Shaving...

kyupini maroufouk kugusa....kwapa kuna dread.....miguuni sijaotwa na nywele.....love garden my baby huwa ananyonyoa moja moja zilizozidi.....
need I say more.....senor..!!

Leo wewe si bure! Una kitu kwa mtwe !
 
Number 5. sitaki swali.

Acha mkwarambuzi ! Utakataa vingapi?
Eti umesema number ngapi ?
Number 5 eti ?
Kivipi sasa?
Unafuga ?
Hapohapo mkoani kwako?
Au nje kidogo?
Unafuga Ng'ombe pekee au na Mbuzi?
Vipi mvua huko?
Tume ya katiba huko imeshafika?
Una swaumu au ?
 
how much is it? is it full body or partial?? wanafanya sehemu gani hapa dar?
chik salon, ppf house! karibu, ukianza hutaacha! kuhusu price yategemea na kiungo unachoshave, eg, mguu mzima mpaka paja 8000, etc, so it depends!
 
chik salon, ppf house! karibu, ukianza hutaacha! kuhusu price yategemea na kiungo unachoshave, eg, mguu mzima mpaka paja 8000, etc, so it depends!
cacico nimepita leo wanafanya hata kwa men sehemu nyeti....lakini wana wateja wengi mpaka appointment

bei zao poa tu body scrub ni 40,000/ na body massage ni 35000/
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom