housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,194
Hayo ni yako!!! Nani kasema nina mtazamo hasi kuhusu ndoa?? Una matatizo ya kusoma na kuelewa??Mtu hujifunza kwa kuona na kwa kusikia, haiwezekani mtu kama wewe uwe na mtazamo hasi juu ya ndoa bila kuona wala kusikia kwa watu kama wazazi au ndugu. Hakuna mwanamke asiye penda ndoa japo yapo matatizo mengi yanayofanya watu wasiwe kwenye ndoa kama vile kuona ndoa mbaya ya wazazi au ndugu, mafunzo mabaya, kulelewa na mzazi mmoja mwenye mahusiano na wanaume wengi au matatizo ya kiafya. Ila tatizo hili la kutopenda ndoa kwanini nikubwa kwa wanawake wasomi hiyo ndiyo hoja ya mleta mada. Waache wanaotoa elimu watoe wapo wanaojifunza kitu.
The thread meant to portray the single life as miserable and desperate , and marriage life as an everlasting paradise. All I did was even things out, give a more realistic perspective of things.
Whatever your thoughts are about single women and their lifestyle,
they're adults,
you don't know any more than they do,
they'll do what they want your opinion is insignificant
and they're not desperate otherwise they'd have settled with just anybody.
Unaforce hamna mwanamke asiyetaka ndoa,, mbona karinga hadi hiyo 50yrs? WAACHE. WAMEAMUA. WAMEONA KULIKO KUISHI NA WEWE, WAJIKALIE PEKE YAO.
The fact that you FORCE to even talk about it makes me think you have problems. MIND YOUR OWN LIVES! .