Dingswayo JF-Expert Member May 26, 2009 4,019 2,923 Dec 1, 2010 #1 Nilikuwa nashangaa huyu jamaa kakalia nini, au amejining'iniza hewani?
M MUSINGA JF-Expert Member Oct 4, 2010 1,071 1,252 Dec 1, 2010 #2 Dingswayo said: Nilikuwa nashangaa huyu jamaa kakalia nini, au amejining'iniza hewani? View attachment 17828 Click to expand... mh hiyo kazi sasa,ila wanaume wengi sasa hivi wanaweza kaa kama hivyo!!!
Dingswayo said: Nilikuwa nashangaa huyu jamaa kakalia nini, au amejining'iniza hewani? View attachment 17828 Click to expand... mh hiyo kazi sasa,ila wanaume wengi sasa hivi wanaweza kaa kama hivyo!!!
father-xmas JF-Expert Member Mar 23, 2010 835 643 Dec 1, 2010 #4 MUSINGA said: mh hiyo kazi sasa,ila wanaume wengi sasa hivi wanaweza kaa kama hivyo!!! Click to expand... una maanisha nini...............? mimi mbona siwezi nina kasoro..................?
MUSINGA said: mh hiyo kazi sasa,ila wanaume wengi sasa hivi wanaweza kaa kama hivyo!!! Click to expand... una maanisha nini...............? mimi mbona siwezi nina kasoro..................?
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,215 Dec 2, 2010 #5 duuuuhhh hatari... sijui lakini kama hao wa vijijii sana wajua mambo ya ..................... na hicho ni kiti tu kwake...
duuuuhhh hatari... sijui lakini kama hao wa vijijii sana wajua mambo ya ..................... na hicho ni kiti tu kwake...
Iza JF-Expert Member Jan 8, 2009 2,026 612 Dec 3, 2010 #7 Ningewaza vinginevyo wangekuwa ni wapwani... Ila baada ya kuona mgolole kwa mbali roho imetulia...
boma2000 JF-Expert Member Oct 18, 2009 3,280 310 Dec 3, 2010 #9 Safari_ni_Safari said: Click to expand... nimechoka kwa hii picha
KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,578 8,600 Dec 3, 2010 #10 Halafu kaegamia utadhani yupo kwenye sofa!!
Amoeba JF-Expert Member Aug 20, 2009 3,289 781 Dec 4, 2010 #11 Wakuu, hiyo ni smg hapo pembeni, au naona vibaya?...Hawa watakuwa wa nyumbani kwetu hawa!
Vawulence JF-Expert Member Jan 4, 2009 1,928 2,101 Dec 5, 2010 #12 hizo menduki hapo pembeni ukisogea tu unakuwa historia