She is beautiful, highly educated and paid but lonely! Why?

She is beautiful, highly educated and paid but lonely! Why?

KayScarpetta na housegirl mko mstari wa mbele kutetea "single life". Mnataka mabadiliko yanayopingana na uumbaji (someni Biblia Agano la kale, kitabu cha Mwanzo/Genesis 2:21-24). Hata "evolution" huchukua miaka kenda.

Watoto wa mitaani wanatokana na hao "single women" kwa tafiti hai.

Heri kujitambua kuwa hujui kuliko kujua hujui lakini unajifanya unajua. Oprah mafanikio na huduma yake kwa jamii haiwakilishi jamii yote ya "single women".

Hakuna sababu ya kumtaja kama mfano kwa jamii ya Kitanzania. Wala Oprah awakilishi maisha ya "single women in USA" - soma maisha yao. Mwenyewe anajuta kuishi "single not by design at all".

TAFAKARI CHUKUA HATU
 
Nadhani wengi wetu tumetoka nje ya mada kidogo.
Kwa nilivyomwelewa mtoa mada kwa mbali ni anajaribu kuainisha sababu za baadhi ya wadada kutokua na mahusiano bora kwa muda fulani,
lakini wengi wetu tumechangia kujaribu kuonyesha kama kua single ni kosa ama la.
Naamini kua na uhusiano au la ni uamuzi binafsi wa mtu.
Kwa anaetaka kua na 'healthy relationship' naona mtoa mada amejaribu kuonyesha makosa ya kuepuka kwa wadada,ila anaetaka kua single ni maamuzi binafsi ya mtu.
Nakaribisha marekebisho wakuu.
 
Hakuna siku uchangudoa utakuwa 'norm' kwasababu hao mnaosema kuwa wanapenda kuwa single wanaishia kuwa machangudoa tu. Soma tafiti wanawake waliosoma USA ndiyo wanadumu kwenye ndoa lakini miaka iliyopita walikuwa kama wa waafrica walikuwa wanashindwa kutofauticha kati ya mwanamke kujitambua na maswala ya ndoa.

Aisee! kuwa single ni kuwa changudoa!? Kwa reasoning ya namna hii, hunioni mie kulumbana na wewe.
 
Nadhani wengi wetu tumetoka nje ya mada kidogo.
Kwa nilivyomwelewa mtoa mada kwa mbali ni anajaribu kuainisha sababu za baadhi ya wadada kutokua na mahusiano bora kwa muda fulani,
lakini wengi wetu tumechangia kujaribu kuonyesha kama kua single ni kosa ama la.
Naamini kua na uhusiano au la ni uamuzi binafsi wa mtu.
Kwa anaetaka kua na 'healthy relationship' naona mtoa mada amejaribu kuonyesha makosa ya kuepuka kwa wadada,ila anaetaka kua single ni maamuzi binafsi ya mtu.
Nakaribisha marekebisho wakuu.

Nakubaliana na wewe, ila tatizo limekuja pale mleta mada alipokuwa anaonyesha makosa wanayoyafanya hawa wadada akasisitiza kwenye issue ya kushindwa kwao kuwa submissive na kuwa walegevu na wanyenyekevu kwa wanaume zao, kama moja ya kosa kuu kabisa wanalolifanya hawa wadada, hoja amabayo haikubaliki. Lakini pia kama ulivyoona, tatizo lingine ni baadhi ya wachangiaji kutaka kulazimisha kuoanisha u-singleness na u-loneliness hoja ambayo nayo haikubaliki.
...anyway, na mapungufu mengine yote yaliyotajwa bado ni stereotype tu, kwasababu mtu unajiuliza hivi neno 'he' likiwekwa hapo, hayo mapungufu hayata-apply?
 
...issue ya kushindwa kwao kuwa submissive na kuwa walegevu na wanyenyekevu kwa wanaume zao, kama moja ya kosa kuu kabisa wanalolifanya hawa wadada, hoja amabayo haikubaliki.

...anyway, na mapungufu mengine yote yaliyotajwa bado ni stereotype tu, kwasababu mtu unajiuliza hivi neno 'he' likiwekwa hapo, hayo mapungufu hayata-apply?
Hoja ni hawa wadada wenye uwezo kuishi "single life" na upweke.

Whether "she/he" single life is anti-social. That what U stand for and it is a seriour psycholohical problem. The results/efects/impacts of the tendency are far beyond our imaginations. I cited a case of street children from single parents - a socio-ecinomic problem for a healthy nation.
 
