ya hicho.Utakuwa mtumwa wa huyo demu na Jamaa uatakayemnyang'anya ataendelea kumiliki moyo wake.Huo ndio ujinga wa Mapenzi wewe unamiliki mwili mwenzi anamiliki MOYO yaani mkiwa six by six anamvutia jamaa hisia.Kwa ufupi THINK TWICE BEFORE YOU THINK THAT YOU CAN TAKE OVER A WOMAN'S HEART BASED ON MATERIAL THINGS.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom