She is beautiful, highly educated and paid but lonely! Why?

Haha anayeongelea habari za kukubaliwa na society ndo ana self esteem. Oh please!!!

Being social doesn't mean blindly following what other people think. If People didn't go against what is considered "normal" we wouldn't be here today. The knowledge, the freedom..

Kubali tu una tatizo ya kisaikolojia, seek help so you learn to think for yourself and STOP TALKING ABOUT OTHER PEOPLE'S LIVES.
Asante kunikumbusha nahitaji msaada lakini siyo kutoka kwako unayeishi maisha ya usela. Binadamu wenzako wana matatizo gani! Kama una uwezo mkubwa hivyo wa saikolojia kwa vipi ushindwe kumsaidia mwenzi wako mkaishi pamoja! Una matatizo ya kutaka kuwadanganya wanajamii wengine unaodhani hawajitambui kama wewe.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Kwenye relationship tuheshimiane wote ama vipi kaoe kijijini ha ha ha! unyenyekevu unyenyekevu, na wazazi wangu je? na Mungu je?
Kuna wanawake huko hata hela yao wameitolea jasho wenyewe hawana usemi juu yake.

Kuna wanawake hata kuDebate na mume wake hawezi manake itakuwa ugomvi mkubwa (nimesikia kesi mwanaume kampiga mkewe kisa wakati wananunua kamba dukani, mke kamuuliza ya nini? Basi mwanaume kaona kashushwa)

Kuna wanawake hawana uwezo hata kuuliza mume umetoka wapi.

Kuna wanawake hawana uhuru wa movement hadi waombe ruhusa.

Yani ukilealea haya maneno ya "heshima" sijui "unyenyekevu" uombe tu usikutane na ya kukutana nayo.... Ni maMental case
 
Asante kunikumbusha nahitaji msaada lakini siyo kutoka kwako unayeishi maisha ya usela. Binadamu wenzako wana matatizo gani! Kama una uwezo mkubwa hivyo wa saikolojia kwa vipi ushindwe kumsaidia mwenzi wako mkaishi pamoja! Una matatizo ya kutaka kuwadanganya wanajamii wengine unaodhani hawajitambui kama wewe.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
Wala sio mimi wa kukusaidia

Walioamua kuishi peke yao wameamua. Acha kulazimisha kuwa wana tatizo. Na wala sidanganyi mtu, mtu mzima una akili zako uamue mwenyewe.

Na hoja yako ya kushindwa kusaidia mtu abadilike ni hoja finyu. We tumetembea wote hii thread hadi huku lakini bado huelewi kuwa single life sio loneliness. Unafikiri kubadilisha mtu rahisi. Nibadilishe mimi niwe "submissive" tuone.
 
Post imeongelea mwanamke kuwa submissive. Lazima ipingwe.

Wala usitumie maneno kama unyenyekevu manake inamaanisha kuna mmoja anajitia authority au ubandidu. Mapenzi na authority wapi na wapi

Semeni listening and compromising and it goes both ways...

Mijanaume mingi hapa ina inferiority complex inatafuta njia ya kuPump ego. Kwa wanawake Hawa pamegoma

Huko kwenu mmoja ndio ananyenyekea kwa mwenzake? Tafadhali usilete taswira za mambo unayoamini kwa sababu ndivyo ulivyozoea kuona, lakini pia usiongee kwa nadharia kwa vile haupo kwenye ndoa, kuna tofauti kubwa sana kati ya wawili waliopo kwenye ndoa na wawili wanaoonana pale wanaposumbuliwa na nyege.

Nimesema kuna ndoa zenye afya, watu wanaheshimiana, wanabebeana mizigo, ni wanyenyekevu, na haya yote yanabebwa na upendo. Kumbuka neno "upendo" lina maana pana sana.
 
housegirl: you have been reading me not between lines perhaps behind lines.

The main topic was about beautiful, highly educated women living single.

Contributions have diverged to what you are bringing in now "submissive". If your answer/reason for living single is avoiding or being wary of "submission" you fall under what I have always emphasised that it is anti-social.

A fulfilling life is about giving and receiving - which does not constitute or amount to being "submissive". Najua unasikia wanaume wakisemwa wamelishwa limbwata kwa vile " they share almost everything with their wives"

If you are thinking being married amounts to submission, live single and end up a single parent. Single parenthood is not that easy, ask them to get live data from the horse's mouth.
 
Wewe kama mkeo mlikuwa mnaonana tu ili mmalize nyege ndo ukaamua umuoe kabisa hiyo ni wewe.

Na mimi naongelea mahusiano yaliyoBackfire kwa sababu ya hizo semi za "kunyenyekea". Wewe umetoka kutafuta mchumba juzi tu humu usijitie mtaalam wa ndoa.

Tunamlinda msichana wetu. Turayarishe vijana kwa ajili ya mahusiano mazuri. Sasa Ukikaa kuhubiri submissiveness na unyenyekevu WA MWANAMKE unafikiri unatengeneza kizazi gani.

Unachoongea wewe ni tofauti na kilicho kwenye original post. UngemQuote Rutashubanyuma basi useme mkuu vipi mwanamke awe submissive, ni wote wasikilizane na waheshimiane
 
I wonder if you're reading the lines at all
.

6) Perhaps most damaging is the tendency of being argumentative, pugnacious with little attention to being submissive
.
The original post DID talk about submissiveness

Then why didn't you originally quote Rutashubanyuma and tell him all that? If you had made it clear that a good relationship CAN NOT be bound on a man's ego we wouldn't have gotten this far (I'm ignoring the fact that you've completely changed your views)
 
I wonder if you're reading the lines at all

The original post DID talk about submissiveness

Then why didn't you originally quote Rutashubanyuma and tell him all that? If you had made it clear that a good relationship CAN NOT be bound on a man's ego we wouldn't have gotten this far (I'm ignoring the fact that you've completely changed your views)
Well said Madame housegirl! Now you are submissive.

But note that, all along I have been advocating anti-social traits. That a human being was created a social animal
 
I just had to laugh at this. But it's NOT funny

Where exactly in your comments have you shown to be submissive to this male chauvinism?
Au ni kitendo cha wewe kupotezea hiyo aibu yake hapo juu ya kushindwa hoja na kuanza kubadili his 'view point' ndio imetafsiriwa kama ndio umeshakuwa submissive mwanakwetu...
 
KayScarpetta: na wewe pia! Male chauvinist, yes I may be, because I was born a man. Living single, mh! As you deem it right, in your own way. Sijabadili kamwe "views" zangu.
 
Mwanamke kuwa submissive haimaanishi ndo aruhusu mme wake amuonee, hapana it means kuwa amheshimu mmewe in all circumstances, (asimuone mmewe mavi hata kama ana mwanaume mwingine nje ya ndoa au anamzidi mmewe kipato) , na pia mumewe ajue his role in a family na ampende mkewe (to keep her happy) sasa cjui wanawake wengine humu, Submissiveness mnai-define vipi
 
TAFSIRI YA KISWAHILI IMEAMBATANISHWA HAPO CHINI. (Due to high public demand.)

Not strange to see aging spinsters knocking their fifties but are sworn to loneliness of single parenthood or childlessness citing lack of Mr. Right sweeping them off their feet.

What characteristics do they carry?

1) During their youthful heydays they had unrealistic dreams of their other halves culminating into sneering if not trolling potential advances needed to stoke a lifetime commitment.

2) Once in a relationship they were either too demanding of emotional engagements or too disengaged to chase away future Mr. Right out of being perceived overbearing, out of touch or simply unconcerned.

3) Sometimes they pursue too many relationships out of insecurities preying upon them dissuading those who wished to pursue serious relationships with them.

4) They tend to be faulty finders to the extent no man meets their criteria. As they are busier erecting barriers hoping to ensnare the man of their dreams unknowingly distancing themselves from REAL MEN who are easily bewitched and smitten by simplicity of their future wives.

5) Once they are drawing huge salaries, they hunt and hibernate with married men overlooking the fact that extra marital stories have wings of their own, and tend to reach and close doors they would wish stay open.

6) Perhaps most damaging is the tendency of being argumentative, pugnacious with little attention to being submissive to their flirting mates. Well the truth ought to be trumpeted once again beauty is not attraction. Beauty is morphological distraction but attraction hails from character and effeminate submission overcomes even the most difficult man around the neighbourhood.

What is the solution? Well doing the opposite of the negative traits is the only way out of this vicious circle. Will elaborate in the near future.

TAFSIRI YAKE YA KISWAHILI.

Ukapera kwa wanawake wasomi wenye vipato vikubwa, umri upitao miaka 50 huku wana maumbile yenye mvuto upo na unakuwa kila kukicha.

Hali hii inachangiwa na mambo yafuatayo:-

1) Kwenye ujana wao walijiwekea malengo makubwa yasiyotekelezeka na wanaumme Wenye nia ya kuwachumbia huwakatisha tamaa.

2) Wanapobahatika kuwa kwenye mahusiano huyavuruga kwa kudai mahitaji yasiyotekelezeka.

3) Kutokana na kutoridhika wakati mwingine hujikuta wanachanganya wanaumme na hivyo kujiondolea sifa za kuolewa.

4) Wakati mwingine huwa wakosoaji sana na kulinganisha hivyo kuwala tosha tamaa wachumba watarajiwa.

5) Wakianza kubana mishahara mikubwa huamua kuwaganda waume za watu Wenye vyeo vyao na kusahau mipasho ya aina hiyo huwafikia pia wachumba watarajiwa na hivyo kujizibia mianya ya kuolewa.

6) Pia hupanga malumbano wakidhani maumbile yao au elimu yao au kipato chao ambayo ndilo chimbuko la kiburi na madharau yao itawafanya waonekane bora na kuogopwa kumbe wa penzi huvutwa na unyenyekevu siyo kutunishiana misuli.

Ufumbuzi ni upi? Ni kuachana na haya mapungufu. Nitafafanua baadaye.
"Hawa wanawake wenye mivuto na pesa, kuoa ni kutafuta kulaumiana na watu tu"
 
Post imeongelea mwanamke kuwa submissive. Lazima ipingwe.

Wala usitumie maneno kama unyenyekevu manake inamaanisha kuna mmoja anajitia authority au ubandidu. Mapenzi na authority wapi na wapi

Semeni listening and compromising and it goes both ways...

Mijanaume mingi hapa ina inferiority complex inatafuta njia ya kuPump ego. Kwa wanawake Hawa pamegoma
Nilikuambia kwa sababu una mtizamo hasi na ndoa huwezi kujifunza ndoa ukaiyelewa, unafikiri mwanamke peke yake ndiye anatakiwa kuwa submissive? Na kwanza hii post haiyongelei mwanamke kuwa submissive, isome tena. Kama unapenda kuna vitamu nitakutumia vinavyofundisha juu ya ndoa, Ndoa sio utumwa kwa mwanamke wala kwa mwanaume. Ila kwa wale ambao hawataki kujifunza hawawezi kuipata na hata wakiipata inawashinda. na wakiikosa au ikiwashinda hutoa visingizio kama vya kwako.
 
Wewe kama mkeo mlikuwa mnaonana tu ili mmalize nyege ndo ukaamua umuoe kabisa hiyo ni wewe.

Na mimi naongelea mahusiano yaliyoBackfire kwa sababu ya hizo semi za "kunyenyekea". Wewe umetoka kutafuta mchumba juzi tu humu usijitie mtaalam wa ndoa.

Tunamlinda msichana wetu. Turayarishe vijana kwa ajili ya mahusiano mazuri. Sasa Ukikaa kuhubiri submissiveness na unyenyekevu WA MWANAMKE unafikiri unatengeneza kizazi gani.

Unachoongea wewe ni tofauti na kilicho kwenye original post. UngemQuote Rutashubanyuma basi useme mkuu vipi mwanamke awe submissive, ni wote wasikilizane na waheshimiane

Uzoefu uliyonayo juu ya ndoa ni hasi, huna lolote la kujivunia kuhusu ndoa kwa sababu hujaishi ndani ya ndoa yenye afya na wala huna ndoa. Pengine ungejihusisha na walioko kwenye ndoa zenye afya za siku, miezi na miaka ili upate uzoefu wao. Kuna tofauti kubwa kuishi uishivyo na kuwa chanya kuhusu wanandoa. Mwenzako tayari nina uzoefu wa miaka[emoji12]
Nisome tena, sikuchangia mada hii moja kwa moja toka kwa mtazamo wa mleta hoja, nilichangia kivingine kabisa. Wazazi watumie nafasi yao kuonyeshana mapenzi mbele ya watoto, na hata wawapo faragha ili kuwajengea watoto wao uwezo wa kuona mambo chanya juu ya maisha ya ndoa. Lakini pia, tujitahidi kulinganisha tamaduni zetu ili hawa watoto wasiangukie kwa akina Beijing, kisa wanatafuta usawa ndani ya ndoa, usawa ambao wao hata hawakujifunza wakaelewa una maana gani.
 
Nilikuambia kwa sababu una mtizamo hasi na ndoa huwezi kujifunza ndoa ukaiyelewa, unafikiri mwanamke peke yake ndiye anatakiwa kuwa submissive? Na kwanza hii post haiyongelei mwanamke kuwa submissive, isome tena. Kama unapenda kuna vitamu nitakutumia vinavyofundisha juu ya ndoa, Ndoa sio utumwa kwa mwanamke wala kwa mwanaume. Ila kwa wale ambao hawataki kujifunza hawawezi kuipata na hata wakiipata inawashinda. na wakiikosa au ikiwashinda hutoa visingizio kama vya kwako.
KayScarpetta na huyu naye kabadilisha views kabisa... Sio mbaya tumefanya kazi nzuri. Kumbe na wanaume wanapaswa kuwa submissive eeh.... UngemQuote ruttashubanyuma toka mwanzo tusinge fika huku
 
Where exactly in your comments have you shown to be submissive to this male chauvinism?
Au ni kitendo cha wewe kupotezea hiyo aibu yake hapo juu ya kushindwa hoja na kuanza kubadili his 'view point' ndio imetafsiriwa kama ndio umeshakuwa submissive mwanakwetu...
Haha huyo nimemuelewa alikuwa anatania. Kisa mwisho tumekubaliana baada ya yeye kupingana na mleta mada ndo anasema nimekuwa submissive
 
Uzoefu uliyonayo juu ya ndoa ni hasi, huna lolote la kujivunia kuhusu ndoa kwa sababu hujaishi ndani ya ndoa yenye afya na wala huna ndoa. Pengine ungejihusisha na walioko kwenye ndoa zenye afya za siku, miezi na miaka ili upate uzoefu wao. Kuna tofauti kubwa kuishi uishivyo na kuwa chanya kuhusu wanandoa. Mwenzako tayari nina uzoefu wa miaka[emoji12]
Nisome tena, sikuchangia mada hii moja kwa moja toka kwa mtazamo wa mleta hoja, nilichangia kivingine kabisa. Wazazi watumie nafasi yao kuonyeshana mapenzi mbele ya watoto, na hata wawapo faragha ili kuwajengea watoto wao uwezo wa kuona mambo chanya juu ya maisha ya ndoa. Lakini pia, tujitahidi kulinganisha tamaduni zetu ili hawa watoto wasiangukie kwa akina Beijing, kisa wanatafuta usawa ndani ya ndoa, usawa ambao wao hata hawakujifunza wakaelewa una maana gani.
Sema una uzoefu wa miaka miwili usijifanye mkongwe ili kujifanya expert. .

Mahusiano yangu Yana muda mrefu kuliko tangazo lako la uchumba humu na wala huelewi nature yake. Utafkiri wote tunawaza shela??

tunajifunza mengi kwa wengine pia so huwezi kuja kuongelea watu na maneno ya kashfa ili kujitia uExpert wa mahusiano. Kujifanya Yana tofauti kubwa ni njia ya kujitia ujuaji otherwise you ain't any more committed to your relationship than I am.

Plus wengine wameLast because they had no way out not because they made it, tusidanganyane

Hayo ya usawa umeyaleta wewe. We don't want equality we want equity. Demanding women to be submissive ain't anywhere near equity or a healthy relationship.

Otherwise as far as your comments about listening and compromising we're on the same page
 
KayScarpetta na huyu naye kabadilisha views kabisa... Sio mbaya tumefanya kazi nzuri. Kumbe na wanaume wanapaswa kuwa submissive eeh.... UngemQuote ruttashubanyuma toka mwanzo tusinge fika huku
Wewe ulikuwa hunielewi tangu mwanzo na hata hiyo submissive ninayoizungumzia bado hueyelewi, . Unafikiri mwanamke kuwa submissive nikuwa mtumwa hayo ndiyo mawazo yako ndiyo maana unaipinga.
 
Back
Top Bottom