KayScarpetta: nimefafanua kwa kina maoni yangu tena kwa kurejea 'post' kuu, hapo awali (isome kwa umakini)
Sikubaliani na wazo la kuoanisha "submissive" na "ndoa". Sababu yoyote ya "living single" awe mwanamke au mwanaume ni kinyume kabisa cha ubinadamu katika mamlaka zote za utawala (fashism, democractic, socialism, etc) zilizopo duniani. Pia ni kinyume cha uumbaji.
Anayetetea kwamba akina mama wanaoishi pekee au kuzaa bila mme ati kwa sababu ndoa zinawafanya wawe "submissive" ni wapumbavu na lofa. Wawaulize waliozaliwa nje ya ndoa jinsi walivyohangaika kufika hapo walipo kwa sasa.
Utafiti umeonesha theluthi mbili za watoto wa mitaani ni wa wazazi wa mtu mmoja (single parent) kwa sababu mbalimbali lakini kubwa (>75%) ni wa akina mama waliozaa nje ya ndoa ambao nao huendelea kuzalisha watoto wa mitaani.
Je, mnapenda (
housegirl, wewe na wengine wenye mawazo ya "ndoa = submissive) kuwa na Taifa la vijana wa mitaani. Naamini mmezaliwa ndani ya ndoa, pamoja na changamoto mlizoziona na kupitia!!
CHAMBUA CHUNGUZA AMUA CHUKUA HATUA