Najaribu sana nikuelewe your point of view, lakini....
Ndio, unaweza ukawa ume-cite huo mfano wako, lakini mie naouona hau-correspond na hii kitu tunayoongelea hapa...'am soriiii.

...ndio kuna wadada (na watu wengine wengi tuuu) wako single, ila nani kakwambia ni wapweke!!!!!!!!!!? Una-define vipi upweke? Una uhakika gani kwamba watu walioko kwenye mahusiano au kwenye ndoa hawajisikii upweke!? Shida yako unaongea mawazo na hisia zako mwenyewe, alafu unataka kulazimishia kwamba hiyo ndio reality - am sorry, kwa mtindo huu siwezi kulumbana na wewe zaidi.

... hoja yako kwamba single life eti ni anti-social na kwamba eti ukiwa single basi una psychological problem, haina mashiko, its absurd!!!, so far fetched, illogical and silly. Do you know that the opposite of what you are saying can also be true? Have you ever heard of a psychological disorder called DPD? Any way, unless una tafiti za watalaamu wa kisaikolojia kuhusu hili unalolisema...i am afraid, i am not going to continue arguing with you.
 
Aisee! kuwa single ni kuwa changudoa!? Kwa reasoning ya namna hii, hunioni mie kulumbana na wewe.
Wewe hujui kama hujui huoni, wengi wanaishia kutembea na bosi kwenye maofisi, waume za watu, kuzaa watoto wasiojulikana baba. Wakiulizwa wanaleta hoja kama za kwako, chukua mfano mdogo wanawake wanaofundisha vyuo vikuu, mnasema eti ndiyo kujitambua.
 
wana nini mkuu?
 
wana nini mkuu?
Wengi wako single lakini wanamahusiano na mabosi, waume za watu nk. Mimi kwangu hawa nawaita machangudoa, na sababu za wao kuwa hivyo amezitaja mleta mada. Nachangaa hapa kunawanawake wanatetea huu ujinga eti wanasema nikujitambua. Nilitegemea mtu akisoma hekima inaongezeka, aweze kumudu maisha yake kijaamii, kimahusiano, kiuchumi, nk lakini hili linatokea kwa wanawake wachache tu, kwanini? hili ndilo lilimsukuma mleta mada kutoa sababu zake. Umenisoma?
 
Nakubaliana na wewe, ila tatizo limekuja pale mleta mada alipokuwa anaonyesha makosa wanayoyafanya hawa wadada ...

Lakini pia kama ulivyoona, tatizo lingine ni baadhi ya wachangiaji kutaka kulazimisha kuoanisha u-singleness na u-loneliness hoja ambayo nayo haikubaliki....
Mimi sijaoanisha kabisa "singleness and loneliness"

I maintain that living single - for whatever reasons - as advanced, in the main post, for educated and rich women, or be it man, is anti-social and hence a psychological disease and a vey serious one. "Waone mabingwa wakusaidie huondokane na ugonjwa huo"/
 
Dah! umebadili tena your views!!!!! na inaonyesha hata hujijui kama unabadilika badilika kwenye point zako.... Aisee pole.

Haya we baki hapa, endelea kubadilika badilika unavyotaka, na hoja nayo inakushinda kui-attack, naona sasa umeamua ku-attack watu... Haya, uwanja wako mkuu.
 
Sina uhakika kama unamtambua na kumcha Mungu nikuwekee vifungu vya Biblia. Maana ungekuwa hivyo usingeandika hayo kwa herufi kubwa. Ila yatosha kukumbusha kwamba Mungu baada ya kumuumba Adam alimtoa ubavu akamuumba Eva (Hawa) wakaijaze dunia.
I do not intend to go on arguing here.

But wanted you to see this

1Corinthians 7:7-9 New International Version
(NIV)
7 I wish that all of you were as I am. But each
of you has your own gift from God; one has this
gift, another has that.
8 Now to the unmarried[a] and the widows I say:
It is good for them to stay unmarried, as I do.

And many other scriptures I've seen.

Bye
 
Thank you sister.

...it ain't easy being a woman huh? ...it is a terribly difficult task, since it consists principally in dealing with men, (Joseph conrad) - hahahaha
For sure "it ain't easy being a woman..." women are unpredictable, as evidenced herein (mwengeso, 2016).
 
Back
Top Bottom