Shaving in Africa

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Nilikuwa nashangaa huyu jamaa kakalia nini, au amejining'iniza hewani?

Shaving.jpg
 
duuuuhhh hatari...
sijui lakini kama hao wa vijijii sana wajua mambo ya .....................
na hicho ni kiti tu kwake...
 
Ningewaza vinginevyo wangekuwa ni wapwani...
Ila baada ya kuona mgolole kwa mbali roho imetulia...
 
Wakuu, hiyo ni smg hapo pembeni, au naona vibaya?...Hawa watakuwa wa nyumbani kwetu hawa!
 
Back
Top Bottom