Sharp kwa haraka..lakini tumebugi big time

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
kusoma na kuelewa n vitu viwili tofaut, wazee wa code error na network loading bd tunakuna vichwa vilivyojaa tunda za mapapai
Aha ha hahaaa! Nmecheka sana' labda nikusaidie hapo kwenye DIMULAINA (DREAMLINER) Mengine tumia ubongo wako uliojaa tunda za Papai
 
Aha ha hahaaa! Nmecheka sana' labda nikusaidie hapo kwenye DIMULAINA (DREAMLINER) Mengine tumia ubongo wako uliojaa tunda za Papai
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tutakosea mara ngapi ndio tujifunze kutokosea...?
Thomas Edison anatukumbusha kwamba watu wenye akili kubwa hawaogopi kukosea jambo sababu ktk kukosea ndio unajua namna nyingi zinazosababisha kushindwa/kushindikana jamba flani.

Namnukuu:
"I have not failed. I've just found 10,000 ways that won't work. "― Thomas A. Edison

“Negative results are just what I want. They’re just as valuable to me as positive results. I can never find the thing that does the job best until I find the ones that don’t.”
― Thomas A. Edison


 
If it is your own money.. No problem at all... But this is the funds of poor taxpayers in the third world country
 
If it is your own money.. No problem at all... But this is the funds of poor taxpayers in the third world country
Mkuu hata mabenki, Social Pension Funds, hao wote wanapowekeza pesa huwa wanatumia pesa za watu. Na ktk kuwekeza kuna kufanikiwa au kushindwa(hasara) , Je hii mifuko au benki wasijaribu kuwekeza?
 
Punguzeni vijembe,kebehi na fitna....
too soon to comment on negativity...
this is a long run business....
vichwa ambavyo havina chaji ya kutosha vichwani lazima vitachemka mapema
 
Mkuu hata mabenki, Social Pension Funds, hao wote wanapowekeza pesa huwa wanatumia pesa za watu. Na ktk kuwekeza kuna kufanikiwa au kushindwa(hasara) , Je hii mifuko au benki wasijaribu kuwekeza?
Ni kweli ila huwa wanawekeza kwenye least risk project... Tena baada ya kujiridhisha kupitia timu za wataalam wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…